Koko
๐ต 1017 characters
โฑ๏ธ 3:20 duration
๐ ID: 4976592
๐ Lyrics
Aiyolela
Vitamu tamu unavyovitaka
Ndo vinafanya nitafute
Haramu ramu kukuacha
Sasa kivipi nikuache
Gusa moyo wangu nami niguse wako
Niko peke yangu nawe uko peke yako
Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe
Atayefanya niwe chizi ni wewe
Na nitagharamia upate utakacho wewee
Ninachohofia usije niacha mwenyewe my boo
Me kwako ni koko tu (koko tu)
Sioni sisikii (koko tu)
Kama ni kisu nikidugi (koko tu)
Kimeishaa makali (koko tu)
Tatizo nini kinachofanya unune
Na kwanini unataka tugombane?
Baby me ni wako
Nakuruhusu unichune
Kama ni kamari kwako
Upepo wako unipune

Nimenasa kwenye mtego wako weweee
Sina ujanja uko peke yako weweee
Nipo tayari kufa kwa ajili yako weweee
Nikumbatie baby niweze karibu yako weweee
Vest wagongeee
Casian baba
Zungu waambieee

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.27] Aiyolela
[00:09.00] Vitamu tamu unavyovitaka
[00:12.54] Ndo vinafanya nitafute
[00:13.81] Haramu ramu kukuacha
[00:16.71] Sasa kivipi nikuache
[00:20.19] Gusa moyo wangu nami niguse wako
[00:24.91] Niko peke yangu nawe uko peke yako
[00:28.95] Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe
[00:32.95] Atayefanya niwe chizi ni wewe
[00:37.76] Na nitagharamia upate utakacho wewee
[00:43.16] Ninachohofia usije niacha mwenyewe my boo
[00:46.88] Me kwako ni koko tu (koko tu)
[00:51.82] Sioni sisikii (koko tu)
[00:56.62] Kama ni kisu nikidugi (koko tu)
[01:01.43] Kimeishaa makali (koko tu)
[01:05.80]
[01:25.88] Tatizo nini kinachofanya unune
[01:30.33] Na kwanini unataka tugombane?
[01:34.81] Baby me ni wako
[01:36.93] Nakuruhusu unichune
[01:39.33] Kama ni kamari kwako
[01:41.78] Upepo wako unipune
[01:43.67] Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe
[01:48.45] Atayefanya niwe chizi ni wewe
[01:52.10] Na nitagharamia upate utakacho wewee
[01:58.04] Ninachohofia usije niacha mwenyewe my boo
[02:02.07] Me kwako ni koko tu (koko tu)
[02:07.37] Sioni sisikii (koko tu)
[02:12.45] Kama ni kisu nikidugi (koko tu)
[02:16.64] Kimeishaa makali (koko tu)
[02:21.45] Nimenasa kwenye mtego wako weweee
[02:25.44] Sina ujanja uko peke yako weweee
[02:30.20] Nipo tayari kufa kwa ajili yako weweee
[02:35.06] Nikumbatie baby niweze karibu yako weweee
[02:40.27] Vest wagongeee
[02:49.92] Casian baba
[02:55.28] Zungu waambieee
[02:58.96]