Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Tumetumwa Na Yesu

๐Ÿ‘ค Upendo Nkone โ€ข ๐ŸŽผ Hapa Nilipo โ€ข โฑ๏ธ 5:46
๐ŸŽต 544 characters
โฑ๏ธ 5:46 duration
๐Ÿ†” ID: 4211997

๐Ÿ“œ Lyrics

Roho i radhi lakin mwili ni dhaifu sana
Aliyasema hayo bwana akiwa getsamane taji ya miba alivikwa
Damu nyingi ilitoka hiyo yote ni kwa sababu mimi na we tuokolewe

Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki damu na maji
Vilitoka akalia sana eloi eloi
Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha

Ilipofika sa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu akakata roho yesu
Alizikwa na siku ya tatu kafufuka yuko juu mbinguniii kuandaa makao

Hata na wewe ndugu yangu uache maovu mrudie mungu
Atakupokea utakuwa mwana wake leo na milele utaishi nae

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings