Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Utu

๐Ÿ‘ค ALIKIBA โ€ข ๐ŸŽผ ONLY ONE KING โ€ข โฑ๏ธ 4:05
๐ŸŽต 1470 characters
โฑ๏ธ 4:05 duration
๐Ÿ†” ID: 3188126

๐Ÿ“œ Lyrics

Yooooo!

(Yogo on beat)

You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someone
For you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah

Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God

Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo

Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa

Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God

Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Oooh

Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.28] Yooooo!
[00:14.53]
[00:17.91] (Yogo on beat)
[00:19.37] You're sweet like pipi mamaa
[00:22.70] I can fight
[00:24.85] I can kill someone
[00:25.94] For you
[00:28.35] Because am in danger zone (oh no)
[00:32.27] This feeling feeling that am feeling
[00:36.87] It's too much
[00:38.84] I see future, life with you is so brighter
[00:43.07] Nakupenda sana, you know that
[00:45.67] I'll die for you
[00:48.68] Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
[00:53.13] Nakupenda sana, you know that
[00:55.63] Nakupenda sana, you know that
[00:58.48] Yeah
[00:59.06] Na hakuna kipya kwenye dunia
[01:01.52] Oh my love
[01:03.57] Na ndio maana tamaa nazizuia
[01:06.62] Oh my love
[01:09.06] Natupa maelfu kwa mamia
[01:11.10] In this world
[01:13.87] Ila we pekee nimekuchagua
[01:16.43] I swear to God
[01:18.06] Na umebarikiwa
[01:19.87] Utu na utulivu
[01:22.91] Umebarikiwa
[01:24.59] Utu na utulivu
[01:27.43] Licha ya upole na uzuri
[01:29.82] Una utu na utulivu
[01:33.07] Umebarikiwa
[01:35.02] Utu na utulivu
[01:37.93] Ohooo
[01:41.37]
[01:59.44] Siku zote maumivu maumivu
[02:01.03] Yapo kutufunza
[02:05.09] Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
[02:08.59] Huko nyuma hukumu
[02:10.79] Hukumu zilisha nikumba
[02:13.47] Na mateso kung'ang'ania
[02:16.26] Pendo usipopendwa
[02:18.64] Niliforce kujificha kule kumbe
[02:21.64] Chaka langu ni hapa
[02:23.54] Sasa napewa amani
[02:25.82] Mapenzi yasiyo na mipaka
[02:29.27] Ananikanda huku mabegani
[02:31.38] Ananishika na hapa
[02:33.11] Masage mgongoni
[02:36.14] Yananilevya makopa
[02:38.80] Na hakuna kipya kwenye dunia
[02:41.57] Oh my love
[02:44.16] Na ndio maana tama nazizuia
[02:46.47] Oh my love
[02:48.77] Natupa maelfu kwa mamia
[02:51.63] In this world
[02:53.70] Ila we pekee nimekuchagua
[02:56.73] I swear to God
[02:58.70] Na umebarikiwa
[03:00.02] Utu na utulivu
[03:03.23] Umebarikiwa
[03:05.04] Utu na utulivu
[03:07.84] Licha ya upole na uzuri
[03:09.71] Una utu na utulivu
[03:12.46] Umebarikiwa
[03:14.68] Utu na utulivu
[03:17.16] Oooh
[03:19.61]
[03:39.69] Aaaah
[03:41.87] Namuona yeye
[03:43.35] (Analia ninapougua)
[03:45.28] Aaaah
[03:46.74] Namuona yeye
[03:48.32] (Akikesha ananiombea dua)
[03:50.42] Aaaah
[03:51.18] Namuona yeye
[03:52.97] (Analia ninapougua)
[03:54.94] Aaaah
[03:56.36] Namuona yeye
[03:57.35] (Akikesha ananiombea dua)
[03:57.70]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings