Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kwaru

๐Ÿ‘ค Zuchu โ€ข ๐ŸŽผ I Am Zuchu โ€ข โฑ๏ธ 3:05
๐ŸŽต 1175 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐Ÿ†” ID: 4976630

๐Ÿ“œ Lyrics

Ayo Laizer
Aaaaaaahhh
Aaaooaaah aah

Roho ingekua na macho ingejionea
Moyo haufanyi kificho ukiotea
Mimi kipi nisonacho ungeongea
Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah
Chungu nilichopika wamepakua wenzangu
Huruma napukutishwa wamechukua donge langu

Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana
Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana
Mpofu moyo wangu
Ulishindwa oonaa
Hukuandikwa wa kwangu
Limenikaba nalitemaa

Kwaru kwa kwaru kwaru
Kachukua kisoda anaukwaruaa aah
Kwaru kwa kwaru kwaru
Moyo wangu unaumia aah
Kwaru kwa kwaru kwaru
Ye kwa nguvu ana ukwaruaa
Kwaru kwa kwaru kwaru
Jamani moyo wangu unaumia aah

Langu tatizo na chunda najimaliza
Mi nakesha kumuwaza
Na weweseka lake jina oooh jina
Basi kwa unyonge najikaza niache kulia
Maana kwake bahati sina (oooh sina)
Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)
Amekwenda nayoo na
Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh)
Yatapita hayo

Mpofu moyo wangu ulishindwa ona
Hukuandikwa wa kwangu
Limenikaba nalitemaa
Kwaru kwa kwaru kwaru
Kachukua kisoda anaukwarua aaah
Kwaru kwa kwaru kwaru
Moyo wangu unaumia
Kwaru kwa kwaru kwaru
Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua
Kwaru kwa kwaru kwaru
Jamaniii moyo wangu unaumia

Wasafii

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.27] Ayo Laizer
[00:09.95] Aaaaaaahhh
[00:13.02] Aaaooaaah aah
[00:17.22]
[00:19.83] Roho ingekua na macho ingejionea
[00:24.48] Moyo haufanyi kificho ukiotea
[00:29.39] Mimi kipi nisonacho ungeongea
[00:33.81] Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah
[00:39.43] Chungu nilichopika wamepakua wenzangu
[00:43.56] Huruma napukutishwa wamechukua donge langu
[00:48.26] Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana
[00:53.29] Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana
[00:57.82] Mpofu moyo wangu
[01:00.58] Ulishindwa oonaa
[01:02.58] Hukuandikwa wa kwangu
[01:04.96] Limenikaba nalitemaa
[01:07.03] Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:09.13] Kachukua kisoda anaukwaruaa aah
[01:11.85] Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:13.67] Moyo wangu unaumia aah
[01:16.65] Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:18.89] Ye kwa nguvu ana ukwaruaa
[01:21.89] Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:23.83] Jamani moyo wangu unaumia aah
[01:28.43]
[01:34.36] Langu tatizo na chunda najimaliza
[01:38.50] Mi nakesha kumuwaza
[01:41.17] Na weweseka lake jina oooh jina
[01:45.28] Basi kwa unyonge najikaza niache kulia
[01:50.31] Maana kwake bahati sina (oooh sina)
[01:54.67] Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)
[02:01.90] Amekwenda nayoo na
[02:04.65] Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh)
[02:11.15] Yatapita hayo
[02:13.46] Mpofu moyo wangu ulishindwa ona
[02:18.27] Hukuandikwa wa kwangu
[02:20.67] Limenikaba nalitemaa
[02:22.54] Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:24.47] Kachukua kisoda anaukwarua aaah
[02:27.27] Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:29.08] Moyo wangu unaumia
[02:32.03] Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:33.94] Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua
[02:36.89] Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:38.66] Jamaniii moyo wangu unaumia
[02:43.23]
[02:58.82] Wasafii
[03:00.01]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings