Nikuone
๐ต 1236 characters
โฑ๏ธ 2:56 duration
๐ ID: 4211238
๐ Lyrics
Naitwa maangi
Ona umenikaa kichwani ndoto zangu kuwa na wewe
Au kwan uko nchi gani ama upo far away
Au upo Puerto Rico china nambie nije ukoo mi
Maana mi natangatangaa kipofu nisioona mwangaa
Me simjui jina wala kabila ila nimezama
Nishawahi kumuona ila kwa fikira uzuri wake hakuna kama ye
Aaah ata nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready
Na ningeijua namba ata ningekucheki basi
Nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready
Ningeijua namba yako ata ningekucheki nikupigie wewe
Nikuone wewe
Am waiting for you nakusubiriii
Nikuone wewe
Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
Nikuone wewe
Maana macho yako kama una aibuu
Nikuone wewe
Achana na mikono tuangalie miguu
Oh yeh ah olala
Na ulivyo special na aka kamoyo nikupe chotechote
Twende chuga uchagani ama unataka Dodoma twende kotee kotee
Nikupeleke kwa mama angu na kifutacho ndoa tuoanee
Na usitake ma drama ma kiki ya mitandao tuachane
Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready
Ningeijua namba yako ningekupigia wewe

Ata ningekucheki basi uje
Nikuone wewe
Am waiting for you nakusubri
Nikuone wewe
Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
Nikuone wewe
Ata macho yako kama una aibuu
Nikuone wewe
Si tuangalie miguu
Wanamuita maangi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:03.77] Naitwa maangi
[00:09.43] Ona umenikaa kichwani ndoto zangu kuwa na wewe
[00:14.40] Au kwan uko nchi gani ama upo far away
[00:19.33] Au upo Puerto Rico china nambie nije ukoo mi
[00:24.55] Maana mi natangatangaa kipofu nisioona mwangaa
[00:29.84] Me simjui jina wala kabila ila nimezama
[00:34.29] Nishawahi kumuona ila kwa fikira uzuri wake hakuna kama ye
[00:39.74] Aaah ata nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready
[00:46.32] Na ningeijua namba ata ningekucheki basi
[00:51.14] Nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready
[00:56.61] Ningeijua namba yako ata ningekucheki nikupigie wewe
[01:03.39] Nikuone wewe
[01:05.48] Am waiting for you nakusubiriii
[01:08.32] Nikuone wewe
[01:10.43] Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
[01:13.33] Nikuone wewe
[01:15.71] Maana macho yako kama una aibuu
[01:18.69] Nikuone wewe
[01:20.62] Achana na mikono tuangalie miguu
[01:28.63] Oh yeh ah olala
[01:33.67] Na ulivyo special na aka kamoyo nikupe chotechote
[01:38.95] Twende chuga uchagani ama unataka Dodoma twende kotee kotee
[01:44.62] Nikupeleke kwa mama angu na kifutacho ndoa tuoanee
[01:49.62] Na usitake ma drama ma kiki ya mitandao tuachane
[01:54.58] Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready
[02:00.30] Ningeijua namba yako ningekupigia wewe
[02:05.31] Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready
[02:13.73] Ata ningekucheki basi uje
[02:17.17] Nikuone wewe
[02:19.06] Am waiting for you nakusubri
[02:21.99] Nikuone wewe
[02:23.92] Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
[02:26.98] Nikuone wewe
[02:29.08] Ata macho yako kama una aibuu
[02:32.36] Nikuone wewe
[02:35.24] Si tuangalie miguu
[02:40.44] Wanamuita maangi
[02:46.35]