Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Upendo Wa Yesu

๐Ÿ‘ค Upendo Nkone โ€ข ๐ŸŽผ Hapa Nilipo โ€ข โฑ๏ธ 4:13
๐ŸŽต 1369 characters
โฑ๏ธ 4:13 duration
๐Ÿ†” ID: 4212023

๐Ÿ“œ Lyrics

Eh tunamsifu Mungu
Anatulinda
Kila siku

Upendo wake umetuzunguka siku zote
Halleluyah

Huku na huku eeh kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Kila ninapoimba kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Niwapo nimelala kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Na ninapo tembea tembea kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa nakula kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Eh niwapo safarini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa masomoni kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka

Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
Na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya
Utukufu wa jina lake tumezungukwa na upendo wake halleluyah

Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa kazini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka

Huku na huku na huku kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa hospitalini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama
Mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku he kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Mawimbi mawimbi
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.38] Eh tunamsifu Mungu
[00:12.92] Anatulinda
[00:14.87] Kila siku
[00:21.00] Upendo wake umetuzunguka siku zote
[00:23.48] Halleluyah
[00:26.34] Huku na huku eeh kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[00:38.97] Kila ninapoimba kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[00:48.86] Niwapo nimelala kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[00:57.12] Na ninapo tembea tembea kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[01:06.39] Hata nikiwa nakula kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[01:14.83] Eh niwapo safarini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[01:23.72] Nikiwa masomoni kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[01:33.87] Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
[01:38.92] Na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya
[01:41.93] Utukufu wa jina lake tumezungukwa na upendo wake halleluyah
[01:50.54] Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[01:59.04] Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[02:08.20] Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia
[02:11.19] Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[02:17.29] Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[02:25.57] Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[02:34.96] Na nikiwa kazini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[03:24.74] Huku na huku na huku kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[03:33.05] Nikiwa hospitalini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[03:41.65] Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama
[03:45.63] Mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[03:50.97] Huku na huku he kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[03:59.88] Mawimbi mawimbi
[04:02.20] Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
[04:10.04]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings