Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mchepuko

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Kipenda Roho โ€ข โฑ๏ธ 3:39
๐ŸŽต 1377 characters
โฑ๏ธ 3:39 duration
๐Ÿ†” ID: 4976818

๐Ÿ“œ Lyrics

Unapoelekea mchepuko
Wangu unanichosha
Mwenzenu

Kumlizaliza mke wangu
Jamani,
Inanichosha mwenzenu

Hata kama niko
Na wewe
Kimwana
Utulivu unatakiwa

Mimi bado ninamwenyewe
Kimwana
Utulivu unatakiwa
Unamrusha roho kwanini
Unamtambia
Amekosa nini?

Unaharibu
Hivyo
Nyumbani
Ananlilia kila siku mimi

Naunajua
Kumwacha siwezi
Kanizalia watoto mwenzako

Punguza kujishaua
Unaharibu kichizi
Unanipa
Changamoto mwenzako
Aah

Unamvilia mini, akivaa dera
Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
Wewe una iphone,
Mwenzako ana motorola
Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela
Vibaya hivyo

Mchepuko, mchepuko
Unamlizamke wangu
Mchepuko, mchepuko
Unamlisz mke wango

Ninakupa mapesa
Unaniita sponsor
Unaniongopea
Unanikosea

Tatizao hiko kishepu na kisura chako
Ndo kinanipa mawazo mwenzako
Nashindwa kukuacha mwenzako
Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko

Unamvilia mini
Akivaa dera
Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
Wewe una iphone,
Mwenzako ana motorola
Unashindana na gigy
Kwenye mabendi kutunza hela

Vibaya hivyo

Mchepuko, mchepuko
Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe
Unamliza mke wangu
Usije kuchezea vikombe
Mchepuko, mchepuko
We mchepuko
Unamliza mke wangu

Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watoto atakufanyizia siku moja
Anakujua, anakujua
Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watotot atakufanyizia
Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watotot atakufanyizia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.91] Unapoelekea mchepuko
[00:15.39] Wangu unanichosha
[00:16.96] Mwenzenu
[00:21.13] Kumlizaliza mke wangu
[00:23.22] Jamani,
[00:24.34] Inanichosha mwenzenu
[00:29.68] Hata kama niko
[00:31.25] Na wewe
[00:32.08] Kimwana
[00:33.34] Utulivu unatakiwa
[00:38.14] Mimi bado ninamwenyewe
[00:40.29] Kimwana
[00:41.70] Utulivu unatakiwa
[00:46.46] Unamrusha roho kwanini
[00:50.94] Unamtambia
[00:52.22] Amekosa nini?
[00:55.14] Unaharibu
[00:56.26] Hivyo
[00:57.06] Nyumbani
[00:59.15] Ananlilia kila siku mimi
[01:03.40] Naunajua
[01:04.76] Kumwacha siwezi
[01:06.80] Kanizalia watoto mwenzako
[01:11.50] Punguza kujishaua
[01:13.27] Unaharibu kichizi
[01:15.18] Unanipa
[01:15.97] Changamoto mwenzako
[01:18.33] Aah
[01:20.23] Unamvilia mini, akivaa dera
[01:23.67] Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
[01:28.26] Wewe una iphone,
[01:29.84] Mwenzako ana motorola
[01:32.27] Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela
[01:36.21] Vibaya hivyo
[01:39.66] Mchepuko, mchepuko
[01:43.68] Unamlizamke wangu
[01:47.66] Mchepuko, mchepuko
[01:52.26] Unamlisz mke wango
[01:54.33] Ninakupa mapesa
[01:55.95] Unaniita sponsor
[01:58.01] Unaniongopea
[02:00.18] Unanikosea
[02:01.75] Tatizao hiko kishepu na kisura chako
[02:03.99] Ndo kinanipa mawazo mwenzako
[02:06.83] Nashindwa kukuacha mwenzako
[02:11.39] Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko
[02:19.01] Unamvilia mini
[02:20.96] Akivaa dera
[02:23.06] Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
[02:27.07] Wewe una iphone,
[02:28.83] Mwenzako ana motorola
[02:31.26] Unashindana na gigy
[02:32.53] Kwenye mabendi kutunza hela
[02:35.33] Vibaya hivyo
[02:38.54] Mchepuko, mchepuko
[02:40.30] Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe
[02:42.41] Unamliza mke wangu
[02:45.11] Usije kuchezea vikombe
[02:46.72] Mchepuko, mchepuko
[02:49.33] We mchepuko
[02:51.30] Unamliza mke wangu
[02:53.38] Anakujua, anakujua
[02:56.88] Navyomjua mama watoto atakufanyizia siku moja
[03:01.16] Anakujua, anakujua
[03:03.70] Anakujua, anakujua
[03:05.63] Navyomjua mama watotot atakufanyizia
[03:09.85] Anakujua, anakujua
[03:14.36] Navyomjua mama watotot atakufanyizia
[03:20.29]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings