Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mtasubiri (feat. Zuchu) - Acoustic

๐Ÿ‘ค Diamond Platnumz feat. Zuchu โ€ข ๐ŸŽผ First Of All (Acoustic) โ€ข โฑ๏ธ 3:56
๐ŸŽต 1533 characters
โฑ๏ธ 3:56 duration
๐Ÿ†” ID: 4893517

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmh mmh mh
Mmmh mmh mh
Mmmh mmh mh

Anh! anacheka!

Eti amina dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako

Mmh oh! fanya hima
Mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako

Na nisipo kuona
Na raha nakosa
Situlii mpaka
Unikumbate darling

Ooh! kiranga chote mi koma
Ukianza dear shughuri
Kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (Mmh)
Unitaka pia (Mmh)
Unaniamini (Mmh)
Na umeniridhia

Oh!unanipenda mi (Mmh)
Unitaka pia (Mmh)
Unaniamini (Mmh)
Na umeniridhia

Mnaosubiri tuachane!

Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi

Mmh mmh
Mmh mmh
Mmnh

Ooh baby mi mwenzako
Njiwa wa kufugwa oh!
Ooh baby,vya chakuchaku
Vitanifuja mimi

Ooh baby mie wa pwani
Mzaliwa wa Unguja
Ooh baby penzi laini
Sitoi buja

Na moyo nimeshaweka
Kwako nanga (oh lalala!)
Wanajisumbua kukesha
Kwa waganga

Mbona bado
Na presha zitawashuka
Na kupanda
Tena deka we shauukwa
Baby tamba... (Oooh!)

Unanipenda mi (Mmh)
Unitaka pia (Mmh)
Unaniamini (Mmh)
Na umeniridhia (Mmhh)

Unanipenda mi (Mmh)
Unitaka pia (Mmh)
Unaniamini (Mmh)
Na umeniridhia

Eeh!
Mnaosubiri tuachane!

Mtasubiri sana mtasubi
(Mtakesha)
Mtasuburi sana mtasubi
(Mueke kigoda mukae)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtasubiria)
Mtasuburi sana mtasubi

Wanasema eti umeniroga
Nikweli ila inawahusu nini
Hunipendi unanichuna
Nikweli ila unawahusu nini

Eti wanasema wewe ni kicheche
Nikweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Nikweli ila inawahusu nini
Ha ha nashangaa!

Aanh deka deka

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings