Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)

๐Ÿ‘ค Zuchu feat. Diamond Platnumz โ€ข ๐ŸŽผ Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) โ€ข โฑ๏ธ 3:27
๐ŸŽต 1603 characters
โฑ๏ธ 3:27 duration
๐Ÿ†” ID: 4976693

๐Ÿ“œ Lyrics

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
Mimi na wewe hadi milele
Komesha wachokozi wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele

Haa nimesikia habari
Eti kuna mtu twamkera
Oooh mwana akae tayari
Maana bado movie hili trailer

Na usiku nikumbate (ni tete te)
Ooh my babe boo (ni tete te)
Kwa ghetto ning'ate ng'ate (ni tete te)
You know I love you

Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
Silaha rungu (ni tete te)
Kwenye joto nipepee (ni tete te)
Mwendani wangu

Penzi letu kwao fire
Na litawachoma sana
Mmmh! Litawauma
Na litawachoma sana

Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Na litawachoma sana

Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi
Huba si sabuni
Kwangu usiwe na wasi
Nishaacha uhuni

Ada! Kama moyo jiko basi
We ndo wangu kuni
Mapenzi soccer
Nipe pasi nitie nyavuni

Tena wasikutishe
Kwa jumbe zao za kata (kata)
Mi ndio kamati kuu
Hapa jimbo umepata (pata)

Mahaba ni tashtiti
Na baby unayajua
Siwezi fanya ya Shishi
Uchebe kukubutua

Waambie na ibilisi
Watu wanajisumbua
Ufupa kashindwa fisi
Wao paka utawaua

Dodo dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Nimeokota dodo
Litayemkera ni shauri zake

Simba nimelipata dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Oh mi mwenzenu toro
Litayemkera ni shauri zake

Na litawachoma
Na litawachoma sana
Mmmh! Litawauma
Na litawachoma sana

Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Na litawachoma sana

Asa baby nichezeshe ngondo
Ngondo, ngondo ingwango!
Ah tulicheze ngondo
Ngondo, ngondo ingwango!

Eh timbwili timbwili tutimbwilike
Ngondo, ngondo ingwango!
Oooh mpaka kupambazuke
Ngondo, ngondo ingwango!

Ai ngondo!

(Ayolizer)

Wasafi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:17.09] Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
[00:21.85] Mimi na wewe hadi milele
[00:25.64] Komesha wachokozi wabaki kututazama
[00:29.94] Tuwatoe jasho la nywele
[00:34.64] Haa nimesikia habari
[00:38.94] Eti kuna mtu twamkera
[00:43.28] Oooh mwana akae tayari
[00:47.44] Maana bado movie hili trailer
[00:51.91] Na usiku nikumbate (ni tete te)
[00:53.57] Ooh my babe boo (ni tete te)
[00:56.42] Kwa ghetto ning'ate ng'ate (ni tete te)
[00:58.02] You know I love you
[00:59.74] Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
[01:02.86] Silaha rungu (ni tete te)
[01:04.77] Kwenye joto nipepee (ni tete te)
[01:07.30] Mwendani wangu
[01:09.58] Penzi letu kwao fire
[01:10.92] Na litawachoma sana
[01:13.02] Mmmh! Litawauma
[01:15.18] Na litawachoma sana
[01:17.59] Eh kwa roho mbaya zenu
[01:19.70] Na litawachoma sana
[01:21.50] Oooh na hatuwachani
[01:24.26] Na litawachoma sana
[01:26.13] Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi
[01:29.86] Huba si sabuni
[01:32.72] Kwangu usiwe na wasi
[01:34.65] Nishaacha uhuni
[01:36.25] Ada! Kama moyo jiko basi
[01:38.98] We ndo wangu kuni
[01:41.07] Mapenzi soccer
[01:42.16] Nipe pasi nitie nyavuni
[01:45.27] Tena wasikutishe
[01:49.46] Kwa jumbe zao za kata (kata)
[01:51.22] Mi ndio kamati kuu
[01:52.11] Hapa jimbo umepata (pata)
[01:54.25] Mahaba ni tashtiti
[01:55.64] Na baby unayajua
[01:58.28] Siwezi fanya ya Shishi
[01:59.95] Uchebe kukubutua
[02:02.59] Waambie na ibilisi
[02:04.22] Watu wanajisumbua
[02:06.68] Ufupa kashindwa fisi
[02:08.93] Wao paka utawaua
[02:10.88] Dodo dodo
[02:12.45] Nimeokota dodo na mjani wake
[02:15.13] Nimeokota dodo
[02:16.97] Litayemkera ni shauri zake
[02:19.38] Simba nimelipata dodo
[02:21.25] Nimeokota dodo na mjani wake
[02:23.96] Oh mi mwenzenu toro
[02:25.56] Litayemkera ni shauri zake
[02:28.25] Na litawachoma
[02:30.06] Na litawachoma sana
[02:31.93] Mmmh! Litawauma
[02:34.39] Na litawachoma sana
[02:36.73] Eh kwa roho mbaya zenu
[02:38.85] Na litawachoma sana
[02:41.24] Oooh na hatuwachani
[02:43.39] Na litawachoma sana
[02:45.33] Asa baby nichezeshe ngondo
[02:47.42] Ngondo, ngondo ingwango!
[02:50.64] Ah tulicheze ngondo
[02:52.20] Ngondo, ngondo ingwango!
[02:54.58] Eh timbwili timbwili tutimbwilike
[02:56.77] Ngondo, ngondo ingwango!
[02:58.92] Oooh mpaka kupambazuke
[03:01.03] Ngondo, ngondo ingwango!
[03:03.22] Ai ngondo!
[03:06.21] (Ayolizer)
[03:12.59] Wasafi
[03:22.41]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings