Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mauzauza

๐Ÿ‘ค Zuchu โ€ข ๐ŸŽผ I Am Zuchu โ€ข โฑ๏ธ 3:26
๐ŸŽต 1530 characters
โฑ๏ธ 3:26 duration
๐Ÿ†” ID: 4976806

๐Ÿ“œ Lyrics

Shunuaa usijipe mapana
Eti mwili kujitutumusha
Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa
Umejigeuza Sudi
Sio wa Corora wala Vogi
Na hilo wowowo la kufoji
Eti linakupa kodii

Ohh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri
Hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ooh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Mi maskini jeuri
Sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)

Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushindwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushidwa kwenu
Walimwengu tutakufunza

(Unaninii kichwa cha chikichi)
(Umevaa kinu unatwangia mchi)

Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala
Hivi kungwi wako nani wewe?
(Atajijuaaa)
Uso mitego imedoda biashara
Hueleweki si kunguru si mwewe
Wadala ubaki dala
Mwenzio mimi kibunda
Haufai kwa kafara
Si mbuzi wewe ni punda
Umejivisha ubazazi
Kwa mapana na marefu
Uso na kazi
Si wa ndala wala peku
Ooh ooh
Ondo ondo mlezi wa wana
We budege zoa zoa
Mwali pengo binti mwanya
Chuchunge kwa kudonyoa

Ooh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ohh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Me maskini jeuri, sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)

Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushindwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushidwa kwenu
Walimwengu tutakufunza

Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Hutayaweza yangu yako yanakushinda

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.18] Shunuaa usijipe mapana
[00:10.09] Eti mwili kujitutumusha
[00:13.52] Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa
[00:16.78] Umejigeuza Sudi
[00:20.71] Sio wa Corora wala Vogi
[00:25.85] Na hilo wowowo la kufoji
[00:28.75] Eti linakupa kodii
[00:33.05] Ohh leo unikome mwenye kiranga
[00:36.07] (Mwenye kiranga)
[00:36.78] Hujanijua vizuri
[00:38.44] Hili timbwili la vanga
[00:40.28] (Mwenye kiranga)
[00:41.08] Ooh leo mbona umeyabananga
[00:44.29] (Mwenye kiranga)
[00:45.33] Mi maskini jeuri
[00:46.93] Sitegemei madanga
[00:48.88] (Mwenye kiranga)
[00:50.16] Mauzauza we mwana mauzauza
[00:53.13] Si wamekushindwa kwenu
[00:55.58] Walimwengu tutakufunza
[00:57.62] Mauzauza we mwana mauzauza
[01:01.46] Si wamekushidwa kwenu
[01:03.41] Walimwengu tutakufunza
[01:05.63]
[01:09.37] (Unaninii kichwa cha chikichi)
[01:10.63] (Umevaa kinu unatwangia mchi)
[01:14.17] Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala
[01:18.76] Hivi kungwi wako nani wewe?
[01:21.12] (Atajijuaaa)
[01:23.10] Uso mitego imedoda biashara
[01:26.53] Hueleweki si kunguru si mwewe
[01:31.03] Wadala ubaki dala
[01:33.27] Mwenzio mimi kibunda
[01:35.32] Haufai kwa kafara
[01:37.23] Si mbuzi wewe ni punda
[01:40.14] Umejivisha ubazazi
[01:42.03] Kwa mapana na marefu
[01:44.49] Uso na kazi
[01:45.79] Si wa ndala wala peku
[01:48.89] Ooh ooh
[01:51.57] Ondo ondo mlezi wa wana
[01:53.66] We budege zoa zoa
[01:56.34] Mwali pengo binti mwanya
[01:57.95] Chuchunge kwa kudonyoa
[02:00.35] Ooh leo unikome mwenye kiranga
[02:03.02] (Mwenye kiranga)
[02:03.87] Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga
[02:07.39] (Mwenye kiranga)
[02:08.10] Ohh leo mbona umeyabananga
[02:11.05] (Mwenye kiranga)
[02:12.10] Me maskini jeuri, sitegemei madanga
[02:15.37] (Mwenye kiranga)
[02:16.66] Mauzauza we mwana mauzauza
[02:20.17] Si wamekushindwa kwenu
[02:22.27] Walimwengu tutakufunza
[02:24.93] Mauzauza we mwana mauzauza
[02:28.41] Si wamekushidwa kwenu
[02:30.04] Walimwengu tutakufunza
[02:43.11] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[02:47.42] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[02:51.43] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[02:55.65] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[02:59.94] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[03:03.91] Hutayaweza yangu yako yanakushinda
[03:24.26]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings