Mtasubiri (feat. Zuchu)
๐ต 1448 characters
โฑ๏ธ 3:26 duration
๐ ID: 4893520
๐ Lyrics
Eeh! Nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Nakuniridhia (Mnmhn)
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Manaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtakesha)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtatungoja sana)
Mtasubiri sana mtasubi
Wanasema eti Umeniroga
"Nikweli ila inawahusu nini"
Hunipendi Unanichuna
"Nikweli ila inawahusu nini"
Eti anasema wewe ni kicheche
"Nikweli ila inawahusu nini"
Utanichezea kesho uniache
"Nikweli ila inawahusu nini"
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Nakuniridhia (Mnmhn)
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Manaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtakesha)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtatungoja sana)
Mtasubiri sana mtasubi
Wanasema eti Umeniroga
"Nikweli ila inawahusu nini"
Hunipendi Unanichuna
"Nikweli ila inawahusu nini"
Eti anasema wewe ni kicheche
"Nikweli ila inawahusu nini"
Utanichezea kesho uniache
"Nikweli ila inawahusu nini"
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:06.74] Eeh! Nini sasa
[00:10.01]
[00:15.33]
[00:18.89] Eti amina, dua zimeitikiwa
[00:23.96] Ashtuti nije kupa mali yako
[00:28.33] Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
[00:33.47] Mahututi nasubiri tiba yako
[00:37.92] Na nisipo kuona na raha nakosa
[00:43.37] Situlii mpaka unikumbate darling
[00:47.20] Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
[00:52.98] Shughuri kwisha yangu habari
[00:57.03] Eti unanipenda mi (Mnmhn)
[01:00.57] Unanitaka pia (Mnmhn)
[01:03.06] Unaniamini (Mnmhn)
[01:05.22] Na umeniridhia
[01:07.19] Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
[01:10.04] Unanitaka pia (Mnmhn)
[01:12.53] Unaniamini (Mnmhn)
[01:14.78] Na umeniridhia
[01:16.43] Mnaosubiri tuachane
[01:17.73] Mtasubiri sana mtasubi
[01:22.14] (Ooh mtangoja)
[01:23.23] Mtasubiri sana mtasubi
[01:25.99] (Wanaosubiri tuachane)
[01:26.89] Mtasubiri sana mtasubi
[01:31.09] (Vuteni kiti mkae)
[01:32.57] Mtasubiri sana mtasubi
[01:35.94]
[01:45.96] Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
[01:50.83] Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
[01:55.54] Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
[02:00.14] Ooh baby penzi laini sitoi buja
[02:05.92] Na moyo nimeshaweka kwako nanga
[02:10.37] Wanajisumbua kukesha kwa waganga
[02:14.48] Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
[02:20.60] Tena deka we shaukwa baby tamba
[02:23.94] Eti unanipenda mi (Mnmhn)
[02:27.11] Unanitaka pia (Mnmhn)
[02:29.37] Unaniamini (Mnmhn)
[02:31.57] Nakuniridhia (Mnmhn)
[02:33.98] Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
[02:36.78] Unanitaka pia (Mnmhn)
[02:38.84] Unaniamini (Mnmhn)
[02:41.30] Na umeniridhia
[02:42.63] Manaosubiri tuachane
[02:44.21] Mtasubiri sana mtasubi
[02:47.82] (Ooh mtakesha)
[02:49.43] Mtasubiri sana mtasubi
[02:52.44] (Mtandike jamvi mukae)
[02:54.34] Mtasubiri sana mtasubi
[02:57.21] (Mtatungoja sana)
[02:59.26] Mtasubiri sana mtasubi
[03:00.99] Wanasema eti Umeniroga
[03:03.67] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:06.09] Hunipendi Unanichuna
[03:08.28] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:10.85] Eti anasema wewe ni kicheche
[03:14.58] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:15.25] Utanichezea kesho uniache
[03:18.22] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:19.99]
[00:10.01]
[00:15.33]
[00:18.89] Eti amina, dua zimeitikiwa
[00:23.96] Ashtuti nije kupa mali yako
[00:28.33] Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
[00:33.47] Mahututi nasubiri tiba yako
[00:37.92] Na nisipo kuona na raha nakosa
[00:43.37] Situlii mpaka unikumbate darling
[00:47.20] Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
[00:52.98] Shughuri kwisha yangu habari
[00:57.03] Eti unanipenda mi (Mnmhn)
[01:00.57] Unanitaka pia (Mnmhn)
[01:03.06] Unaniamini (Mnmhn)
[01:05.22] Na umeniridhia
[01:07.19] Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
[01:10.04] Unanitaka pia (Mnmhn)
[01:12.53] Unaniamini (Mnmhn)
[01:14.78] Na umeniridhia
[01:16.43] Mnaosubiri tuachane
[01:17.73] Mtasubiri sana mtasubi
[01:22.14] (Ooh mtangoja)
[01:23.23] Mtasubiri sana mtasubi
[01:25.99] (Wanaosubiri tuachane)
[01:26.89] Mtasubiri sana mtasubi
[01:31.09] (Vuteni kiti mkae)
[01:32.57] Mtasubiri sana mtasubi
[01:35.94]
[01:45.96] Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
[01:50.83] Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
[01:55.54] Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
[02:00.14] Ooh baby penzi laini sitoi buja
[02:05.92] Na moyo nimeshaweka kwako nanga
[02:10.37] Wanajisumbua kukesha kwa waganga
[02:14.48] Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
[02:20.60] Tena deka we shaukwa baby tamba
[02:23.94] Eti unanipenda mi (Mnmhn)
[02:27.11] Unanitaka pia (Mnmhn)
[02:29.37] Unaniamini (Mnmhn)
[02:31.57] Nakuniridhia (Mnmhn)
[02:33.98] Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
[02:36.78] Unanitaka pia (Mnmhn)
[02:38.84] Unaniamini (Mnmhn)
[02:41.30] Na umeniridhia
[02:42.63] Manaosubiri tuachane
[02:44.21] Mtasubiri sana mtasubi
[02:47.82] (Ooh mtakesha)
[02:49.43] Mtasubiri sana mtasubi
[02:52.44] (Mtandike jamvi mukae)
[02:54.34] Mtasubiri sana mtasubi
[02:57.21] (Mtatungoja sana)
[02:59.26] Mtasubiri sana mtasubi
[03:00.99] Wanasema eti Umeniroga
[03:03.67] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:06.09] Hunipendi Unanichuna
[03:08.28] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:10.85] Eti anasema wewe ni kicheche
[03:14.58] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:15.25] Utanichezea kesho uniache
[03:18.22] "Nikweli ila inawahusu nini"
[03:19.99]