Nitakuhimidi
๐ต 584 characters
โฑ๏ธ 5:07 duration
๐ ID: 4211258
๐ Lyrics
Mungu,wewe ni Mungu
Matendo yako ni makuu
Mungu juu ya Miungu
Kweli wewe ni Mungu
Mwanzo tena na mwisho
Mzee wa siku,hauna mfano
Ni mfalme wa wafalme
Kweli wewe ni Mungu
Nitakuhimidi kati ya mataifa
Nitakutukuza milele milele
Jina lako bwana,litukuzwe sana
Watu wote wajue ubwana
Pokea sifa ร 3
Pokea sifa ร 3
Pokea sifa ร 3
Hallelujah,baba unastahili kuabudiwa,kutukuzwa
Sifa zako zivume katika mataifa yote
Jina lako litukuzwe katika mataifa yote
Hakuna Mungu kama wewe,hakuna bwana kama wewe
Asante baba,tunakubariki
Nitakuhimidi kati ya mataifa
Nitakutukuza milele milelee
Matendo yako ni makuu
Mungu juu ya Miungu
Kweli wewe ni Mungu
Mwanzo tena na mwisho
Mzee wa siku,hauna mfano
Ni mfalme wa wafalme
Kweli wewe ni Mungu
Nitakuhimidi kati ya mataifa
Nitakutukuza milele milele
Jina lako bwana,litukuzwe sana
Watu wote wajue ubwana
Pokea sifa ร 3
Pokea sifa ร 3
Pokea sifa ร 3
Hallelujah,baba unastahili kuabudiwa,kutukuzwa
Sifa zako zivume katika mataifa yote
Jina lako litukuzwe katika mataifa yote
Hakuna Mungu kama wewe,hakuna bwana kama wewe
Asante baba,tunakubariki
Nitakuhimidi kati ya mataifa
Nitakutukuza milele milelee