Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nionyeshe | bekaboy.com

๐Ÿ‘ค Q Chilla X Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ bekaboy.com โ€ข โฑ๏ธ 3:29
๐ŸŽต 1258 characters
โฑ๏ธ 3:29 duration
๐Ÿ†” ID: 4211250

๐Ÿ“œ Lyrics

Oooh mapenzi Oooh, eeh mapenzi
Meli ishaweka nanga Usiwape taabu waganga, Eti uniroge Ya kazi gani?
Zinga kipande cha kanga Uje tulicheze vanga Kisha nikoge Unikande
Mabegani
Mmmh I wish uone moyo wangu Ulivyojawa makovu Huenda
Utanionea huruma
Nahisi we ndo dawa yangu Umeshushwa mwokovu nisikumbuke ya nyuma
Hey Mwenzako nishapitia mikasa
Drama kila wakati shahidi yangu mwenyezi
Mmmh Hadi nikahisi nina nyota ya tasa
Ama sina bahati Aah katika mapenzi Basi nionyeshe
Nionyeshe!
Unavyonipenda mwaya
Nionyeshe!
Unavyonipenda mwaya
Nionyeshe!
Mmh unavyonipenda mwaya Nionyeshe!
Walonitenda mpaka waone haya Mmmh Jichunge na peji
Za udaku Yasemwayo ni ya uwongo, Akina Mange kimambi
Ogopa na manyaku nyaku Mahodari
Waongo, Wasije kuweka kambi
Nikipata tule wote Nikikosa utangoja,
Richwa tulale
Wasikutishe chochote Waso isha vihoja vichwa kambale
Nikianguka niokote Tusimame pamoja sare sare, Hadi tuzikwe sote Utoge
Ndonya ukongoje mmakonde chale Mmmh I wish uone
Moyo wangu Ulivyojawa makovu Huenda utanionea huruma
Nahisi we ndo dawa yangu
Umeshushwa mwokovu Nisikumbuke ya nyuma
Basi nionyeshe
Nionyeshe!
Unavyonipenda mwaya
Nionyeshe!
Unavyonipenda mwaya
Nionyeshe!
Mmh unavyonipenda mwaya Nionyeshe!
Walonitenda mpaka waone haya
Oooh my God its Spencer

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings