Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Balaluu

๐Ÿ‘ค WAKADINALI โ€ข ๐ŸŽผ NDANI YA COCKPIT 3 โ€ข โฑ๏ธ 5:33
๐ŸŽต 4609 characters
โฑ๏ธ 5:33 duration
๐Ÿ†” ID: 4973916

๐Ÿ“œ Lyrics

Pira ni pyamu na ndranya mbricha

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Leta ujinga tubeef for real
I'm not vegan I'm gluten-free
Mi si mjeru ati " Guten Morgen"
Kutwa morning mi mjehuri
Inzagi goshodo huko Balaluu
Ishidi mastingo kama waru
Gun imelandia tusupuu
Bangi imelandi matawi ya juu
I'm sorry ile last time kweli nilikukosea
But, it will happen again

Chocha ye mrasa mbona alipotea?
Bahati tu manze ju angemblein
Story ingekuwa disaster
Habari ya kujikojolea, lia lia
Fikiria, complain, meno thirty-two and then umaintain
Burushwa kanairo must unaimunch
Ama utanyonywa damu kama Onyanch
Story za ovyo mi huwanga na branch
Mwanaume, haufai kukula lunch
Watch, mziki ni bizna we, ndio inanilipa

Album stray ni bitter, tunawagandamiza
Niko daily mboka niko mzozo
Sispendingi ati zile za unyonge
Mdenge kama ni bonzo
Ni mshiet, ni shonde
Domani vako za mavoglo
Mapenzi acha hapo nje
Dem akinona ovyo ovyo
Mpee simu apitie akonde

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Si hatutoki na tunaharibu (zoea)
Nikuje na doski ama ni akimu (zoea)
Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (zoea)
Kivela lazima kiwake ata kiwe illegal (zoea)
Ukiskia bro amenikamia home
Jua hiyo form ni Erokamano
Msupa mbona unahaga bigi
Na hauna ganji umekalia doh
Muite "ksss ksss," kamia form
Tei ni zote mchanganyo

Tire ndasus na kanyamo
Hataki umdishi we ni kama bro
Jaba fresh Kariokor
Mkwanja cash hapana joke
Anatext text, flash, text, text, flash block!
Kwani tunaulizana?
Bei ya ngata inaumiza mans
Bado wanachocha mavijana
Hawabongi whenever Scar is around
Vibare, hatuwezi reason nao

Maforeign washanga hizo loud
Ndai stolen bitch ni wa colle
Wanadai muone ashagatupa mbao
Itanikinda na aroma inatupa
Tire anachimba inanichoma makucha
Kusoma unasoma unatokea Juja
Unachoma unachoma unapoteza future

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Allow me kwanza nijiintroduce
Loudest kushinda pastor Kush
Essence aliona burning bush
Kumbe ni mwere anaiva kistuch
Si ndio tulimndasus kwa boot
Managerr managerr managerr my foot
East joh nimejaza ma goons
Watokee na senke matokeo utashtuka
Too bad huwezi nijua
Too bad mpaka unabuya
"Who's that?" Mwambie ni sewer

Giz jana kuliwaka mvua
Generation yao ni sheesha
Unawacompare na si wa kuvuva
Umeshinda ukinitoanisha
Sijui za fare na sijawahi kukula
Na serve tea asubuhi
Kuna watu hawaezi ishi bila rumour
Kwani hamcheki funny
Venye nyi hamna sense of humour
Vumilia kaa inakuuma

Kuma isikufanye mtumwa
Train ya drill hapa si boomba
Vegan niliendea Fulham
Samo ya street piga tapo
Sionyeshe keja labda lojo
Momo ametoka pango
Ambieni corporal nimeramo
Yo, mofo toka form four
Aha, yo, mofo toka

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:07.63] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[00:12.04] Tire ndaksus na kanyamo
[00:15.74] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[00:17.41] Ndula ni matisha na ni mtush
[00:19.16] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[00:22.48] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[00:25.46] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[00:27.79] Tire ndaksus na kanyamo
[00:29.07] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[00:30.35] Ndula ni matisha na ni mtush
[00:32.48] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[00:35.44] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[00:38.92] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[00:40.62] Leta ujinga tubeef for real
[00:42.48] I'm not vegan I'm gluten-free
[00:43.97] Mi si mjeru ati " Guten Morgen"
[00:45.94] Kutwa morning mi mjehuri
[00:47.36] Inzagi goshodo huko Balaluu
[00:49.05] Ishidi mastingo kama waru
[00:50.64] Gun imelandia tusupuu
[00:52.40] Bangi imelandi matawi ya juu
[00:54.16] I'm sorry ile last time kweli nilikukosea
[00:56.11] But, it will happen again
[00:57.27] Chocha ye mrasa mbona alipotea?
[00:59.03] Bahati tu manze ju angemblein
[01:00.68] Story ingekuwa disaster
[01:01.61] Habari ya kujikojolea, lia lia
[01:03.84] Fikiria, complain, meno thirty-two and then umaintain
[01:07.02] Burushwa kanairo must unaimunch
[01:09.01] Ama utanyonywa damu kama Onyanch
[01:10.76] Story za ovyo mi huwanga na branch
[01:12.46] Mwanaume, haufai kukula lunch
[01:14.25] Watch, mziki ni bizna we, ndio inanilipa
[01:17.02] Album stray ni bitter, tunawagandamiza
[01:20.37] Niko daily mboka niko mzozo
[01:22.22] Sispendingi ati zile za unyonge
[01:24.29] Mdenge kama ni bonzo
[01:25.53] Ni mshiet, ni shonde
[01:27.32] Domani vako za mavoglo
[01:29.17] Mapenzi acha hapo nje
[01:30.69] Dem akinona ovyo ovyo
[01:32.30] Mpee simu apitie akonde
[01:34.31] Tire ndaksus na kanyamo
[01:35.72] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[01:37.52] Ndula ni matisha na ni mtush
[01:39.20] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[01:42.79] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[01:45.86] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[01:48.26] Tire ndaksus na kanyamo
[01:49.24] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[01:50.91] Ndula ni matisha na ni mtush
[01:52.67] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[01:55.91] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[01:58.92] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[02:00.64] Si hatutoki na tunaharibu (zoea)
[02:03.44] Nikuje na doski ama ni akimu (zoea)
[02:06.51] Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (zoea)
[02:09.75] Kivela lazima kiwake ata kiwe illegal (zoea)
[02:13.38] Ukiskia bro amenikamia home
[02:15.94] Jua hiyo form ni Erokamano
[02:17.56] Msupa mbona unahaga bigi
[02:19.16] Na hauna ganji umekalia doh
[02:20.99] Muite "ksss ksss," kamia form
[02:22.62] Tei ni zote mchanganyo
[02:24.16] Tire ndasus na kanyamo
[02:25.77] Hataki umdishi we ni kama bro
[02:27.45] Jaba fresh Kariokor
[02:29.17] Mkwanja cash hapana joke
[02:31.00] Anatext text, flash, text, text, flash block!
[02:34.27] Kwani tunaulizana?
[02:35.63] Bei ya ngata inaumiza mans
[02:37.21] Bado wanachocha mavijana
[02:38.87] Hawabongi whenever Scar is around
[02:40.35] Vibare, hatuwezi reason nao
[02:41.92] Maforeign washanga hizo loud
[02:43.60] Ndai stolen bitch ni wa colle
[02:45.25] Wanadai muone ashagatupa mbao
[02:47.01] Itanikinda na aroma inatupa
[02:48.67] Tire anachimba inanichoma makucha
[02:50.51] Kusoma unasoma unatokea Juja
[02:52.16] Unachoma unachoma unapoteza future
[02:54.08] Tire ndaksus na kanyamo
[02:55.89] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[02:57.57] Ndula ni matisha na ni mtush
[02:59.60] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[03:02.73] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[03:05.51] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[03:07.71] Tire ndaksus na kanyamo
[03:09.18] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[03:10.80] Ndula ni matisha na ni mtush
[03:12.55] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[03:16.05] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[03:19.15] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[03:20.55] Allow me kwanza nijiintroduce
[03:22.68] Loudest kushinda pastor Kush
[03:24.22] Essence aliona burning bush
[03:25.82] Kumbe ni mwere anaiva kistuch
[03:27.53] Si ndio tulimndasus kwa boot
[03:29.18] Managerr managerr managerr my foot
[03:30.93] East joh nimejaza ma goons
[03:32.50] Watokee na senke matokeo utashtuka
[03:34.42] Too bad huwezi nijua
[03:35.93] Too bad mpaka unabuya
[03:37.88] "Who's that?" Mwambie ni sewer
[03:39.27] Giz jana kuliwaka mvua
[03:40.95] Generation yao ni sheesha
[03:42.49] Unawacompare na si wa kuvuva
[03:44.43] Umeshinda ukinitoanisha
[03:45.87] Sijui za fare na sijawahi kukula
[03:47.86] Na serve tea asubuhi
[03:49.25] Kuna watu hawaezi ishi bila rumour
[03:51.03] Kwani hamcheki funny
[03:52.65] Venye nyi hamna sense of humour
[03:54.34] Vumilia kaa inakuuma
[03:55.90] Kuma isikufanye mtumwa
[03:57.36] Train ya drill hapa si boomba
[03:59.27] Vegan niliendea Fulham
[04:00.91] Samo ya street piga tapo
[04:02.78] Sionyeshe keja labda lojo
[04:04.75] Momo ametoka pango
[04:06.11] Ambieni corporal nimeramo
[04:08.43] Yo, mofo toka form four
[04:11.91] Aha, yo, mofo toka
[04:14.37] Tire ndaksus na kanyamo
[04:16.19] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[04:17.99] Ndula ni matisha na ni mtush
[04:19.69] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[04:22.82] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[04:26.23] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[04:28.58] Tire ndaksus na kanyamo
[04:29.65] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[04:31.24] Ndula ni matisha na ni mtush
[04:32.90] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[04:36.19] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[04:39.72] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[04:41.48] Tire ndaksus na kanyamo
[04:42.95] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[04:44.73] Ndula ni matisha na ni mtush
[04:46.31] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[04:49.33] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[04:52.80] Hata ukinibondea siezi kukusotea (zoea, zoea)
[04:54.68] Tire ndaksus na kanyamo
[04:56.15] Pira ni pyamu na ndranya mbricha
[04:58.05] Ndula ni matisha na ni mtush
[04:59.61] Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
[05:03.05] Ukichachisha mbogi itakupotea (zoea, zoea)
[05:05.90] Hata ukinibondea siezi kukusotea
[05:06.92]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings