Hauna
๐ต 1424 characters
โฑ๏ธ 3:36 duration
๐ ID: 4976324
๐ Lyrics
Iyeee ye ye ye
Iye ye ye
Wo wo wo
Ilikuwa inakuumaga ukiniona nae
Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uwage mie
Ndo maana nilivyo muacha ukaamua umuoe
We hauna, we hauna
Hauna moyo kabisa hauna
We hauna, we hauna
Ulumagiki hata kulika
Hauna wewe
Alivopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini
Nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua mnayapanga ya kwenu nyinyi
Mpaka umemteka umekua gaidi juu uuh
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji
Aah
Shemeji eeh
Shemeji shemeji eeeh
Kiroho upande
Shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande
Mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana
Eti Unatupendaga sana kumbe we nichora
Kumbe nyuki mwenye laana
Kaniacha manundu ya machana nilivyo beep
Kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
Kama masihara umemvisha na shela
We mbona ni mbaya oh Ni mbaya
Sijui ulimpa dawa au ndo hela
Ila yote sawa mi Nasema inshallah mungu atalipa
Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini
Nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua mnayapanga ya
Kwenu nyinyi mpaka umemteka umekua gaidi juu
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji
Aah
Shemeji eeh
Shemeji shemeji eeeh
Kiroho upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande
Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.77] Iyeee ye ye ye
[00:07.15] Iye ye ye
[00:15.20] Wo wo wo
[00:19.93] Ilikuwa inakuumaga ukiniona nae
[00:22.37] Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
[00:27.16] Ulitamani wewe ndo uwage mie
[00:34.15] Ndo maana nilivyo muacha ukaamua umuoe
[00:36.43] We hauna, we hauna
[00:41.55] Hauna moyo kabisa hauna
[00:45.24] We hauna, we hauna
[00:51.11] Ulumagiki hata kulika
[00:54.06] Hauna wewe
[00:57.87] Alivopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini
[01:04.72] Nilijua ushemeji tu
[01:08.29] Kumbe kule mlikua mnayapanga ya kwenu nyinyi
[01:12.75] Mpaka umemteka umekua gaidi juu uuh
[01:16.71] Nimekubali nimekubali
[01:21.54] Nimekubali nitamwita shemeji oh
[01:26.61] Nimekubali nimekubali
[01:31.97] Nimekubali nitamwita shemeji
[01:35.29] Aah
[01:36.30] Shemeji eeh
[01:38.50] Shemeji shemeji eeeh
[01:39.52] Kiroho upande
[01:40.63] Shemeji eeh shemeji shemeji eeh
[01:44.18] Kishingo upande
[01:45.75] Mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana
[01:51.55] Eti Unatupendaga sana kumbe we nichora
[01:55.50] Kumbe nyuki mwenye laana
[01:58.60] Kaniacha manundu ya machana nilivyo beep
[02:01.12] Kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
[02:04.68] Kama masihara umemvisha na shela
[02:08.65] We mbona ni mbaya oh Ni mbaya
[02:13.72] Sijui ulimpa dawa au ndo hela
[02:18.51] Ila yote sawa mi Nasema inshallah mungu atalipa
[02:24.12] Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini
[02:31.09] Nilijua ushemeji tu
[02:33.07] Kumbe kule mlikua mnayapanga ya
[02:37.06] Kwenu nyinyi mpaka umemteka umekua gaidi juu
[02:42.54] Nimekubali nimekubali
[02:48.12] Nimekubali nitamwita shemeji oh
[02:52.65] Nimekubali nimekubali
[02:57.40] Nimekubali nitamwita shemeji
[03:01.78] Aah
[03:02.77] Shemeji eeh
[03:04.18] Shemeji shemeji eeeh
[03:05.94] Kiroho upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh
[03:10.59] Kishingo upande
[03:12.43] Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji oh
[03:20.16] Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji
[03:32.16]