Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wote

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Made For Us โ€ข โฑ๏ธ 3:32
๐ŸŽต 1336 characters
โฑ๏ธ 3:32 duration
๐Ÿ†” ID: 4212147

๐Ÿ“œ Lyrics

Oh oh oh oh oh oh
B boy

Mwenzako zikianza story za mapenzi
Mfano wakwanza ni wewe
Hadi marafiki zangu wananicheka
Naukumbuka ushenzi tulofanyaga
Mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga
Hata wakisema maneno
Ni bure maana nyani halionagi kundule
Wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi

Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
Siwez danganya nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze
Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
We unanijali unanivumilia

I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
Yeah mule kuhan
Unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
Siwezi peke yangu

Yeah
Mama ukiongeza nitajinenepea
Unavyo nigombeza nakuona una care
Eti hatujapendeza wanatufokea mi
I don't care ndo nishakolea
Kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi
Leo sinza kesho kinyerezi mara mbezi

Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
Siwez danganya Nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze
Basi aliugawanya ona nilihanya Ikaniumiza
We unanijali unanivumilia

I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
Yeah mule kuhan
Unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
I wish I wish
I wish I wish

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
Siwezi peke yangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.08] Oh oh oh oh oh oh
[00:25.48] B boy
[00:28.22] Mwenzako zikianza story za mapenzi
[00:32.53] Mfano wakwanza ni wewe
[00:34.48] Hadi marafiki zangu wananicheka
[00:39.16] Naukumbuka ushenzi tulofanyaga
[00:43.75] Mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga
[00:49.86] Hata wakisema maneno
[00:51.72] Ni bure maana nyani halionagi kundule
[00:55.16] Wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi
[01:00.19] Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
[01:03.67] Siwez danganya nishamaliza
[01:07.95] Kila niliempaga moyo autunze
[01:11.74] Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
[01:19.14] We unanijali unanivumilia
[01:22.20] I wish tuzeeke wote
[01:24.38] I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
[01:29.54] Yeah mule kuhan
[01:31.89] Unanipenda
[01:33.53] I wish tuzeeke wote
[01:34.58] I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
[01:39.72]
[01:42.71] Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
[01:44.97] Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
[01:47.36] Siwezi peke yangu
[01:50.46] Yeah
[01:52.62] Mama ukiongeza nitajinenepea
[01:55.05] Unavyo nigombeza nakuona una care
[01:57.44] Eti hatujapendeza wanatufokea mi
[01:59.92] I don't care ndo nishakolea
[02:03.44] Kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi
[02:08.30] Leo sinza kesho kinyerezi mara mbezi
[02:11.01] Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
[02:16.51] Siwez danganya Nishamaliza
[02:20.93] Kila niliempaga moyo autunze
[02:25.14] Basi aliugawanya ona nilihanya Ikaniumiza
[02:31.50] We unanijali unanivumilia
[02:34.18] I wish tuzeeke wote
[02:36.38] I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
[02:42.25] Yeah mule kuhan
[02:43.00] Unanipenda
[02:44.73] I wish tuzeeke wote
[02:46.84] I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
[02:50.69]
[02:53.46] I wish I wish
[02:58.70]
[03:04.99] I wish I wish
[03:12.25]
[03:15.68] Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
[03:18.01] Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
[03:20.89] Siwezi peke yangu
[03:22.25]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings