Angekuona (Official Video)
๐ต 1100 characters
โฑ๏ธ 3:46 duration
๐ ID: 3991079
๐ Lyrics
Mhhhh iyee
Yani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang'aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ohhh I wish angekuona maaamama
Angefurahi mama (maaaamaaama)
Eh mama yangu mama (maaamaama)
Angefurahi mama (maaamaaaama)
Ninavyomjua mama, angekupa vitenge
Tena bila hiyana na kikapu cha embe
Ana viwanja mama, angekupa ujenge
Na ukirudi kwangu, upate muogo wa jang'ombe
Umeondoka mama imekuja zawadi
Nabaki nalia nalia sina budi
Usije itupa mwana naogopa dhambi
Ila nakuombea ulale pema kwa God
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ohhh I wish angekuona maaaama
Angefurahi mama (maaaaaaama)
Eh mama yangu mama (maama)
Angefurahi mama (maaaaaaama)
Mama mama mama (maaaaaaama)
I wish angekuwepo mama (maaaaaaama)
Uko wapi mama, mama mama mama
Nakukumbuka me mwanao
Eh mama maaaama

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.51] Mhhhh iyee
[00:18.38] Yani raha hata tukilala na njaa
[00:22.91] Kila saa nakuona mpya mamy
[00:27.97] Tena raha huku ninavimba kitaa
[00:32.58] Unang'aa hata kwenye giza mamy
[00:36.80] Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
[00:41.88] Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
[00:46.31] Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
[00:51.14] Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
[00:55.42] Ohhh I wish angekuona maaamama
[01:03.62] Angefurahi mama (maaaamaaama)
[01:05.48] Eh mama yangu mama (maaamaama)
[01:10.01] Angefurahi mama (maaamaaaama)
[01:18.77]
[01:36.66] Ninavyomjua mama, angekupa vitenge
[01:40.15] Tena bila hiyana na kikapu cha embe
[01:44.76] Ana viwanja mama, angekupa ujenge
[01:49.76] Na ukirudi kwangu, upate muogo wa jang'ombe
[01:56.99] Umeondoka mama imekuja zawadi
[02:01.22] Nabaki nalia nalia sina budi
[02:05.73] Usije itupa mwana naogopa dhambi
[02:10.33] Ila nakuombea ulale pema kwa God
[02:14.08] Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
[02:18.33] Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
[02:22.51] Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
[02:27.33] Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
[02:31.63] Ohhh I wish angekuona maaaama
[02:37.08] Angefurahi mama (maaaaaaama)
[02:41.58] Eh mama yangu mama (maama)
[02:44.45] Angefurahi mama (maaaaaaama)
[02:53.29] Mama mama mama (maaaaaaama)
[03:01.84] I wish angekuwepo mama (maaaaaaama)
[03:05.58] Uko wapi mama, mama mama mama
[03:15.96] Nakukumbuka me mwanao
[03:22.05] Eh mama maaaama
[03:33.04]