Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Diliti

๐Ÿ‘ค Ochungulo Family feat. Mejja โ€ข ๐ŸŽผ Diliti - Single โ€ข โฑ๏ธ 4:22
๐ŸŽต 1691 characters
โฑ๏ธ 4:22 duration
๐Ÿ†” ID: 4976095

๐Ÿ“œ Lyrics

Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Eh! Avunja vunja mifupa kama meno bado iko
Pepeta pepeta ndo tuwashe nare jiko
Kipusa kipusa legeza kiuno
Kabisa kabisa nigongee
Katisa katisa kalesa girimba
Napenda napenda kibonge
Saa tisa magiza nakuita Mellisa
Unasita unasita nikuconje
Sukisa sukisa, matuta matuta
Nikikuta nikikuta usikonde
Baby karibia mwaah
Chum nikuchum baby karibia mwaah
Nina kishssh karibia mwaah
Mmmmh mwaah mwaah mwaaah
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Wagenge nawagotea ka wasee wa coasto (aje?)
Hallo hallooo
Eh, Chorea huyo chali msupa
Manze ni dwanzi anakupiga mangumi
Kwangu mi nitakupamper ka ni kuchapa nakuchapa tu miti
Napenda vile unarombosa
Kwa dera najua hauna ngotha
Kevo akileta ujinga
Mimi ndio stress reliever
Nakutaka ile mbaya
Baby umeingiza vibaya
Ah ah, Eka sim 1, toa kwa sim 2
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Akothee chekesha
Hio matako tingisha
Fatuma napenda kiuno ukichachisha
Na sura changa ka Nyambura
Toto karembo ka Zarina
Kenya naipenda, Kenya tumebarikiwa
Watoto wetu warembo sana
Nyama choma tamu ukikula Gikomba
Mtaro tulale after busaa
Machozi ya simba
Wajanja ndio waoga
Mafisi ndio huachwa
Wajinga ndio hutokwa
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.12] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[00:16.58] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[00:25.10] Mimi sihami Kenya
[00:29.35] Mimi sihami Kenya
[00:33.25] Eh! Avunja vunja mifupa kama meno bado iko
[00:38.25] Pepeta pepeta ndo tuwashe nare jiko
[00:42.16] Kipusa kipusa legeza kiuno
[00:44.48] Kabisa kabisa nigongee
[00:46.52] Katisa katisa kalesa girimba
[00:48.62] Napenda napenda kibonge
[00:51.03] Saa tisa magiza nakuita Mellisa
[00:53.18] Unasita unasita nikuconje
[00:55.13] Sukisa sukisa, matuta matuta
[00:57.50] Nikikuta nikikuta usikonde
[00:59.62] Baby karibia mwaah
[01:01.73] Chum nikuchum baby karibia mwaah
[01:03.89] Nina kishssh karibia mwaah
[01:06.17] Mmmmh mwaah mwaah mwaaah
[01:08.46] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[01:16.69] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[01:24.94] Mimi sihami Kenya
[01:29.47] Mimi sihami Kenya
[01:33.86] Mimi sihami Kenya
[01:38.06] Mimi sihami Kenya
[01:42.14] Wagenge nawagotea ka wasee wa coasto (aje?)
[01:46.95] Hallo hallooo
[01:50.35] Eh, Chorea huyo chali msupa
[01:52.41] Manze ni dwanzi anakupiga mangumi
[01:55.06] Kwangu mi nitakupamper ka ni kuchapa nakuchapa tu miti
[01:59.28] Napenda vile unarombosa
[02:01.51] Kwa dera najua hauna ngotha
[02:03.98] Kevo akileta ujinga
[02:06.35] Mimi ndio stress reliever
[02:08.11] Nakutaka ile mbaya
[02:10.23] Baby umeingiza vibaya
[02:12.91] Ah ah, Eka sim 1, toa kwa sim 2
[02:16.57] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[02:24.89] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[02:33.89] Mimi sihami Kenya
[02:37.99] Mimi sihami Kenya
[02:42.13] Mimi sihami Kenya
[02:46.54] Mimi sihami Kenya
[02:50.79] Akothee chekesha
[02:53.15] Hio matako tingisha
[02:55.25] Fatuma napenda kiuno ukichachisha
[02:59.10] Na sura changa ka Nyambura
[03:01.79] Toto karembo ka Zarina
[03:03.82] Kenya naipenda, Kenya tumebarikiwa
[03:07.79] Watoto wetu warembo sana
[03:10.35] Nyama choma tamu ukikula Gikomba
[03:14.22] Mtaro tulale after busaa
[03:16.62] Machozi ya simba
[03:18.72] Wajanja ndio waoga
[03:20.89] Mafisi ndio huachwa
[03:23.27] Wajinga ndio hutokwa
[03:25.56] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[03:33.64] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[03:42.31] Mimi sihami Kenya
[03:46.26] Mimi sihami Kenya
[03:50.90] Mimi sihami Kenya
[03:55.18] Mimi sihami Kenya
[03:59.57] Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
[04:07.99] Mimi sihami Kenya
[04:12.65] Mimi sihami Kenya
[04:16.88]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings