Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Marioo

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Marioo โ€ข โฑ๏ธ 3:08
๐ŸŽต 869 characters
โฑ๏ธ 3:08 duration
๐Ÿ†” ID: 3991226

๐Ÿ“œ Lyrics

Baby nipe nkatumie
Nisipo deka kwako nikadeke wapi mie
Nataka gari uninulie nataka pamba kali nipendeze na mimi wanisifie
Mi kitandani fundi
Nafanya unalia kama bundi

Uo wivu wako si pendi nipe pesa mi nikale tungi
Nakufundisha mapenzi japo una umri wa shangazi
Nakudatisha kichizi mpaka mume wako unamuona makuzi
Eeeeh

Napatapata vitisho nikiwa kitaani
Mumeo anataka kuniua eti kisa nini
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae

Nibebe kwa mbeleko kama mtotooo (kama mtoto)
Nipe pesa nikupe ukitakacho
Oiiiyeee mama anataka pesa hana aliniomba
Toka jana anataka sare aende zake kwenye ngoma
Mhhhh

Basi mpe siumependa boga penda na ua lake
Akinuna atafanya zifugwe listi zote
Ahhhhh
Mi ndo marioooo marioooo m ndo mario
Tabibu mkubwa wa penzi lako
Mi ndo marioooo oh mariiioo m ndo mario
Mtabibu mkubwa wa penzi lako

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings