Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

NITONGOZE By Rayvanny Ft. Diamond Platnumz | DJMwanga.com

๐Ÿ‘ค Rayvanny Ft. Diamond Platnumz โ€ข ๐ŸŽผ DJMwanga.com โ€ข โฑ๏ธ 3:05
๐ŸŽต 1499 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐Ÿ†” ID: 4211180

๐Ÿ“œ Lyrics

Weka shida chini glass juu
Tujipongeze usijali wanafki wambea
Chapa mziki wote tucheze

Enh Vanny Boy (Chui)
Eh Platnumz
(S2kizzy baby)

Ah maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!?)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini

Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali

Ati unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Oh-za Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)

E bwana wee!
Hela ya kooodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge

Osh yu kwapii?
Enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)

Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali

Ati unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)

E bwana wee!

(S2kizzy baby)
Zombiieee

Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.19] Weka shida chini glass juu
[00:02.43] Tujipongeze usijali wanafki wambea
[00:06.48] Chapa mziki wote tucheze
[00:10.10]
[00:12.81] Enh Vanny Boy (Chui)
[00:14.86] Eh Platnumz
[00:17.47]
[00:20.45] (S2kizzy baby)
[00:25.86] Ah maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
[00:30.62] Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!?)
[00:34.75] Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
[00:38.93] Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini
[00:43.82] Nimeachwa staki tena maswali
[00:49.04] Naenda beach kula upepo wa bahari
[00:53.00] Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
[00:57.10] Jimbo liko wazi sema nitakubali
[01:00.21] Ati unantaka?
[01:02.22] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[01:04.73] Unantaka?
[01:06.30] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[01:08.68] Unantaka?
[01:10.27] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[01:12.35] Oh-za Unantaka?
[01:14.50] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[01:17.13] E bwana wee!
[01:18.94] Hela ya kooodi nainywea pombe
[01:22.46] Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
[01:26.19] Na kama hayanogi mapenzi usikonde
[01:30.48] Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge
[01:33.60] Osh yu kwapii?
[01:35.79] Enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
[01:37.26] Yu kwapii?
[01:39.74] Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
[01:42.39] Yu kwapii?
[01:44.19] Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
[01:46.33] Yu kwapii?
[01:48.90] Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
[01:52.66] Nimeachwa staki tena maswali
[01:55.99] Naenda beach kula upepo wa bahari
[02:01.17] Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
[02:04.99] Jimbo liko wazi sema nitakubali
[02:08.04] Ati unantaka?
[02:09.40] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[02:12.21] Unantaka?
[02:14.29] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[02:16.31] Unantaka?
[02:18.42] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[02:20.20] Unantaka?
[02:22.33] Eti unanipenda? (basi nitongoze)
[02:24.85] E bwana wee!
[02:27.82]
[02:34.10] (S2kizzy baby)
[02:36.02] Zombiieee
[02:38.02] Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
[02:42.15] Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
[02:46.12] Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
[02:49.76] Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
[02:52.94]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings