Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Doorstep

๐Ÿ‘ค Bensoul feat. Zzero Sufuri โ€ข ๐ŸŽผ Doorstep - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:55
๐ŸŽต 1932 characters
โฑ๏ธ 3:55 duration
๐Ÿ†” ID: 4976127

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmmmmm!
Sol generation
This is another one

Yeah!
Hey lovely? Umekuja na nani?
Juu nimenoki vile unacheka so bubbly
Nipe mechi hata tupige ka-friendly
One time nikuonyeshe mapenzi

But your Aunty Aunty
Hapendi wanati
Kwanza akiniona anaonanga bangi
Hata baba yako amenishika mashati
Ila naomba wewe unipe nafasi
Yeah!

The good times are calling
Why you ignoring?
Don't say you're boring
And my heart is ready for you
Fun times are calling
I should be loving you
If I hurt you I'm sorry
But tonight I came here for you

I'm at your doorstep
Niko mavela na zimeni-show ni wewe
Nitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah! Yeah!
At your doorstep
Niko vela na zimeni-show ni wewe
Nitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah!

Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah!

Yoh! Yoh!
Ni Zzero
Kama source mi ndio sauce
Mi ndio boss Mi ndio world boss
Cheki! Twende! (Juu sitoki hapa mpaka we' utoke)

Nashika pen na paper na
Siko Ketepa si
Nikuzitoka ni
Ka' tuko mboka
Mi hupendanga ma-whiskey
Wengine ma-vodka
Kuna wasee hupenda miti
Wengine mogoka

Na si' maajabu ukilegeza unatokwa
Tusupa leo ni twingi ka' uko chini unakopa
Look safi ni ka' nimekuja na chopper
Mi hukatanga na panga
Round ingine na shoka

Cheki
Rada safi kwanza nikiwa na Nike
Aka ni Jose Mary ndio hukuwanga mi wifey
Ye' ndio manze hunifanya nifanye vitu sitaki eh!
Nishaji-report kwake nilishajishtaki
Na taki ya kumshikilia kwa maji ka' samaki (samaki)
Ni Stsss! Nipunguze wasiwasi Ibaki
Niaje kunanukia mananasi?
Ama ni Nana ni amenikulisha nanasi?

I'm at your doorstep
Niko mavela na zimeni-show ni wewe
Nitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah! Yeah!
At your doorstep
Niko vela na zimeni-show ni wewe
Nitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah!

Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah!

Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
Yeah! Yeah!

Uuuuuuuuuh!

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.60] Mmmmmmm!
[00:18.54] Sol generation
[00:21.97] This is another one
[00:24.26] Yeah!
[00:25.27] Hey lovely? Umekuja na nani?
[00:27.72] Juu nimenoki vile unacheka so bubbly
[00:30.55] Nipe mechi hata tupige ka-friendly
[00:33.43] One time nikuonyeshe mapenzi
[00:35.98] But your Aunty Aunty
[00:37.32] Hapendi wanati
[00:38.76] Kwanza akiniona anaonanga bangi
[00:41.89] Hata baba yako amenishika mashati
[00:44.94] Ila naomba wewe unipe nafasi
[00:47.50] Yeah!
[00:48.85] The good times are calling
[00:51.56] Why you ignoring?
[00:54.52] Don't say you're boring
[00:57.08] And my heart is ready for you
[01:00.68] Fun times are calling
[01:03.49] I should be loving you
[01:05.92] If I hurt you I'm sorry
[01:08.70] But tonight I came here for you
[01:10.92] I'm at your doorstep
[01:13.49] Niko mavela na zimeni-show ni wewe
[01:16.47] Nitabisha hadi babako atoke
[01:19.33] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[01:21.84] Yeah! Yeah! Yeah!
[01:23.45] At your doorstep
[01:25.11] Niko vela na zimeni-show ni wewe
[01:27.62] Nitabisha hadi babako atoke
[01:30.44] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[01:32.91] Yeah! Yeah!
[01:34.38]
[01:42.14] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[01:44.42] Yeah! Yeah!
[01:46.18] Yoh! Yoh!
[01:48.52] Ni Zzero
[01:50.14] Kama source mi ndio sauce
[01:51.73] Mi ndio boss Mi ndio world boss
[01:53.63] Cheki! Twende! (Juu sitoki hapa mpaka we' utoke)
[01:56.61] Nashika pen na paper na
[01:58.45] Siko Ketepa si
[01:59.29] Nikuzitoka ni
[02:00.90] Ka' tuko mboka
[02:02.28] Mi hupendanga ma-whiskey
[02:03.69] Wengine ma-vodka
[02:05.05] Kuna wasee hupenda miti
[02:06.45] Wengine mogoka
[02:08.20] Na si' maajabu ukilegeza unatokwa
[02:10.94] Tusupa leo ni twingi ka' uko chini unakopa
[02:14.41] Look safi ni ka' nimekuja na chopper
[02:16.69] Mi hukatanga na panga
[02:18.05] Round ingine na shoka
[02:19.12] Cheki
[02:20.23] Rada safi kwanza nikiwa na Nike
[02:22.64] Aka ni Jose Mary ndio hukuwanga mi wifey
[02:25.69] Ye' ndio manze hunifanya nifanye vitu sitaki eh!
[02:28.45] Nishaji-report kwake nilishajishtaki
[02:30.99] Na taki ya kumshikilia kwa maji ka' samaki (samaki)
[02:34.74] Ni Stsss! Nipunguze wasiwasi Ibaki
[02:37.54] Niaje kunanukia mananasi?
[02:40.10] Ama ni Nana ni amenikulisha nanasi?
[02:42.80] I'm at your doorstep
[02:45.06] Niko mavela na zimeni-show ni wewe
[02:47.74] Nitabisha hadi babako atoke
[02:50.81] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[02:53.23] Yeah! Yeah! Yeah!
[02:54.97] At your doorstep
[02:56.36] Niko vela na zimeni-show ni wewe
[02:59.16] Nitabisha hadi babako atoke
[03:02.20] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[03:04.76] Yeah! Yeah!
[03:06.11]
[03:13.30] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[03:16.19] Yeah! Yeah!
[03:17.67]
[03:25.16] Juu sitoki hapa mpaka we' utoke
[03:27.69] Yeah! Yeah!
[03:30.58] Uuuuuuuuuh!
[03:53.92]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings