Dume Suruali
๐ต 2485 characters
โฑ๏ธ 3:42 duration
๐ ID: 4976145
๐ Lyrics
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
Falsafaaaa
Who dat who dat hii ni salamu
Na ufahamu kama unauza mapenzi si kwa binamu
Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
Hakuna kitu utapata utangoja kama
Askari wa zamu
Dume suruali dume kaptura
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi
Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi
Hata upige sarakasi utachonga viazi
(Bahiri kama nini)
Ndo mnavyosema na
Ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci, find it
Spend all on a girl like me
My name is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Nionge nanunua nini kwanini yani
Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani
Usiulize ntakupa nini dada
Piga moyo konde
Viuno vingi kama mwari wa kimakonde
Usipende ela kama mfuko
Au fanya unavyofanya upate zako
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
Na ujifunze pesa zinauza utu wako
Tajiri mtata kama Sallah
Zipo ila sitoi
Sio Bahiri mimi balaa
Unapenda ela zangu nami nazipenda pia
Kila mtu abaki na zake
Bye babe tutaongea
(Mwanaume wa hivyo wa nini sasa?)
Ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aaah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci find if
Spend all on a girl like me
Money is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Aje aje mi mtoto flani ghari
Yeaah nionge gari
My sweet sweet babe
Wanna see you today unipeleke Paris
Aje aje njoo nikupetipeti
Yeaaah
Siyo kwa enzi ya magufuli
Zari lilikuwa long
Siku hizi hakuna la mentali
Nikikuonga na ukaniacha ntakujia usingizini
Naepusha shari
Matatizo yote ya nini?
Hakuna kipya chini ya jua
Hata nsiyoyafanya nshayasikia
Ningekuwa muongaji
Ningeshafulia wangu
Mademu wangu wa zamani
Wote wangekuwa maadui zangu
(Mwanaume hovyo wewe)
Ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
(Baki na hamu zako)
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aaah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci find it
Spend all on a girl like me
Money is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Baba bure huyu
Hata Panton linastaafu
Unamwambia nani sasa
Unamwambia nani sasa
Kaa mbali nami mbali nami
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
Falsafaaaa
Who dat who dat hii ni salamu
Na ufahamu kama unauza mapenzi si kwa binamu
Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
Hakuna kitu utapata utangoja kama
Askari wa zamu
Dume suruali dume kaptura
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi
Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi
Hata upige sarakasi utachonga viazi
(Bahiri kama nini)
Ndo mnavyosema na
Ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci, find it
Spend all on a girl like me
My name is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Nionge nanunua nini kwanini yani
Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani
Usiulize ntakupa nini dada
Piga moyo konde
Viuno vingi kama mwari wa kimakonde
Usipende ela kama mfuko
Au fanya unavyofanya upate zako
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
Na ujifunze pesa zinauza utu wako
Tajiri mtata kama Sallah
Zipo ila sitoi
Sio Bahiri mimi balaa
Unapenda ela zangu nami nazipenda pia
Kila mtu abaki na zake
Bye babe tutaongea
(Mwanaume wa hivyo wa nini sasa?)
Ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aaah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci find if
Spend all on a girl like me
Money is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Aje aje mi mtoto flani ghari
Yeaah nionge gari
My sweet sweet babe
Wanna see you today unipeleke Paris
Aje aje njoo nikupetipeti
Yeaaah
Siyo kwa enzi ya magufuli
Zari lilikuwa long
Siku hizi hakuna la mentali
Nikikuonga na ukaniacha ntakujia usingizini
Naepusha shari
Matatizo yote ya nini?
Hakuna kipya chini ya jua
Hata nsiyoyafanya nshayasikia
Ningekuwa muongaji
Ningeshafulia wangu
Mademu wangu wa zamani
Wote wangekuwa maadui zangu
(Mwanaume hovyo wewe)
Ndo mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
(Baki na hamu zako)
Wewe ni dume suruali
Kaa mbali nami mbali nami aaah
Kama dume suruali
Kaa mbali nami uendani nami
I want that Gucci find it
Spend all on a girl like me
Money is Vee Money money
Spend all on a girl like me
Baba bure huyu
Hata Panton linastaafu
Unamwambia nani sasa
Unamwambia nani sasa
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:09.54] Wewe ni dume suruali
[00:11.01] Kaa mbali nami mbali nami
[00:14.35] Kama dume suruali
[00:15.70] Kaa mbali nami uendani nami
[00:17.98] Falsafaaaa
[00:19.16] Who dat who dat hii ni salamu
[00:21.08] Na ufahamu kama unauza mapenzi si kwa binamu
[00:23.44] Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
[00:25.98] Hakuna kitu utapata utangoja kama
[00:27.62] Askari wa zamu
[00:28.65] Dume suruali dume kaptura
[00:30.76] Shauri zako ilimradi sipati hasara
[00:33.21] Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
[00:35.35] Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
[00:37.75] Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi
[00:40.03] Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
[00:42.48] Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi
[00:44.84] Hata upige sarakasi utachonga viazi
[00:47.19] (Bahiri kama nini)
[00:48.72] Ndo mnavyosema na
[00:50.24] Ukiniomba kesho hunisikii tena
[00:51.98] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[00:57.05] Wewe ni dume suruali
[00:58.23] Kaa mbali nami mbali nami aah
[01:01.93] Kama dume suruali
[01:03.38] Kaa mbali nami uendani nami
[01:05.76] I want that Gucci, find it
[01:08.85] Spend all on a girl like me
[01:10.57] My name is Vee Money money
[01:12.72] Spend all on a girl like me
[01:15.91] Nionge nanunua nini kwanini yani
[01:18.11] Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani
[01:20.64] Usiulize ntakupa nini dada
[01:21.86] Piga moyo konde
[01:23.22] Viuno vingi kama mwari wa kimakonde
[01:26.32] Usipende ela kama mfuko
[01:27.63] Au fanya unavyofanya upate zako
[01:30.01] Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
[01:32.87] Na ujifunze pesa zinauza utu wako
[01:35.82] Tajiri mtata kama Sallah
[01:37.23] Zipo ila sitoi
[01:38.03] Sio Bahiri mimi balaa
[01:39.68] Unapenda ela zangu nami nazipenda pia
[01:41.95] Kila mtu abaki na zake
[01:43.19] Bye babe tutaongea
[01:44.24] (Mwanaume wa hivyo wa nini sasa?)
[01:46.09] Ndo mnavyosema
[01:47.07] Na ukiniomba kesho hunisikii tena
[01:49.08] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[01:53.98] Wewe ni dume suruali
[01:55.60] Kaa mbali nami mbali nami aaah
[01:59.03] Kama dume suruali
[02:00.27] Kaa mbali nami uendani nami
[02:02.86] I want that Gucci find if
[02:05.56] Spend all on a girl like me
[02:07.51] Money is Vee Money money
[02:10.64] Spend all on a girl like me
[02:13.12] Aje aje mi mtoto flani ghari
[02:17.17] Yeaah nionge gari
[02:19.71] My sweet sweet babe
[02:22.66] Wanna see you today unipeleke Paris
[02:27.38] Aje aje njoo nikupetipeti
[02:31.33] Yeaaah
[02:32.39] Siyo kwa enzi ya magufuli
[02:34.25] Zari lilikuwa long
[02:35.36] Siku hizi hakuna la mentali
[02:36.42] Nikikuonga na ukaniacha ntakujia usingizini
[02:38.99] Naepusha shari
[02:40.07] Matatizo yote ya nini?
[02:42.50] Hakuna kipya chini ya jua
[02:43.81] Hata nsiyoyafanya nshayasikia
[02:46.20] Ningekuwa muongaji
[02:47.32] Ningeshafulia wangu
[02:48.49] Mademu wangu wa zamani
[02:49.56] Wote wangekuwa maadui zangu
[02:50.82] (Mwanaume hovyo wewe)
[02:52.33] Ndo mnavyosema
[02:53.55] Na ukiniomba kesho hunisikii tena
[02:55.50] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[02:58.21] (Baki na hamu zako)
[03:00.34] Wewe ni dume suruali
[03:02.10] Kaa mbali nami mbali nami aaah
[03:05.54] Kama dume suruali
[03:06.82] Kaa mbali nami uendani nami
[03:09.37] I want that Gucci find it
[03:12.31] Spend all on a girl like me
[03:14.13] Money is Vee Money money
[03:16.72] Spend all on a girl like me
[03:19.73] Baba bure huyu
[03:21.71] Hata Panton linastaafu
[03:23.34] Unamwambia nani sasa
[03:24.48] Unamwambia nani sasa
[03:29.10]
[00:11.01] Kaa mbali nami mbali nami
[00:14.35] Kama dume suruali
[00:15.70] Kaa mbali nami uendani nami
[00:17.98] Falsafaaaa
[00:19.16] Who dat who dat hii ni salamu
[00:21.08] Na ufahamu kama unauza mapenzi si kwa binamu
[00:23.44] Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu
[00:25.98] Hakuna kitu utapata utangoja kama
[00:27.62] Askari wa zamu
[00:28.65] Dume suruali dume kaptura
[00:30.76] Shauri zako ilimradi sipati hasara
[00:33.21] Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
[00:35.35] Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
[00:37.75] Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi
[00:40.03] Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
[00:42.48] Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi
[00:44.84] Hata upige sarakasi utachonga viazi
[00:47.19] (Bahiri kama nini)
[00:48.72] Ndo mnavyosema na
[00:50.24] Ukiniomba kesho hunisikii tena
[00:51.98] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[00:57.05] Wewe ni dume suruali
[00:58.23] Kaa mbali nami mbali nami aah
[01:01.93] Kama dume suruali
[01:03.38] Kaa mbali nami uendani nami
[01:05.76] I want that Gucci, find it
[01:08.85] Spend all on a girl like me
[01:10.57] My name is Vee Money money
[01:12.72] Spend all on a girl like me
[01:15.91] Nionge nanunua nini kwanini yani
[01:18.11] Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani
[01:20.64] Usiulize ntakupa nini dada
[01:21.86] Piga moyo konde
[01:23.22] Viuno vingi kama mwari wa kimakonde
[01:26.32] Usipende ela kama mfuko
[01:27.63] Au fanya unavyofanya upate zako
[01:30.01] Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
[01:32.87] Na ujifunze pesa zinauza utu wako
[01:35.82] Tajiri mtata kama Sallah
[01:37.23] Zipo ila sitoi
[01:38.03] Sio Bahiri mimi balaa
[01:39.68] Unapenda ela zangu nami nazipenda pia
[01:41.95] Kila mtu abaki na zake
[01:43.19] Bye babe tutaongea
[01:44.24] (Mwanaume wa hivyo wa nini sasa?)
[01:46.09] Ndo mnavyosema
[01:47.07] Na ukiniomba kesho hunisikii tena
[01:49.08] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[01:53.98] Wewe ni dume suruali
[01:55.60] Kaa mbali nami mbali nami aaah
[01:59.03] Kama dume suruali
[02:00.27] Kaa mbali nami uendani nami
[02:02.86] I want that Gucci find if
[02:05.56] Spend all on a girl like me
[02:07.51] Money is Vee Money money
[02:10.64] Spend all on a girl like me
[02:13.12] Aje aje mi mtoto flani ghari
[02:17.17] Yeaah nionge gari
[02:19.71] My sweet sweet babe
[02:22.66] Wanna see you today unipeleke Paris
[02:27.38] Aje aje njoo nikupetipeti
[02:31.33] Yeaaah
[02:32.39] Siyo kwa enzi ya magufuli
[02:34.25] Zari lilikuwa long
[02:35.36] Siku hizi hakuna la mentali
[02:36.42] Nikikuonga na ukaniacha ntakujia usingizini
[02:38.99] Naepusha shari
[02:40.07] Matatizo yote ya nini?
[02:42.50] Hakuna kipya chini ya jua
[02:43.81] Hata nsiyoyafanya nshayasikia
[02:46.20] Ningekuwa muongaji
[02:47.32] Ningeshafulia wangu
[02:48.49] Mademu wangu wa zamani
[02:49.56] Wote wangekuwa maadui zangu
[02:50.82] (Mwanaume hovyo wewe)
[02:52.33] Ndo mnavyosema
[02:53.55] Na ukiniomba kesho hunisikii tena
[02:55.50] Kwani unauza nini dada hunitakii mema
[02:58.21] (Baki na hamu zako)
[03:00.34] Wewe ni dume suruali
[03:02.10] Kaa mbali nami mbali nami aaah
[03:05.54] Kama dume suruali
[03:06.82] Kaa mbali nami uendani nami
[03:09.37] I want that Gucci find it
[03:12.31] Spend all on a girl like me
[03:14.13] Money is Vee Money money
[03:16.72] Spend all on a girl like me
[03:19.73] Baba bure huyu
[03:21.71] Hata Panton linastaafu
[03:23.34] Unamwambia nani sasa
[03:24.48] Unamwambia nani sasa
[03:29.10]