Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kalale

๐Ÿ‘ค Willis Raburu, Rekles, Breederlw, Mejja & Ssaru โ€ข ๐ŸŽผ Kalale - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:50
๐ŸŽต 2859 characters
โฑ๏ธ 3:50 duration
๐Ÿ†” ID: 4976455

๐Ÿ“œ Lyrics

What does it mean to be a Bazu?
It means greatness, it means prowess
So basically to be a Bazu is to be
Hahahaha it's just to BE
So just be ME and if you don't like it well...

Hahahaha it's the wild wild Willis (Bazu)
Mavo ketkino bwana, ketkino bwana
Ketkino wathe wathe huru
Wabebe!!

Yeah Kalale, Kalale
Ati ati nini kalale
Eey kalale
(Mavo on the beat)

Hii ni lazma utamark kwa kalenda
Ya ma-master ma G, mabazenga
Pia kafala na beef nakalenga
Na ka kawa mi huvunja agenda

Sibishanangi siku hizi niko busy
Labda ka ni bei za Benz na mabiggy
Hakunanga mtaa naeza kula baridi
Buda kila esto jiji nina bibi

Kalale (Unakulanga ferrari)
Kalale (Rusha mawe ka Khalwale)
Ati nini kalale (Unaongea mingi ka hoe)
Kalale

Eey ati nini kem kem
What a gwan eeh, what have I missed?
Ka si ganji hainisaidii
What a gwan eeh, What about it?

Broman ka unadai beef kalale
Lale lale la, kalale
Eey ati ati nini kalale
Lale lale la, kalale eey

Papa fathela kile imebaki ni kujengewa statue
Na usiache ndula nje na unajua tuko Pipu
Tuko upde na TK mbogi yote my crew
Masilver ndo zimejaa kama Manchester Blue

Chem ndo ilikuwa inafanyaga nidoz daro
Papa God si unionyeshe ganji kama Flaqo
Niadisie, mafigure macomma na mazero
Very soon itabidi nikisonga ni ki Prado

Fan after fan kuwachukua wakikam
Na mali ikiwa safi ongezea bei ya bidhaa
Wasoro kuwapunish kupepea ka kiflag
Na ukizidi kulegeza ndo utatekewa madam

Kem kem what a gwan eeh
What have I missed? (I missed)
Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)

Broman ka unadai beef kalale
Lale lale la, kalale
Eey ati ati nini kalale
Lale lale la, kalale eey

Katubongi pesa ni upuzi (Haha)
Nataka kuwa na shares Kakuzi
Yoh nijenge huko Nyali
Ininyc nikikunywa sharubati

Ukirushwa manzi kalale
Compe ni compe roho safi
Bazu, bazu,
Mi hufanya biz na mabazu

Sipendi chali amewekwa
Unalipiwa nyumba Ruaka, Kalale!
Wanaume wakiongea Kalale!
Okwonko

Hey ati ati nini Kem kem
What a gwan eeh, What have I missed?
Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
What a gwan eeh, what about it? (Bout It?)

Broman ka unadai beef kalale
Lale lale la, kalale
Eey ati ati nini kalale
Lale lale la, kalale eey

Aah ka niko mboka huwa sibishani na wale
Alafu buda kwa hii game mi ndio huchezanga malale
Nakuja solo nyi mkikujaga wanane
Na ukileta usoro nakupiganga mabare

We kalale hapa ni kwa watu wa kale
Ju wanitafuta huwa niko hapa na pale
Na isipojipa mi nahamia Kitale
Ka Poshomill pale napunguza ukware

Ukware hizo vako za ku-party mi sisare
Sisare ju bado mi ndo hutembea na nare
Na ukinipata kwa chuom mi nitakosaje mali
Mi nakulanga mbosho we ukikulanga mabare

Kem kem what a gwan eeh
What have I missed? (I missed)
Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)

Broman ka unadai beef kalale
Lale lale la, kalale
Eey ati ati nini kalale
Lale lale la, kalale eey

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.54] What does it mean to be a Bazu?
[00:03.88] It means greatness, it means prowess
[00:04.06] So basically to be a Bazu is to be
[00:04.40] Hahahaha it's just to BE
[00:04.93] So just be ME and if you don't like it well...
[00:05.48] Hahahaha it's the wild wild Willis (Bazu)
[00:07.33] Mavo ketkino bwana, ketkino bwana
[00:08.18] Ketkino wathe wathe huru
[00:08.96] Wabebe!!
[00:10.24] Yeah Kalale, Kalale
[00:14.67] Ati ati nini kalale
[00:17.57] Eey kalale
[00:19.15] (Mavo on the beat)
[00:19.97] Hii ni lazma utamark kwa kalenda
[00:22.66] Ya ma-master ma G, mabazenga
[00:25.35] Pia kafala na beef nakalenga
[00:27.77] Na ka kawa mi huvunja agenda
[00:30.13] Sibishanangi siku hizi niko busy
[00:32.69] Labda ka ni bei za Benz na mabiggy
[00:34.43] Hakunanga mtaa naeza kula baridi
[00:37.16] Buda kila esto jiji nina bibi
[00:39.55] Kalale (Unakulanga ferrari)
[00:42.58] Kalale (Rusha mawe ka Khalwale)
[00:44.93] Ati nini kalale (Unaongea mingi ka hoe)
[00:47.12] Kalale
[00:49.05] Eey ati nini kem kem
[00:50.91] What a gwan eeh, what have I missed?
[00:53.38] Ka si ganji hainisaidii
[00:55.57] What a gwan eeh, What about it?
[00:58.12] Broman ka unadai beef kalale
[01:00.64] Lale lale la, kalale
[01:03.52] Eey ati ati nini kalale
[01:06.22] Lale lale la, kalale eey
[01:08.70] Papa fathela kile imebaki ni kujengewa statue
[01:12.92] Na usiache ndula nje na unajua tuko Pipu
[01:15.13] Tuko upde na TK mbogi yote my crew
[01:17.57] Masilver ndo zimejaa kama Manchester Blue
[01:19.96] Chem ndo ilikuwa inafanyaga nidoz daro
[01:22.62] Papa God si unionyeshe ganji kama Flaqo
[01:25.02] Niadisie, mafigure macomma na mazero
[01:27.49] Very soon itabidi nikisonga ni ki Prado
[01:29.10] Fan after fan kuwachukua wakikam
[01:32.30] Na mali ikiwa safi ongezea bei ya bidhaa
[01:34.73] Wasoro kuwapunish kupepea ka kiflag
[01:37.17] Na ukizidi kulegeza ndo utatekewa madam
[01:39.87] Kem kem what a gwan eeh
[01:41.50] What have I missed? (I missed)
[01:42.52] Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
[01:44.68] What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)
[01:47.09] Broman ka unadai beef kalale
[01:49.57] Lale lale la, kalale
[01:52.23] Eey ati ati nini kalale
[01:54.64] Lale lale la, kalale eey
[01:57.54] Katubongi pesa ni upuzi (Haha)
[02:01.67] Nataka kuwa na shares Kakuzi
[02:03.75] Yoh nijenge huko Nyali
[02:06.20] Ininyc nikikunywa sharubati
[02:08.69] Ukirushwa manzi kalale
[02:11.24] Compe ni compe roho safi
[02:13.47] Bazu, bazu,
[02:16.31] Mi hufanya biz na mabazu
[02:18.88] Sipendi chali amewekwa
[02:21.28] Unalipiwa nyumba Ruaka, Kalale!
[02:24.12] Wanaume wakiongea Kalale!
[02:26.68] Okwonko
[02:27.60] Hey ati ati nini Kem kem
[02:29.05] What a gwan eeh, What have I missed?
[02:30.65] Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
[02:33.05] What a gwan eeh, what about it? (Bout It?)
[02:35.27] Broman ka unadai beef kalale
[02:37.67] Lale lale la, kalale
[02:41.44] Eey ati ati nini kalale
[02:43.07] Lale lale la, kalale eey
[02:47.38] Aah ka niko mboka huwa sibishani na wale
[02:50.09] Alafu buda kwa hii game mi ndio huchezanga malale
[02:52.43] Nakuja solo nyi mkikujaga wanane
[02:54.93] Na ukileta usoro nakupiganga mabare
[02:57.59] We kalale hapa ni kwa watu wa kale
[02:59.77] Ju wanitafuta huwa niko hapa na pale
[03:02.42] Na isipojipa mi nahamia Kitale
[03:04.57] Ka Poshomill pale napunguza ukware
[03:06.72] Ukware hizo vako za ku-party mi sisare
[03:09.47] Sisare ju bado mi ndo hutembea na nare
[03:11.51] Na ukinipata kwa chuom mi nitakosaje mali
[03:14.27] Mi nakulanga mbosho we ukikulanga mabare
[03:16.43] Kem kem what a gwan eeh
[03:18.26] What have I missed? (I missed)
[03:20.17] Ka si ganji hainisaidii (Saidii)
[03:22.02] What a gwan eeh, what about it? (Bout it?)
[03:24.99] Broman ka unadai beef kalale
[03:27.13] Lale lale la, kalale
[03:30.13] Eey ati ati nini kalale
[03:32.58] Lale lale la, kalale eey
[03:36.23]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings