Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wedding Day (feat. Wyse)

๐Ÿ‘ค Stevo Simple Boy โ€ข ๐ŸŽผ Wedding Day โ€ข โฑ๏ธ 3:57
๐ŸŽต 1469 characters
โฑ๏ธ 3:57 duration
๐Ÿ†” ID: 3188204

๐Ÿ“œ Lyrics

It's a wedding day
Wedding day
It's a wedding day
Wedding day

Hayawi Hayawi
Leo yamekuwa
Siku nzuri imekuja aah
Sherehe yetu ndo tunaifungua
Na mlomngoja kaja
Na dua njema kabariki mwenyezi mmmh
Imefika harusi
Walokukataa wamepata mastresi mmmh
Na pole kwa ao ma ex
Alafu bonge la mtoto

Watu wamependeza ndani si kitoto Meza imependeza na mapochocho
Leo hatoki mtuu
Cheki kulia kushoto anameremeta stevo simple
Mambo fire mambo moto moto
Leo hatoki mtuu

It's a wedding day aaaaaaah
Wedding day aaaaaah
It's a wedding dayaaaah
Wedding day aaah

It's a wedding day aaaaaaah
Wedding day aaaaaah
It's a wedding day aaaah
Wedding day aaah

Nani atafungua Champagne
Kwanza apite mbele
Machozi yanamtoka bi harusi aamini
Pigeni vigelegele

Watu walinisema nka jiskia vibaya
Wapo walosema ati sura yangu mbaya
Ila mpenzi wangu hakujali yote haya
Bado kanipenda na Leo Tunafunga ndoa
Umenipa heshima nafeel fiti moyoni
Niko welo welo Kwa kweli siamini
Tamaa walinikatisha kwamba sito pendwa mimi
Mtoto milky maziwa yote nayanyonya mimi
Najivunia wewe Leo nipo kidedea
Wale wa knock knock wote wameshapotea
Tabembea, babe unaniwezea na hakuna mjinga yeyote ambaye atanimegea

Ndoa ishakua ishakua ishakua
Turushe maua maua maua
Kwa kujishawa shawa shawa oooh
Na wakunengua nengua nengua
DJ anua anau anaua
Tunasasambua sambua sambua
Leoo ni shereheeee

It's a wedding day
Wedding day
It's a wedding day
Wedding day
It's a wedding day
Wedding day
It's a wedding day
Wedding day

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.64] It's a wedding day
[00:12.95] Wedding day
[00:15.25] It's a wedding day
[00:18.03] Wedding day
[00:22.08] Hayawi Hayawi
[00:23.78] Leo yamekuwa
[00:26.91] Siku nzuri imekuja aah
[00:33.35] Sherehe yetu ndo tunaifungua
[00:38.11] Na mlomngoja kaja
[00:44.17] Na dua njema kabariki mwenyezi mmmh
[00:49.76] Imefika harusi
[00:54.58] Walokukataa wamepata mastresi mmmh
[01:00.37] Na pole kwa ao ma ex
[01:04.04] Alafu bonge la mtoto
[01:06.01] Watu wamependeza ndani si kitoto Meza imependeza na mapochocho
[01:11.14] Leo hatoki mtuu
[01:14.91] Cheki kulia kushoto anameremeta stevo simple
[01:19.13] Mambo fire mambo moto moto
[01:21.94] Leo hatoki mtuu
[01:25.65] It's a wedding day aaaaaaah
[01:27.65] Wedding day aaaaaah
[01:30.31] It's a wedding dayaaaah
[01:33.07] Wedding day aaah
[01:35.78] It's a wedding day aaaaaaah
[01:38.76] Wedding day aaaaaah
[01:40.99] It's a wedding day aaaah
[01:43.88] Wedding day aaah
[01:46.45] Nani atafungua Champagne
[01:53.88] Kwanza apite mbele
[01:59.25] Machozi yanamtoka bi harusi aamini
[02:04.92] Pigeni vigelegele
[02:09.53] Watu walinisema nka jiskia vibaya
[02:11.88] Wapo walosema ati sura yangu mbaya
[02:14.67] Ila mpenzi wangu hakujali yote haya
[02:17.24] Bado kanipenda na Leo Tunafunga ndoa
[02:19.87] Umenipa heshima nafeel fiti moyoni
[02:22.65] Niko welo welo Kwa kweli siamini
[02:25.24] Tamaa walinikatisha kwamba sito pendwa mimi
[02:27.91] Mtoto milky maziwa yote nayanyonya mimi
[02:30.76] Najivunia wewe Leo nipo kidedea
[02:33.52] Wale wa knock knock wote wameshapotea
[02:36.18] Tabembea, babe unaniwezea na hakuna mjinga yeyote ambaye atanimegea
[02:41.63] Ndoa ishakua ishakua ishakua
[02:43.59] Turushe maua maua maua
[02:46.22] Kwa kujishawa shawa shawa oooh
[02:51.75] Na wakunengua nengua nengua
[02:54.02] DJ anua anau anaua
[02:56.91] Tunasasambua sambua sambua
[03:00.06] Leoo ni shereheeee
[03:02.06] It's a wedding day
[03:05.05] Wedding day
[03:07.71] It's a wedding day
[03:10.67] Wedding day
[03:12.53] It's a wedding day
[03:15.50] Wedding day
[03:17.93] It's a wedding day
[03:21.22] Wedding day
[03:23.87]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings