Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Love on Fire

๐Ÿ‘ค Walter Chilambo โ€ข ๐ŸŽผ USHUHUDA โ€ข โฑ๏ธ 3:28
๐ŸŽต 1663 characters
โฑ๏ธ 3:28 duration
๐Ÿ†” ID: 4976711

๐Ÿ“œ Lyrics

Aaiiyaa iiyaah
Aaiiyaayah aaiiiyyaahh

Hivi nakupendaje?
Hata mwenyewe sijielewi
Ninakupendaje? (Namna hii Bwana)
Hivi umenipokeaje?
Maana nasikia raha sana
Umenipokeaje? (Namna hii Bwana)
I deserve Nothing (Nothing)
Lord you give me everything
You never disappoint me (Aah aah)
Oh Lord in any way

Yaani hata mi nikianguka (Bado)
Mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya Muovu Bwana (Bado)
Baba yangu unanivusha (Bado)

Yaani hata nikianguka (Bado)
Mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya Muovu Bwana (Bado)
Baba yangu unanivusha (Bado)

Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire)
Tarararira raraaaaa (What did I do .did I do)
Tarararira raraaaaa (Nistahili upendo wako weee)

Nami nitatii
Amri zako Daddy
Nifanye Safi
Mwili na Roho Daddy
Usiniache kabisa (Usiniache kabisa)
Maana kwa wengine mi ni takataka
Kwako mi dhahabu
Maana umeniosha mi nawaka Waka

Yaani hata mi nikianguka (Bado)
Mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenya mitego ya Muovu Bwana (Bado)
Baba yangu unanivusha (Bado)

Yaani hata mi nikianguka (Bado)
Mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya Muovu Bwana (Bado)
Baba yangu unanivusha (Bado)

Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire)
Tarararira raraaaaa (What did I do .did I do)
Tarararira raraaaaa (Nistahili upendo wako weee)

Ninaringa unanipenda (ah)
Unanilinda (ah)
Wanitunza (ah)
Eeh Bwana wangu (ahh)
Nzambe na ngai (aah)
Shama (ah)
ElShaddai (aah) oohh

Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire)
Tarararira raraaaaa (What did I do . did I do)
Tarararira raraaaaa (Mpaka umenipenda mimiii)

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings