Raha
๐ต 1154 characters
โฑ๏ธ 3:27 duration
๐ ID: 4211605
๐ Lyrics
Blacq
Ah unaringa umepima ah utajijuu
Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au
Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka
Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka
Hadharani unanisusia kuropoka ropoka
Kama domo lako shimo la choo yanakutoka
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea
Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea
Hulka yako ya pupa mwenzako
Ananinyenyekea
Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba
Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka
Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka
Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka
Na tena na enjoy
Napenda akinipa akinipa migandisho
Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea
Maana nishazamaga nishakufa mzoga
Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani
Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea
Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea
Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea
Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba
Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:41.06] Blacq
[00:45.84] Ah unaringa umepima ah utajijuu
[00:51.57] Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au
[00:56.03] Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka
[00:59.56] Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka
[01:06.15] Hadharani unanisusia kuropoka ropoka
[01:09.88] Kama domo lako shimo la choo yanakutoka
[01:11.98] Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea
[01:22.86] Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea
[01:24.67] Hulka yako ya pupa mwenzako
[01:27.57] Ananinyenyekea
[01:32.33] Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba
[01:36.51] Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
[01:41.95] Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka
[01:46.44] Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka
[01:49.19] Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka
[02:03.26] Na tena na enjoy
[02:08.09] Napenda akinipa akinipa migandisho
[02:18.73] Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea
[02:23.58] Maana nishazamaga nishakufa mzoga
[02:28.63] Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani
[02:31.59] Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa
[02:35.36] Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea
[02:42.94] Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea
[02:48.58] Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea
[02:51.28] Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba
[02:52.65] Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
[03:02.26] Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka
[03:07.07] Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka
[03:09.46] Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka
[03:16.16] Na tena na enjoy
[03:18.73]