Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mzuri (feat. Rayvanny)

๐Ÿ‘ค Barnaba โ€ข ๐ŸŽผ Love Sounds Different โ€ข โฑ๏ธ 3:57
๐ŸŽต 1543 characters
โฑ๏ธ 3:57 duration
๐Ÿ†” ID: 4976904

๐Ÿ“œ Lyrics

Uh! ai mama, jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama, unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Uh! ai mama, jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama, nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Hata ukilia mzuri ni mzuri tu

Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga manzabay
Lakipitilosi mama ona nywele shombe shombe Zanzibari chei chei
Umejaliwa nyama na huo mguu Aki Mungu hakosei
Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei

Najionea wivu
Kukupata my boo
Tabibu
Dozi nipe taratibu

Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Hata ukilia mzuri ni mzuri tu

Usuke sangitaa unapendeza
Hana haraka mtoto mwendo wa pweza
Yake mahaba ndio kaniweza
Kama chakula sahani ya pili naongeza
Walahi, kwake naona nyota nyota tu
Si kwa mahaba unayonipa boo
Na huu wangu wivu utanikuta yasiyo
Niombeeni nipone
Ananivuruga, pale anaponiuliza vipi uhakika
Mopao unajionaje
Namjibu niko sawa
Kisha namwambia nipigie video call

Najionea wivu
Kukupata we my boo
Tabibu
Dozi nipe taratibu

Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Hata ukilia mzuri ni mzuri tu

Ule kimini chuna tototo
Unafanya nishindwe kutoto
Umetakata uko sososo
Unawatesa cheki tototo
Mara upo nyonyo, nipo titi
Hata Saraphina anajua hushikiki
Eh! Serious, nimempenda nasema na simuachi Aaah!

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:15.57] Uh! ai mama, jamani mbona we mzuri hivyo
[00:20.61] Uh! ai mama, unavyoringa sasa sio shida zako hizo
[00:26.69] Uh! ai mama, jamani mbona we mzuri hivyo
[00:32.26] Uh! ai mama, nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
[00:37.79] Ukicheka mzuri mzuri
[00:40.59] Ukinuna mzuri mzuri
[00:43.36] Ukiringa mzuri mzuri
[00:46.74] Hata ukilia mzuri ni mzuri tu
[00:50.65] Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga manzabay
[00:55.84] Lakipitilosi mama ona nywele shombe shombe Zanzibari chei chei
[01:00.85] Umejaliwa nyama na huo mguu Aki Mungu hakosei
[01:06.89] Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
[01:14.05] Najionea wivu
[01:15.61] Kukupata my boo
[01:18.67] Tabibu
[01:21.53] Dozi nipe taratibu
[01:24.63] Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
[01:30.15] Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
[01:35.76] Ukicheka mzuri mzuri
[01:39.08] Ukinuna mzuri mzuri
[01:42.69] Ukiringa mzuri mzuri
[01:45.88] Hata ukilia mzuri ni mzuri tu
[01:49.33] Usuke sangitaa unapendeza
[01:51.42] Hana haraka mtoto mwendo wa pweza
[01:54.58] Yake mahaba ndio kaniweza
[01:57.68] Kama chakula sahani ya pili naongeza
[02:00.21] Walahi, kwake naona nyota nyota tu
[02:02.30] Si kwa mahaba unayonipa boo
[02:05.76] Na huu wangu wivu utanikuta yasiyo
[02:09.23] Niombeeni nipone
[02:12.76] Ananivuruga, pale anaponiuliza vipi uhakika
[02:19.72] Mopao unajionaje
[02:22.26] Namjibu niko sawa
[02:25.26] Kisha namwambia nipigie video call
[02:29.29] Najionea wivu
[02:31.48] Kukupata we my boo
[02:34.47] Tabibu
[02:37.57] Dozi nipe taratibu
[02:41.26] Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
[02:46.62] Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
[02:51.92] Ukicheka mzuri mzuri
[02:55.06] Ukinuna mzuri mzuri
[02:58.65] Ukiringa mzuri mzuri
[03:01.88] Hata ukilia mzuri ni mzuri tu
[03:05.35] Ule kimini chuna tototo
[03:06.99] Unafanya nishindwe kutoto
[03:09.52] Umetakata uko sososo
[03:12.59] Unawatesa cheki tototo
[03:15.53] Mara upo nyonyo, nipo titi
[03:24.58] Hata Saraphina anajua hushikiki
[03:30.35] Eh! Serious, nimempenda nasema na simuachi Aaah!
[03:51.04]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings