Watu Na Viatu
๐ต 954 characters
โฑ๏ธ 4:34 duration
๐ ID: 3188185
๐ Lyrics
Rafiki yangu mpendwa naja kwako siku nyingi
Wanipokea kwa uzuri siku zote
Wakati sina wanipa nitakacho husiti
Nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
Hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
Wakati sina wanipa nitakacho husiti
Nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
Achana nao, waepuke haraka sana
Hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza
Mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu
Nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake mungu
Nikikuangalia mwako usoni usoni umejisononesha
Ukaanza kusonya ukirusha mikono
Sura umeikunja kumbe hukufurahi
Mafanikio yangu nilikuachi mimi kuja kukueleza
X2
Mtu wa kwanza mimi kumfikiria ni we rafiki yangu
Ooh kuna watu na viatu duniani
Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
Achana nao, waepuke haraka sana
(Repeat to end)