Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Get a Tako

๐Ÿ‘ค Dmore โ€ข ๐ŸŽผ Get a Tako โ€ข โฑ๏ธ 3:16
๐ŸŽต 1913 characters
โฑ๏ธ 3:16 duration
๐Ÿ†” ID: 4976281

๐Ÿ“œ Lyrics

Gong gong fungua duka gudu iko njaa
Taka toa kutu Wambo ndio form anadai sekete
Finya lila lolo bila kelele
Ting a ling is a Hitman ting
Mbichwa kibao tuna legalizing
Take a dash rada ni kwa get a tako Tuna darua darua hapa hapan tambua
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
Ukikatika na haga una wahi wahi
Waroro wenye tako wanadai dai
Vitu safi, mangwai tuko high high
DMore cheki vile pongi imesimama
Niko Bridge, niko on samahani
Mbichwa kibao tokea joh gizani
Ziwake sana tudare hao mafine queen
Zikishika unawai mshikaji
Ndani ndani kwa ndae ni mamanzi
Meditation, marinating ndio formation
Cheki vile wanambao kiatu mbati
Mamdem wanawai msee wa mikaki
Ona vitu zinasonga maskani
Tingi tingi chingi si ana fiti fiti Biggy biggy wana bum biggy biggy
Aki sweety niamshe kijiti
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
They say am getting money Talk to devil, my Buggati
They say am getting money Ju nishambuyia hadi Ferrari
Mi siko ndani yani Ati 'Chokoch' rada gani?
Siku hizi masomo stress Labda tusome Tai Chi
Walai Madem huitwa Ndanu Huwa fiti than VT
Nairobi hakuna manzi ya bure Labda udoz na VVC
Rap yako mi stambui Ka ni ya Kenya in Dubai
Hii game nilianza me Niko idhaa kutoka zamani
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
Maubez zimeshika Niko maribaaa ... Niko mariba
Na Anita umebeba Tebu chunga mimbaaa ...
Tebu chunga mimba (Kaa na rada, kaa na rada)
Na manjege wako rada utadhani dumba
Ni kidogo nilisema utapigwa tisa
Chunga washirika Hapa si kanisaaa ... Hapa si kanisa
Vuta makamasi unachachishaa ... unachachisha
Azuzu kwenye rada unasafishaaa ... tebu safisha
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako
1, 2 get a tako 3, 4 a big tako

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings