Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

I Wish

๐Ÿ‘ค Kusah โ€ข ๐ŸŽผ I Wish โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 1260 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 4976366

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmmh ulalala
Baby nitakupa moyo nitakupa roho
Yaani mwili mzima
Ningekupa gari ningekupa doh
Ila mi ndo sina

Ukinizidi sana nitakupa roho
Unibebe mzima
Ukitaka haba tutajaza ndoo
Mi uvivu sina

Natamani uwai shela bby uvae
Upendeze na ulivyo chombo wakushangae
Natamani tupewe mbawa baby tupae
Tufike mbali baby wee, baby wee

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
I wish, nimwone Wolper akiruka debe
I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
I wish, our wedding, our wedding

Ona unafuraha we una raha
We chuki wataziraha, watafuba watakosa raha
Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo
Utaratibu huko nyuma kuna shimo
Mmh aah utanidondosha wee

Mpaka mapepe
Shilole waambie waache kitete
Joto jipepee
Mtungi ukiisha tule mpepe

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
I wish, nimwone Wolper akiruka debe
I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
I wish, our wedding, our wedding

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:24.56] Mmmmh ulalala
[00:29.31] Baby nitakupa moyo nitakupa roho
[00:32.98] Yaani mwili mzima
[00:34.34] Ningekupa gari ningekupa doh
[00:38.37] Ila mi ndo sina
[00:39.36] Ukinizidi sana nitakupa roho
[00:43.02] Unibebe mzima
[00:44.10] Ukitaka haba tutajaza ndoo
[00:48.14] Mi uvivu sina
[00:50.52] Natamani uwai shela bby uvae
[00:55.28] Upendeze na ulivyo chombo wakushangae
[01:00.02] Natamani tupewe mbawa baby tupae
[01:04.74] Tufike mbali baby wee, baby wee
[01:09.55] Haya go, baby ringa
[01:12.14] Ikija mvua baby mi nitakukinga
[01:14.50] Bailando basi pinda
[01:17.39] Ukirudi kwa nyuma nakukinga
[01:19.50] Haya go, baby ringa
[01:22.16] Ikija mvua baby mi nitakukinga
[01:24.47] Bailando basi pinda
[01:27.03] Ukirudi kwa nyuma nakukinga
[01:29.44] I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
[01:34.94] I wish, nimwone Wolper akiruka debe
[01:39.72] I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
[01:44.77] I wish, our wedding, our wedding
[01:50.11]
[01:59.58] Ona unafuraha we una raha
[02:02.91] We chuki wataziraha, watafuba watakosa raha
[02:09.55] Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo
[02:13.41] Utaratibu huko nyuma kuna shimo
[02:15.88] Mmh aah utanidondosha wee
[02:19.87] Mpaka mapepe
[02:22.47] Shilole waambie waache kitete
[02:25.58] Joto jipepee
[02:27.63] Mtungi ukiisha tule mpepe
[02:29.71] Haya go, baby ringa
[02:32.13] Ikija mvua baby mi nitakukinga
[02:34.20] Bailando basi pinda
[02:37.12] Ukirudi kwa nyuma nakukinga
[02:39.53] Haya go, baby ringa
[02:42.15] Ikija mvua baby mi nitakukinga
[02:44.45] Bailando basi pinda
[02:47.01] Ukirudi kwa nyuma nakukinga
[02:49.77] I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
[02:54.48] I wish, nimwone Wolper akiruka debe
[02:59.77] I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
[03:05.09] I wish, our wedding, our wedding
[03:08.56]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings