Hasara
๐ต 1392 characters
โฑ๏ธ 3:54 duration
๐ ID: 4976318
๐ Lyrics
Ahaaa ahaaa
Mmmh mmmh
(Mr LG)... haaa...
Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Sije tenda dhambi mmh
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
Bora nihame kambi mmmh
Kama subira ina mwisho
Ina mwisho wake maana
Asali umeimaliza mzinga
Ukanifanya tahira
Suluhisho nimeona kwako hamna
Moyo wangu si wa mninga
Najitoa
Tunangombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe
Hunipendi unang'onga kisogo
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe
Kukupenda tena staki!
Nimekoma staki!
Kukuona staki!
Narudia tena staki!
Kukuona staki!
Nimekoma staki!
Bora nihesabu
Kwa penzi nimepata
Hasara aah (oh hasara)
Hasara aah
Hasara, hasara
Hasara ya roho
Penzi imekwenda zake
Hasara aah (hasara ni)
Hasara aah (hasara ni)
Hasara, hasara
Kina cha maji matitu
Kanacha bila boya nijifie
Kosa langu nini?
Mchana nauona ka usiku
Nachacha nyie maumivu niyasikie
Yasiwakuteni iiih
Na kama albadiri
Ya bayana umeniumbua
Umeniadhiri
Umeniacha mnyama na nguo umenivua
Kukupenda tena staki!
Nimekoma staki!
Kukuona staki!
Narudia tena staki!
Kukuona staki!
Nimekoma staki!
Heee! Bora nihesabu tu
Kama nimepata
Hasara aah (oh hasara)
Hasara aah (hii hasara)
Hasara, hasara
Hasara ya roho
Penzi imekwenda zake
Hasara aah (hasara ni)
Hasara aah (hasara ni)
Hasara, hasara
(Ka mix Lizer)
Haa, haa, haa...
Bora mi nibaki nalia
Haa, haa, haa...
No no nono noo
Mmmh
Mmmh mmmh
(Mr LG)... haaa...
Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Sije tenda dhambi mmh
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
Bora nihame kambi mmmh
Kama subira ina mwisho
Ina mwisho wake maana
Asali umeimaliza mzinga
Ukanifanya tahira
Suluhisho nimeona kwako hamna
Moyo wangu si wa mninga
Najitoa
Tunangombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe
Hunipendi unang'onga kisogo
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe
Kukupenda tena staki!
Nimekoma staki!
Kukuona staki!
Narudia tena staki!
Kukuona staki!
Nimekoma staki!
Bora nihesabu
Kwa penzi nimepata
Hasara aah (oh hasara)
Hasara aah
Hasara, hasara
Hasara ya roho
Penzi imekwenda zake
Hasara aah (hasara ni)
Hasara aah (hasara ni)
Hasara, hasara
Kina cha maji matitu
Kanacha bila boya nijifie
Kosa langu nini?
Mchana nauona ka usiku
Nachacha nyie maumivu niyasikie
Yasiwakuteni iiih
Na kama albadiri
Ya bayana umeniumbua
Umeniadhiri
Umeniacha mnyama na nguo umenivua
Kukupenda tena staki!
Nimekoma staki!
Kukuona staki!
Narudia tena staki!
Kukuona staki!
Nimekoma staki!
Heee! Bora nihesabu tu
Kama nimepata
Hasara aah (oh hasara)
Hasara aah (hii hasara)
Hasara, hasara
Hasara ya roho
Penzi imekwenda zake
Hasara aah (hasara ni)
Hasara aah (hasara ni)
Hasara, hasara
(Ka mix Lizer)
Haa, haa, haa...
Bora mi nibaki nalia
Haa, haa, haa...
No no nono noo
Mmmh
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:06.02] Ahaaa ahaaa
[00:09.57]
[00:11.79] Mmmh mmmh
[00:16.08] (Mr LG)... haaa...
[00:19.99] Mi staki tuongee
[00:22.41] Moyoni nina machungu machungu
[00:25.90] Sije tenda dhambi mmh
[00:30.43] Ila chozi la mnyonge
[00:33.49] Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
[00:36.97] Bora nihame kambi mmmh
[00:41.73] Kama subira ina mwisho
[00:44.93] Ina mwisho wake maana
[00:47.56] Asali umeimaliza mzinga
[00:52.51] Ukanifanya tahira
[00:55.52] Suluhisho nimeona kwako hamna
[00:58.95] Moyo wangu si wa mninga
[01:01.91] Najitoa
[01:04.45] Tunangombana kwa vitu vidogo
[01:04.53] Kosa si kosa unageuka mbogo
[01:09.57] Huna dogo wewe
[01:14.31] Hunipendi unang'onga kisogo
[01:17.83] Punda siendi eti bila magongo
[01:20.53] Mpenda zogo wewe
[01:23.61]
[01:25.63] Kukupenda tena staki!
[01:29.31] Nimekoma staki!
[01:31.75] Kukuona staki!
[01:36.99] Narudia tena staki!
[01:40.40] Kukuona staki!
[01:43.18] Nimekoma staki!
[01:46.68] Bora nihesabu
[01:47.86] Kwa penzi nimepata
[01:49.04] Hasara aah (oh hasara)
[01:51.99] Hasara aah
[01:54.64] Hasara, hasara
[01:57.61] Hasara ya roho
[01:59.59] Penzi imekwenda zake
[02:00.85] Hasara aah (hasara ni)
[02:02.62] Hasara aah (hasara ni)
[02:05.93] Hasara, hasara
[02:09.15] Kina cha maji matitu
[02:12.39] Kanacha bila boya nijifie
[02:15.84] Kosa langu nini?
[02:20.28] Mchana nauona ka usiku
[02:23.24] Nachacha nyie maumivu niyasikie
[02:26.35] Yasiwakuteni iiih
[02:31.39] Na kama albadiri
[02:34.39] Ya bayana umeniumbua
[02:37.25] Umeniadhiri
[02:39.65] Umeniacha mnyama na nguo umenivua
[02:42.81] Kukupenda tena staki!
[02:45.53] Nimekoma staki!
[02:48.26] Kukuona staki!
[02:53.75] Narudia tena staki!
[02:56.96] Kukuona staki!
[02:59.61] Nimekoma staki!
[03:02.57] Heee! Bora nihesabu tu
[03:05.10] Kama nimepata
[03:05.99] Hasara aah (oh hasara)
[03:08.56] Hasara aah (hii hasara)
[03:11.58] Hasara, hasara
[03:14.57] Hasara ya roho
[03:15.52] Penzi imekwenda zake
[03:17.12] Hasara aah (hasara ni)
[03:19.07] Hasara aah (hasara ni)
[03:22.06] Hasara, hasara
[03:25.15] (Ka mix Lizer)
[03:27.87] Haa, haa, haa...
[03:31.58]
[03:36.71] Bora mi nibaki nalia
[03:38.66] Haa, haa, haa...
[03:43.18] No no nono noo
[03:45.56] Mmmh
[03:47.14]
[00:09.57]
[00:11.79] Mmmh mmmh
[00:16.08] (Mr LG)... haaa...
[00:19.99] Mi staki tuongee
[00:22.41] Moyoni nina machungu machungu
[00:25.90] Sije tenda dhambi mmh
[00:30.43] Ila chozi la mnyonge
[00:33.49] Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
[00:36.97] Bora nihame kambi mmmh
[00:41.73] Kama subira ina mwisho
[00:44.93] Ina mwisho wake maana
[00:47.56] Asali umeimaliza mzinga
[00:52.51] Ukanifanya tahira
[00:55.52] Suluhisho nimeona kwako hamna
[00:58.95] Moyo wangu si wa mninga
[01:01.91] Najitoa
[01:04.45] Tunangombana kwa vitu vidogo
[01:04.53] Kosa si kosa unageuka mbogo
[01:09.57] Huna dogo wewe
[01:14.31] Hunipendi unang'onga kisogo
[01:17.83] Punda siendi eti bila magongo
[01:20.53] Mpenda zogo wewe
[01:23.61]
[01:25.63] Kukupenda tena staki!
[01:29.31] Nimekoma staki!
[01:31.75] Kukuona staki!
[01:36.99] Narudia tena staki!
[01:40.40] Kukuona staki!
[01:43.18] Nimekoma staki!
[01:46.68] Bora nihesabu
[01:47.86] Kwa penzi nimepata
[01:49.04] Hasara aah (oh hasara)
[01:51.99] Hasara aah
[01:54.64] Hasara, hasara
[01:57.61] Hasara ya roho
[01:59.59] Penzi imekwenda zake
[02:00.85] Hasara aah (hasara ni)
[02:02.62] Hasara aah (hasara ni)
[02:05.93] Hasara, hasara
[02:09.15] Kina cha maji matitu
[02:12.39] Kanacha bila boya nijifie
[02:15.84] Kosa langu nini?
[02:20.28] Mchana nauona ka usiku
[02:23.24] Nachacha nyie maumivu niyasikie
[02:26.35] Yasiwakuteni iiih
[02:31.39] Na kama albadiri
[02:34.39] Ya bayana umeniumbua
[02:37.25] Umeniadhiri
[02:39.65] Umeniacha mnyama na nguo umenivua
[02:42.81] Kukupenda tena staki!
[02:45.53] Nimekoma staki!
[02:48.26] Kukuona staki!
[02:53.75] Narudia tena staki!
[02:56.96] Kukuona staki!
[02:59.61] Nimekoma staki!
[03:02.57] Heee! Bora nihesabu tu
[03:05.10] Kama nimepata
[03:05.99] Hasara aah (oh hasara)
[03:08.56] Hasara aah (hii hasara)
[03:11.58] Hasara, hasara
[03:14.57] Hasara ya roho
[03:15.52] Penzi imekwenda zake
[03:17.12] Hasara aah (hasara ni)
[03:19.07] Hasara aah (hasara ni)
[03:22.06] Hasara, hasara
[03:25.15] (Ka mix Lizer)
[03:27.87] Haa, haa, haa...
[03:31.58]
[03:36.71] Bora mi nibaki nalia
[03:38.66] Haa, haa, haa...
[03:43.18] No no nono noo
[03:45.56] Mmmh
[03:47.14]