Home 🎬 Bollywood 🎵 Pakistani 🎤 English Pop

Inama

👤 Diamond Platnumz feat. Fally Ipupa 🎼 My Number 1 ⏱️ 3:31
🎵 1979 characters
⏱️ 3:31 duration
🆔 ID: 4079351

📜 Lyrics

Ayolizer

Kukudekeza kama mtoto, furaha unafurahia
Ghafla ugeuka moto, machozi unalia
Mwembamba munene uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini laweza penda mtu yoyote

Penzi sio somo ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize afukuzishe mwarabu
Penzi yoyo oyo, limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni naishia kuwa-like Insta

Hivo asiyekupenda achana naye
Anayekupenda, pendana naye
Mambo stress ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi kama songi limekolea

Asa inama ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
Oya inama (inama Beiby)
Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby)
Ebu pinda mgongo kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo

Toujours l'amour ebandaka n'esengo
Ba bisou, ba câlin, ba cadeau,
Ba je t'aime tout le temps
Mawa eleka wapi bébé nanga aza présente,
Soucis eleka wapi chérie nanga azaliyee
Tango nyoso olobelaka nga je t'aime

Baloba baseka oh baloba baseka
Nga nako lemba te
Baloba baseka oh baloba baseka
Nga nako lemba te

Chérie nanga aza kitoko
Cherie nanga aza elengi trop
Chérie nanga aza kitoko
Bébé nanga aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué
Mais chérie à moi toujours romantique

Asa inama Ebu pinda mgongo (nakupinda mgongo)

Oya inama (oya inama)
Basi pinda mugongo (Bébé nanga aza)

Asa inama ebu pinda mgongo (ooh mgongo)
Oya inama (ola inama)
Basi pinda mgongo

Asa nionyeshe unanyongaje
Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
Kiuno kifanye pedeli

Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
Nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga

Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Analishare lishare

Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (tilali)
Analishare lishare (oooh)

Yeah Samuel Etoo, Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa, the boss Tozali kolo,
Wakokokate (Kokate)

⏱️ Synced Lyrics

[00:09.19] Ayolizer
[00:13.56] Kukudekeza kama mtoto, furaha unafurahia
[00:18.43] Ghafla ugeuka moto, machozi unalia
[00:23.08] Mwembamba munene uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
[00:27.93] Penzi halijali umasikini laweza penda mtu yoyote
[00:32.47] Penzi sio somo ukasome kwa kitabu
[00:36.70] Penzi limefanya Harmonize afukuzishe mwarabu
[00:41.07] Penzi yoyo oyo, limeleta kwa wanangu vita
[00:45.34] Siku hizi siwaoni naishia kuwa-like Insta
[00:49.76] Hivo asiyekupenda achana naye
[00:52.76] Anayekupenda, pendana naye
[00:54.92] Mambo stress ya nyumba ndani
[00:56.80] Ebu cheza ufurahi kama songi limekolea
[01:00.03] Asa inama ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
[01:04.72] Oya inama (inama Beiby)
[01:06.48] Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
[01:08.93] Asa inama (inama beiby)
[01:10.44] Ebu pinda mgongo kama tungi limepoza
[01:13.65] Oya inama basi pinda mgongo
[01:16.63] Toujours l'amour ebandaka n'esengo
[01:19.60] Ba bisou, ba câlin, ba cadeau,
[01:21.89] Ba je t'aime tout le temps
[01:24.89] Mawa eleka wapi bébé nanga aza présente,
[01:29.46] Soucis eleka wapi chérie nanga azaliyee
[01:33.66] Tango nyoso olobelaka nga je t'aime
[01:38.53] Baloba baseka oh baloba baseka
[01:41.95] Nga nako lemba te
[01:43.24] Baloba baseka oh baloba baseka
[01:46.53] Nga nako lemba te
[01:48.18] Chérie nanga aza kitoko
[01:50.19] Cherie nanga aza elengi trop
[01:52.50] Chérie nanga aza kitoko
[01:54.74] Bébé nanga aza elengi trop
[01:57.21] Parfois l'amour est compliqué
[01:59.27] Mais chérie à moi toujours romantique
[02:03.47] Asa inama Ebu pinda mgongo (nakupinda mgongo)
[02:08.28] Oya inama (oya inama)
[02:09.67] Basi pinda mugongo (Bébé nanga aza)
[02:12.53] Asa inama ebu pinda mgongo (ooh mgongo)
[02:16.71] Oya inama (ola inama)
[02:18.83] Basi pinda mgongo
[02:19.70] Asa nionyeshe unanyongaje
[02:21.93] Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
[02:25.53] Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
[02:29.14] Kiuno kifanye pedeli
[02:31.15] Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
[02:34.12] Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
[02:37.56] Nyonga, na kupinda mgongo
[02:39.99] Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
[02:43.06] Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
[02:46.90] Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
[02:49.18] Analishare lishare
[02:50.75] Analishare lishare (analilili)
[02:53.68] Analishare lishare
[02:55.35] Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
[02:58.23] Analishare lishare (yuko bwi)
[03:00.53] Analishare lishare (tilali)
[03:02.69] Analishare lishare (oooh)
[03:05.97]
[03:08.88] Yeah Samuel Etoo, Didier Drogba
[03:15.24] Wasafi
[03:16.97] Fally Ipupa, the boss Tozali kolo,
[03:21.48]
[03:23.65] Wakokokate (Kokate)
[03:26.71]

⭐ Rate These Lyrics

Average: 0.0/5 • 0 ratings