Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Inanimaliza

๐Ÿ‘ค Harmonize feat. Mr. Blue โ€ข ๐ŸŽผ AfroEast โ€ข โฑ๏ธ 3:49
๐ŸŽต 1111 characters
โฑ๏ธ 3:49 duration
๐Ÿ†” ID: 4210589

๐Ÿ“œ Lyrics

First time when I saw you nilitamani nikueleze
How I feel that was dream come true
Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu
Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani
Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone
Nioneege imani oh my love (Ooohoo}

Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh
Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Baylon easy yeah ah
Chibonge nimekua kibaombao
Ghafla chui nimekua kinyau nyau
Mpaka sijui nayosema nimesahau
Vita ya penzi imekua kama maumau
Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga
Nakua mbulura masikini omba omba
Kutwa nazurura kutuliza kidonda
Maumivu kama yangu anayo Konde Boy
Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy
Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia

Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono
Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:29.12] First time when I saw you nilitamani nikueleze
[00:34.74] How I feel that was dream come true
[00:41.79] Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu
[00:44.95]
[00:48.85] Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani
[00:59.44] Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone
[01:05.01] Nioneege imani oh my love (Ooohoo}
[01:08.56]
[01:11.09] Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
[01:20.42] Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh
[01:26.99] Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
[01:36.28]
[01:40.76] Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
[01:52.83] Baylon easy yeah ah
[02:01.01] Chibonge nimekua kibaombao
[02:03.42] Ghafla chui nimekua kinyau nyau
[02:05.10] Mpaka sijui nayosema nimesahau
[02:08.37] Vita ya penzi imekua kama maumau
[02:11.76] Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga
[02:14.04]
[02:16.44] Nakua mbulura masikini omba omba
[02:18.61] Kutwa nazurura kutuliza kidonda
[02:21.25] Maumivu kama yangu anayo Konde Boy
[02:23.80] Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy
[02:26.68] Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia
[02:31.96] Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
[02:42.28] Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono
[02:46.92]
[02:50.25] Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
[02:52.45]
[03:01.39] Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
[03:01.61]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings