Mateka
๐ต 1466 characters
โฑ๏ธ 5:26 duration
๐ ID: 4976801
๐ Lyrics
Ooh mama yeah, ooh mama yeah
Yeah yeah
Kanilambisha limwata
Nisikule
Nahisi kama nadata eeh
Msukule eh
Na moyo wangu unawasha
Upelee
Napuliza nakung'ata eeh
Panya buku
Upendo umevuka kina
Nina wivu mpaka roho inauma
Iwe Japan au China
Weka gundi baby tutagandana eh
Supu ukitia nazi utaharibu
Kidole niweke pete, tuwe karibu
Kisha tukawasalimu
Bibi na babu, babu babu babu
Watupikie mihogo
Tunywe mbege
Tukacheze sindimba
Ndege limetua kwenye mti wangu
Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka
Nimeridhika hayuni wangu
Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka
Mlango nimepata kufuli wee
Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
Hapa mwisho wa ujeuri yee
Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
Ndoto yake ilikuwa kunipata
Alivyonipata sindo akanipa
Alivyonipa nikashangaa nadata
Nikazama mazima
Wa kwangu mwenyewe
Huyu, huyu, huyu, huyu
Nimempenda mwenyewe,
Huyu, huyu, huyu, huyu
Wa kwangu mwenyewe mwenyewe
Huyu, huyu, huyu, huyu
Punguzeni vimbembele

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:24.37] Ooh mama yeah, ooh mama yeah
[00:28.99] Yeah yeah
[00:30.86] Kanilambisha limwata
[00:32.95] Nisikule
[00:35.33] Nahisi kama nadata eeh
[00:37.74] Msukule eh
[00:40.11] Na moyo wangu unawasha
[00:42.59] Upelee
[00:46.34] Napuliza nakung'ata eeh
[00:48.79] Panya buku
[00:50.64] Upendo umevuka kina
[00:52.79] Nina wivu mpaka roho inauma
[00:55.42] Iwe Japan au China
[00:57.56] Weka gundi baby tutagandana eh
[01:09.85] Supu ukitia nazi utaharibu
[01:14.37] Kidole niweke pete, tuwe karibu
[01:18.92] Kisha tukawasalimu
[01:20.86] Bibi na babu, babu babu babu
[01:24.04] Watupikie mihogo
[01:24.92] Tunywe mbege
[01:26.15] Tukacheze sindimba
[01:27.71] Ndege limetua kwenye mti wangu
[01:30.11] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka
[01:37.92] Nimeridhika hayuni wangu
[01:39.92] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka
[01:47.44] Mlango nimepata kufuli wee
[01:49.59] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[01:56.88] Hapa mwisho wa ujeuri yee
[01:59.67] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[02:16.25] Ndoto yake ilikuwa kunipata
[02:18.41] Alivyonipata sindo akanipa
[02:21.04] Alivyonipa nikashangaa nadata
[02:23.74] Nikazama mazima
[02:25.67] Wa kwangu mwenyewe
[02:27.59] Huyu, huyu, huyu, huyu
[02:30.49] Nimempenda mwenyewe,
[02:32.30] Huyu, huyu, huyu, huyu
[02:35.30] Wa kwangu mwenyewe mwenyewe
[02:37.16] Huyu, huyu, huyu, huyu
[02:40.04] Punguzeni vimbembele
[02:41.10] Huyu, huyu, huyu, huyu
[02:45.20] Supu ukitia nazi utaharibu
[02:49.94] Kidole niweke pete, tuwe karibu
[02:54.70] Kisha tukawasalimu
[02:56.56] Bibi na babu, babu babu babu
[03:00.19] Watupikie mihogo
[03:01.78] Tunywe mbege
[03:02.89] Tukacheze sindimba
[03:04.75] Ndege limetua kwenye mti wangu
[03:06.80] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[03:14.51] Nimeridhika hayuni wangu
[03:16.49] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[03:23.62] Mlango nimepata kufuli wee
[03:25.92] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[03:33.31] Hapa mwisho wa ujeuri yee
[03:35.53] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka
[03:54.15] Huyu, huyu, huyu, huyu
[04:15.40]