Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nikikupata

๐Ÿ‘ค Ben Pol โ€ข ๐ŸŽผ Ben Pol Collection โ€ข โฑ๏ธ 3:19
๐ŸŽต 1783 characters
โฑ๏ธ 3:19 duration
๐Ÿ†” ID: 4789333

๐Ÿ“œ Lyrics

Maisha yangu mi'
'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi

Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani

Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai

Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
Wawili kuaminiana
Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi
Mi' na we' tukipendana
Na mi' ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa

Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani

Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (hadi mwisho wa uhai)

Maisha yangu mi'
'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi

Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani

Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda (nakupenda), hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.90] Maisha yangu mi'
[00:11.72] 'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
[00:15.18] Kama warembo nao
[00:16.76] Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
[00:19.82] Uzuri sio sura ma'
[00:22.01] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[00:25.02] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[00:30.39] Uzuri sio sura ma'
[00:32.48] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[00:35.55] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[00:41.14] Nikikupata, milele nitafurahi
[00:45.61] Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
[00:51.45] Nikikupata, milele nitafurahi
[00:56.11] Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
[01:01.39] Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
[01:04.76] Wawili kuaminiana
[01:06.68] Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi
[01:09.75] Mi' na we' tukipendana
[01:11.99] Na mi' ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
[01:17.13] Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa
[01:22.35] Uzuri sio sura ma'
[01:24.36] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[01:27.52] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[01:32.56] Uzuri sio sura ma'
[01:34.65] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[01:37.63] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[01:43.28] Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[01:47.94] Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[01:53.70] Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[01:58.32] Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (hadi mwisho wa uhai)
[02:04.05] Maisha yangu mi'
[02:05.78] 'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
[02:09.35] Kama warembo nao
[02:10.94] Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
[02:14.03] Uzuri sio sura ma'
[02:16.28] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[02:19.25] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[02:24.56] Uzuri sio sura ma'
[02:26.67] Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[02:29.63] Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[02:35.21] Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[02:39.81] Nitaimba nakupenda (nakupenda), hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[02:45.44] Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[02:50.26] Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[02:57.52]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings