Chuki
๐ต 1841 characters
โฑ๏ธ 4:44 duration
๐ ID: 4976016
๐ Lyrics
(Na-na, na-na, na-na, ah)
(Na-na, na-na, na-na, ah)
(Na-na, na-na, na-na, ah)
(Na-na, na-na, na-na, ah)
Ni sababu gani mwanitenda hivi
Uongo mwanena kunihusu mimi
Hamnifahamu hamjui, chenye nafanya maishani
Kwangu nyumbani, mwangu nyumbani
Mlijidai eti nyie marafiki
Kumbe nia zenu zilikuwa kundi
Kunitenganisha na mpenzi wa roho yangu na kuniacha
Mashakani, taabani
Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani

Mambo yenu mi sishughuliki nayo
Mnavyoishi mimi sina hoja nayo
Kinachonihusu si lazima mkifahamu na kushinda
Mkipiga domo, mkipiga domo
Mlichotenda kwangu kweli hakifai
Kiwango cha unchungu mlinipa yaani
Sina heshima kwenu tena, ukuta wa chuki mlijenga
Kati mi nanyi, kati mi nanyi

Ni shida kuamini yaani
(Na-na, na-na, na-na, ah)
Kiwango cha uchungu mlionipa
(Na-na, na-na, na-na, ah)
Heshima kwenu mimi sina tena
(Na-na, na-na, na-na, ah)
Basi chuki ndio mimi nahisi
Ni chuki, ndio nahisi (ndo nahisi), nikiwaza jinsi (ndo nahisi)
Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani (chuki ndio nahisi)
Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi)

Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (ndio nahisi)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:05.38] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[00:11.02] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[00:16.33] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[00:22.47] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[00:27.97] Ni sababu gani mwanitenda hivi
[00:33.54] Uongo mwanena kunihusu mimi
[00:38.06] Hamnifahamu hamjui, chenye nafanya maishani
[00:44.01] Kwangu nyumbani, mwangu nyumbani
[00:50.36] Mlijidai eti nyie marafiki
[00:56.48] Kumbe nia zenu zilikuwa kundi
[01:00.57] Kunitenganisha na mpenzi wa roho yangu na kuniacha
[01:06.56] Mashakani, taabani
[01:12.64] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[01:19.04] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[01:23.71] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[01:30.59] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[01:35.95] Mambo yenu mi sishughuliki nayo
[01:41.29] Mnavyoishi mimi sina hoja nayo
[01:45.73] Kinachonihusu si lazima mkifahamu na kushinda
[01:51.68] Mkipiga domo, mkipiga domo
[01:58.32] Mlichotenda kwangu kweli hakifai
[02:04.07] Kiwango cha unchungu mlinipa yaani
[02:08.56] Sina heshima kwenu tena, ukuta wa chuki mlijenga
[02:14.36] Kati mi nanyi, kati mi nanyi
[02:20.22] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[02:27.06] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[02:31.73] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[02:38.32] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[02:43.04] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[02:49.40] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[02:54.21] Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
[03:00.81] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[03:06.22] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[03:09.24] Ni shida kuamini yaani
[03:11.79] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[03:14.78] Kiwango cha uchungu mlionipa
[03:17.57] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[03:20.36] Heshima kwenu mimi sina tena
[03:23.00] (Na-na, na-na, na-na, ah)
[03:26.14] Basi chuki ndio mimi nahisi
[03:28.05] Ni chuki, ndio nahisi (ndo nahisi), nikiwaza jinsi (ndo nahisi)
[03:34.76] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani (chuki ndio nahisi)
[03:39.40] Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi)
[03:45.98] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[03:50.70] Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (ndio nahisi)
[03:57.20] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[04:02.07] Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi)
[04:08.55] Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
[04:15.39]