Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Huu Mwaka

๐Ÿ‘ค Jaguar โ€ข ๐ŸŽผ Kioo โ€ข โฑ๏ธ 4:02
๐ŸŽต 1620 characters
โฑ๏ธ 4:02 duration
๐Ÿ†” ID: 4976348

๐Ÿ“œ Lyrics

Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee
Lazima huu mwaka niwashangaze lazima nipate ee yeah ee
Huu mwaka lazima nipate ee yeah ee huu mwaka lazima nipate
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
Wanasema masikini ni mtumishi wa tajiri
Miaka iliyopita maisha yangu kajawa na giza totoro
Nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni
Nyumba nzuri, gari nzuri, kazi nzuri, bibi na familia
Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee
Siku zasonga miaka inapita na bado niko palepale
(Siku zasonga miaka inapita)
Huu mwaka lazima nipate
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
Kama simba nimeamua liwe liwalo sili nyasi iwe mvua, iwe jua simba hali nyasi
Penye nia pana njia haijalishi kule nimetoka nisha amua ninachotaka ee nami lazima nipate
Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate
Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate Nipate,
Nipate huu mwaka lazima nami nipate
Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
Kazi nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Nyumba nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Bibi mzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Niwe sonko kama sonko huu mwaka lazima nipate
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.65] Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee
[00:14.21] Lazima huu mwaka niwashangaze lazima nipate ee yeah ee
[00:21.67] Huu mwaka lazima nipate ee yeah ee huu mwaka lazima nipate
[00:28.02] Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
[00:32.59] Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
[00:46.13] Wanasema masikini ni mtumishi wa tajiri
[00:50.82] Miaka iliyopita maisha yangu kajawa na giza totoro
[00:55.27] Nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni
[00:59.99] Nyumba nzuri, gari nzuri, kazi nzuri, bibi na familia
[01:04.50] Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee
[01:13.52] Siku zasonga miaka inapita na bado niko palepale
[01:18.12] (Siku zasonga miaka inapita)
[01:20.33] Huu mwaka lazima nipate
[01:22.80] Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
[01:27.39] Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
[01:41.06] Kama simba nimeamua liwe liwalo sili nyasi iwe mvua, iwe jua simba hali nyasi
[01:50.16] Penye nia pana njia haijalishi kule nimetoka nisha amua ninachotaka ee nami lazima nipate
[01:59.34] Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate
[02:08.71] Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate
[02:17.77] Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
[02:22.32] Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate Nipate,
[02:29.22] Nipate huu mwaka lazima nami nipate
[02:36.04] Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
[02:40.54] Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
[02:44.91] Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate
[02:54.05] Kazi nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
[02:58.58] Nyumba nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
[03:03.13] Bibi mzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
[03:07.76] Niwe sonko kama sonko huu mwaka lazima nipate
[03:12.15] Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
[03:25.99] Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
[03:40.62]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings