Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Vita Vizuri

๐Ÿ‘ค Reuben Kigame โ€ข ๐ŸŽผ Tulia โ€ข โฑ๏ธ 4:08
๐ŸŽต 777 characters
โฑ๏ธ 4:08 duration
๐Ÿ†” ID: 3188136

๐Ÿ“œ Lyrics

Nimevipiga vita vizuri,
Mwendo wangu nimeumaliza
Nayo imani nimeilinda
Natarajia kupewa taji na Bwana.

Nikitazama nyuma sijuti hata
Nimejifunza kusahau yaliyopita
Sasa najisukuma kwa yaliyo mbele
Nikimfuata Yesu mwokozi wangu

Nimevipiga vita vizuri,
Mwendo wangu nimeumaliza
Nayo imani nimeilinda
Natarajia kupewa taji na Bwana

Japo imani yangu imetikiswa
Mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu
Hata wakiniacha rafiki zangu
Siri mimi niko na Imanueli

Nimevipiga vita vizuri,
Mwendo wangu nimeumaliza
Nayo imani nimeilinda
Natarajia kupewa taji na Bwana

Nifuateni, nifuatatavyo Yesu
Yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu
Msishawishike na ulimwengu upitao
Tuvipige vita vizuri

Nimevipiga vita vizuri,
Mwendo wangu nimeumaliza
Nayo imani nimeilinda
Natarajia kupewa taji na Bwana

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.64] Nimevipiga vita vizuri,
[00:28.08] Mwendo wangu nimeumaliza
[00:34.27] Nayo imani nimeilinda
[00:41.47] Natarajia kupewa taji na Bwana.
[00:48.62] Nikitazama nyuma sijuti hata
[00:55.64] Nimejifunza kusahau yaliyopita
[01:02.43] Sasa najisukuma kwa yaliyo mbele
[01:09.38] Nikimfuata Yesu mwokozi wangu
[01:16.12] Nimevipiga vita vizuri,
[01:23.15] Mwendo wangu nimeumaliza
[01:29.89] Nayo imani nimeilinda
[01:36.13] Natarajia kupewa taji na Bwana
[01:44.10] Japo imani yangu imetikiswa
[01:49.95] Mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu
[01:57.16] Hata wakiniacha rafiki zangu
[02:03.81] Siri mimi niko na Imanueli
[02:11.28] Nimevipiga vita vizuri,
[02:17.68] Mwendo wangu nimeumaliza
[02:24.69] Nayo imani nimeilinda
[02:31.41] Natarajia kupewa taji na Bwana
[02:38.60] Nifuateni, nifuatatavyo Yesu
[02:45.43] Yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu
[02:52.40] Msishawishike na ulimwengu upitao
[02:59.16] Tuvipige vita vizuri
[03:34.93] Nimevipiga vita vizuri,
[03:40.03] Mwendo wangu nimeumaliza
[03:47.15] Nayo imani nimeilinda
[03:53.80] Natarajia kupewa taji na Bwana
[04:05.02]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings