Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

My Life

๐Ÿ‘ค Marioo โ€ข ๐ŸŽผ The Kid You Know โ€ข โฑ๏ธ 3:11
๐ŸŽต 1017 characters
โฑ๏ธ 3:11 duration
๐Ÿ†” ID: 4211167

๐Ÿ“œ Lyrics

Wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao)
Hatari walikuwepo wakunipa kitaani
Walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao)
Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani
Toka home mpaka studio kwa mguu
Viwalo vipya kutupia skukuu
Nguo mbaya imepauka kuukuu
Kula yangu anaijua alie juu
Mungu akunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
Never neve never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Ilikua kama movie ila tunaishi kwa love
Wanaotukwamishaga tunaona kama changamoto
Leo imekua kama movie tunaishi kwa love
Tunalipia na kila zaga ujana maji ya moyo
Asante sana kwakunifanya superstar
Leo najulikana kila kona ya mtaa
Asante mama mwanao kipenzi cha watu
Napendwa sana kona zote za mtaa
Mungu akunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
Never neve never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.47] Wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao)
[00:27.01] Hatari walikuwepo wakunipa kitaani
[00:32.43] Walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao)
[00:36.82] Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani
[00:42.73] Toka home mpaka studio kwa mguu
[00:44.51] Viwalo vipya kutupia skukuu
[00:46.74] Nguo mbaya imepauka kuukuu
[00:49.38] Kula yangu anaijua alie juu
[00:51.70] Mungu akunyimi vyote
[01:04.68] Akikupa kilema atakupa na mwendo
[01:08.08] Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
[01:13.35] Never neve never
[01:15.54] Never give up
[01:18.19] Never never never
[01:20.75] Never give up
[01:23.21] Never never never
[01:25.89] Never give up
[01:27.95] Never never never
[01:30.92] Never give up
[01:33.52] Ilikua kama movie ila tunaishi kwa love
[01:38.34] Wanaotukwamishaga tunaona kama changamoto
[01:43.88] Leo imekua kama movie tunaishi kwa love
[01:49.04] Tunalipia na kila zaga ujana maji ya moyo
[01:54.28] Asante sana kwakunifanya superstar
[02:00.64] Leo najulikana kila kona ya mtaa
[02:06.34] Asante mama mwanao kipenzi cha watu
[02:11.50] Napendwa sana kona zote za mtaa
[02:15.39] Mungu akunyimi vyote
[02:17.05] Akikupa kilema atakupa na mwendo
[02:20.24] Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
[02:25.21] Never neve never
[02:27.64] Never give up
[02:30.06] Never never never
[02:32.85] Never give up
[02:34.95] Never never never
[02:37.91] Never give up
[02:40.26] Never never never
[02:43.40] Never give up
[03:10.99]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings