Likizo
๐ต 1590 characters
โฑ๏ธ 4:28 duration
๐ ID: 3991217
๐ Lyrics
Message zako nimeziona
Ati umechoka visa vyangu
Ohh mama aaah
Mbona unakufuru Mungu
Si ungesema kama umechoka penzi langu
Oh mama nijitakatae
Ale tate nane
Hutaki hata tuonane
Vibaya hivyo oh mama
Oh tate nane
Unapenda tufokeane
Vibaya hivyo ooh mwana
Nakuonaga tu snapchat
Au Insta picha ukiposti
Ni block basi mama nisikuone
Anakujaga tu ibilisi
Natamani kwenda kwenu kushtaki
Maneno yako yanafanya ninyong'onye
Sababu nakupenda sana
Ndo maana unafanya visa niumie
Mwenzako bado mi kijana
Nahitaji fursa nipe nitulie
Kamoyo kanaenda mbio
Nakaribia kukata roho
Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO
Nipunguzie adhabu basi
Eeeh eeh
Unipe likizo tu
Mi bado nakupenda mama
Unipe likizo tu
Ona unadhulumu yangu nafsi
Unipe likizo tu
Utaniua mama aaah
Unipe likizo tu
Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa
Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh)
Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh
Kweli kisichoridhiki hakiliki
Ona unavyonitesa
Kwenye harusi nitakuja
Nione walivyokupamba mamaaaa
Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana
Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama
Hali tate nane
Hutaki hata tuonane
Vibaya hivyo oh mama
Oh tate nane
Unapenda tufokeane
Vibaya hivyo ooh mwana
Nipunguzie adhabu basi, ehh
Unipe likizo tu
Mi bado nakupenda mama
Unipe likizo tu
Ona unadhulumu yangu nafsi
Unipe likizo tu
Utaniua mama, mamaa
Unipe likizo tu
Mola nipe subira
Nitampata kisura
Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
Mola nipe subira
Nitampata kisura
Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
Ati umechoka visa vyangu
Ohh mama aaah
Mbona unakufuru Mungu
Si ungesema kama umechoka penzi langu
Oh mama nijitakatae
Ale tate nane
Hutaki hata tuonane
Vibaya hivyo oh mama
Oh tate nane
Unapenda tufokeane
Vibaya hivyo ooh mwana
Nakuonaga tu snapchat
Au Insta picha ukiposti
Ni block basi mama nisikuone
Anakujaga tu ibilisi
Natamani kwenda kwenu kushtaki
Maneno yako yanafanya ninyong'onye
Sababu nakupenda sana
Ndo maana unafanya visa niumie
Mwenzako bado mi kijana
Nahitaji fursa nipe nitulie
Kamoyo kanaenda mbio
Nakaribia kukata roho
Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO
Nipunguzie adhabu basi
Eeeh eeh
Unipe likizo tu
Mi bado nakupenda mama
Unipe likizo tu
Ona unadhulumu yangu nafsi
Unipe likizo tu
Utaniua mama aaah
Unipe likizo tu
Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa
Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh)
Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh
Kweli kisichoridhiki hakiliki
Ona unavyonitesa
Kwenye harusi nitakuja
Nione walivyokupamba mamaaaa
Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana
Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama
Hali tate nane
Hutaki hata tuonane
Vibaya hivyo oh mama
Oh tate nane
Unapenda tufokeane
Vibaya hivyo ooh mwana
Nipunguzie adhabu basi, ehh
Unipe likizo tu
Mi bado nakupenda mama
Unipe likizo tu
Ona unadhulumu yangu nafsi
Unipe likizo tu
Utaniua mama, mamaa
Unipe likizo tu
Mola nipe subira
Nitampata kisura
Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
Mola nipe subira
Nitampata kisura
Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:12.17] Message zako nimeziona
[00:14.57] Ati umechoka visa vyangu
[00:18.68] Ohh mama aaah
[00:20.47] Mbona unakufuru Mungu
[00:23.74] Si ungesema kama umechoka penzi langu
[00:26.91] Oh mama nijitakatae
[00:34.33] Ale tate nane
[00:36.50] Hutaki hata tuonane
[00:39.12] Vibaya hivyo oh mama
[00:42.84] Oh tate nane
[00:47.64] Unapenda tufokeane
[00:50.84] Vibaya hivyo ooh mwana
[00:54.01] Nakuonaga tu snapchat
[00:58.36] Au Insta picha ukiposti
[01:01.29] Ni block basi mama nisikuone
[01:04.47] Anakujaga tu ibilisi
[01:09.30] Natamani kwenda kwenu kushtaki
[01:12.97] Maneno yako yanafanya ninyong'onye
[01:16.96] Sababu nakupenda sana
[01:19.89] Ndo maana unafanya visa niumie
[01:22.45] Mwenzako bado mi kijana
[01:25.33] Nahitaji fursa nipe nitulie
[01:26.93] Kamoyo kanaenda mbio
[01:32.39] Nakaribia kukata roho
[01:33.67] Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO
[01:37.85] Nipunguzie adhabu basi
[01:42.66] Eeeh eeh
[01:44.25] Unipe likizo tu
[01:45.05] Mi bado nakupenda mama
[01:48.70] Unipe likizo tu
[01:51.47] Ona unadhulumu yangu nafsi
[01:54.31] Unipe likizo tu
[01:57.28] Utaniua mama aaah
[01:59.14] Unipe likizo tu
[02:12.99] Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa
[02:17.72] Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh)
[02:23.54] Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh
[02:28.83] Kweli kisichoridhiki hakiliki
[02:32.52] Ona unavyonitesa
[02:34.97] Kwenye harusi nitakuja
[02:36.57] Nione walivyokupamba mamaaaa
[02:39.76] Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana
[02:42.61] Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
[02:50.97] Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama
[02:57.02] Hali tate nane
[03:01.90] Hutaki hata tuonane
[03:03.13] Vibaya hivyo oh mama
[03:06.83] Oh tate nane
[03:10.38] Unapenda tufokeane
[03:12.79] Vibaya hivyo ooh mwana
[03:17.51] Nipunguzie adhabu basi, ehh
[03:21.71] Unipe likizo tu
[03:25.42] Mi bado nakupenda mama
[03:28.33] Unipe likizo tu
[03:30.20] Ona unadhulumu yangu nafsi
[03:33.50] Unipe likizo tu
[03:36.17] Utaniua mama, mamaa
[03:38.46] Unipe likizo tu
[03:41.65] Mola nipe subira
[04:04.41] Nitampata kisura
[04:07.47] Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
[04:13.22] Mola nipe subira
[04:16.42] Nitampata kisura
[04:18.25] Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
[04:24.35]
[00:14.57] Ati umechoka visa vyangu
[00:18.68] Ohh mama aaah
[00:20.47] Mbona unakufuru Mungu
[00:23.74] Si ungesema kama umechoka penzi langu
[00:26.91] Oh mama nijitakatae
[00:34.33] Ale tate nane
[00:36.50] Hutaki hata tuonane
[00:39.12] Vibaya hivyo oh mama
[00:42.84] Oh tate nane
[00:47.64] Unapenda tufokeane
[00:50.84] Vibaya hivyo ooh mwana
[00:54.01] Nakuonaga tu snapchat
[00:58.36] Au Insta picha ukiposti
[01:01.29] Ni block basi mama nisikuone
[01:04.47] Anakujaga tu ibilisi
[01:09.30] Natamani kwenda kwenu kushtaki
[01:12.97] Maneno yako yanafanya ninyong'onye
[01:16.96] Sababu nakupenda sana
[01:19.89] Ndo maana unafanya visa niumie
[01:22.45] Mwenzako bado mi kijana
[01:25.33] Nahitaji fursa nipe nitulie
[01:26.93] Kamoyo kanaenda mbio
[01:32.39] Nakaribia kukata roho
[01:33.67] Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO
[01:37.85] Nipunguzie adhabu basi
[01:42.66] Eeeh eeh
[01:44.25] Unipe likizo tu
[01:45.05] Mi bado nakupenda mama
[01:48.70] Unipe likizo tu
[01:51.47] Ona unadhulumu yangu nafsi
[01:54.31] Unipe likizo tu
[01:57.28] Utaniua mama aaah
[01:59.14] Unipe likizo tu
[02:12.99] Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa
[02:17.72] Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh)
[02:23.54] Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh
[02:28.83] Kweli kisichoridhiki hakiliki
[02:32.52] Ona unavyonitesa
[02:34.97] Kwenye harusi nitakuja
[02:36.57] Nione walivyokupamba mamaaaa
[02:39.76] Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana
[02:42.61] Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
[02:50.97] Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama
[02:57.02] Hali tate nane
[03:01.90] Hutaki hata tuonane
[03:03.13] Vibaya hivyo oh mama
[03:06.83] Oh tate nane
[03:10.38] Unapenda tufokeane
[03:12.79] Vibaya hivyo ooh mwana
[03:17.51] Nipunguzie adhabu basi, ehh
[03:21.71] Unipe likizo tu
[03:25.42] Mi bado nakupenda mama
[03:28.33] Unipe likizo tu
[03:30.20] Ona unadhulumu yangu nafsi
[03:33.50] Unipe likizo tu
[03:36.17] Utaniua mama, mamaa
[03:38.46] Unipe likizo tu
[03:41.65] Mola nipe subira
[04:04.41] Nitampata kisura
[04:07.47] Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
[04:13.22] Mola nipe subira
[04:16.42] Nitampata kisura
[04:18.25] Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
[04:24.35]