Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Usinipite Bwana

๐Ÿ‘ค Upendo Nkone โ€ข ๐ŸŽผ Zipo Faida Kukaa Na Mungu โ€ข โฑ๏ธ 3:58
๐ŸŽต 1476 characters
โฑ๏ธ 3:58 duration
๐Ÿ†” ID: 4212030

๐Ÿ“œ Lyrics

Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)
Usinipite bwana usinpite
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)
Mawazo yangu na moyo wangu
Nakungoja uniguse
Akili zangu ufaham wangu
Vyote vyakungoja
Ninayo iman ukinigusa
Napokea uzima
Magonjwa yote mwilini mwang
Yataondoka

(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)

Mkono wako gusa tumbo langu
Naomba uponyaji
Kichwa changu na mikono yangu
Na miguu yangu
Na macho yangu naomba uyaguse
Nipate kukuona
Naziamini kazi zako Mungu
Naomba niguse

(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)

Eeh ndugu yangu Yesu anaguvu
Ruhusu akuguse
Familia yako na ndoa yako
Yesu ataponya
Usikate tamaa kwa uliyo nayo
Kwa Mungu yawezekana
Alivyo hurumia wengine
Na kwako atafanya

Usinipite bwana usinipite (ooh ooh)
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwanaa)
Usinipite bwana(usinipite Yesu) usinipite (Nakungoja bwana)
Unapogusa wengine(eeh mwokozi) nami niguse
(Eeh usinipite Yesu)
Usinipite bwana(naomba bwana) usinipite
(Eeh baba) Unapogusa wengine (wengine) nami niguse
Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse
Usinipite bwana(usinipite babaa) usinipite (nakuita Yesu)
Unapogusa wengine(eeh yeye baba) nami niguse
(Usinipite baba yangu) usinipite bwana)(usinipite bwana) usinipite
(Nakungoja bwana) Unapogusa wengine)(nami nihuse baba) nami niguse
(Nihuse bwana wangu)
End

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings