Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nairobi

๐Ÿ‘ค Bensoul feat. Sauti Sol, Nviiri The Storyteller & Mejja โ€ข ๐ŸŽผ Nairobi (feat. Mejja) - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:40
๐ŸŽต 1612 characters
โฑ๏ธ 3:40 duration
๐Ÿ†” ID: 4976919

๐Ÿ“œ Lyrics

Heh? Hehehe
Hmm-haha, maajabu (woo!)
Suda!
Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin' nikikurudia
Umenitesa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi

Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama

Woi-yoo
Motherfuckers gon' kill me in this bitch, yeah, yeah

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe sii mi pekee nilinusia
Yolanda ya Lavender

Na mbogi yangu iliniambia (walini-show)
Eti nikusare but sikusikia (sikusikia)
I don' wanna do this shit no more, my dear
Najuta kupendana

Nairobi (woyo-yoyo)
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi

Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama

Gonga (gonga) gonga like
Gonga (gonga) gonga like, yeah
Gonga (gonga) gonga like

Okonkwo (gonga)
Yo (gonga like, yeah)
Rieng? (Yeah) Radar?
Siku hizi madem ni blunder
Jana cuzo alimkaza
He's family, ah-ah

Get together kwa bed
Hio story tumekataa
Ma-boy wengine blunder
Watakukulia mama (weh)
Na wakuchekeshe sana

Madame madem, eh (hmm)
Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndani, dive

Nairobi (woyo-yoyo)
Yule anakupea, pia ananipea (yule)
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi

Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tuna-share
Ogopa sana, mama

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.34] Heh? Hehehe
[00:07.90] Hmm-haha, maajabu (woo!)
[00:12.97] Suda!
[00:14.07] Habari mbaya zimenifikia
[00:17.21] Mandugu zangu wananikulia
[00:20.88] Kumbe sahani yangu ni sinia
[00:23.95] Na inaniuma sana
[00:27.71] Yule mpenzi niliaminia
[00:31.33] Nikamueka mbele ya dunia
[00:35.02] I must be trippin' nikikurudia
[00:38.27] Umenitesa sana
[00:41.79] Nairobi
[00:43.99] Yule anakupea, pia ananipea
[00:47.19] Akikuletea, ananiletea
[00:50.82] Wanakula fare
[00:52.73] Sote tuna-share
[00:54.48] Ogopa sana
[00:56.05] Nairobi
[00:57.94] Yule anakupea, pia ananipea
[01:01.40] Akikuletea, ananiletea
[01:05.10] Wanakula fare
[01:06.72] Sote tuna-share
[01:08.58] Ogopa sana, mama
[01:14.86] Woi-yoo
[01:17.22] Motherfuckers gon' kill me in this bitch, yeah, yeah
[01:26.21] Marashi yako yalinivutia
[01:29.62] Siku ya kwanza ulipopitia
[01:33.19] Kumbe sii mi pekee nilinusia
[01:36.57] Yolanda ya Lavender
[01:40.25] Na mbogi yangu iliniambia (walini-show)
[01:43.94] Eti nikusare but sikusikia (sikusikia)
[01:47.11] I don' wanna do this shit no more, my dear
[01:50.45] Najuta kupendana
[01:54.00] Nairobi (woyo-yoyo)
[01:56.28] Yule anakupea, pia ananipea
[01:59.76] Akikuletea, ananiletea
[02:03.28] Wanakula fare
[02:04.94] Sote tuna-share
[02:06.78] Ogopa sana
[02:08.22] Nairobi
[02:10.36] Yule anakupea, pia ananipea
[02:13.86] Akikuletea, ananiletea
[02:17.12] Wanakula fare
[02:19.05] Sote tuna-share
[02:20.85] Ogopa sana, mama
[02:24.83] Gonga (gonga) gonga like
[02:27.78] Gonga (gonga) gonga like, yeah
[02:31.64] Gonga (gonga) gonga like
[02:34.59] Okonkwo (gonga)
[02:36.22] Yo (gonga like, yeah)
[02:38.84] Rieng? (Yeah) Radar?
[02:40.38] Siku hizi madem ni blunder
[02:42.15] Jana cuzo alimkaza
[02:44.03] He's family, ah-ah
[02:45.93] Get together kwa bed
[02:47.58] Hio story tumekataa
[02:49.35] Ma-boy wengine blunder
[02:51.05] Watakukulia mama (weh)
[02:52.87] Na wakuchekeshe sana
[02:54.72] Madame madem, eh (hmm)
[02:56.31] Madame wa siku hizi
[02:58.21] Wana machali wengi
[02:59.84] Nilichapa mmoja juzi
[03:02.26] Ikaingia ndani, dive
[03:06.62] Nairobi (woyo-yoyo)
[03:08.72] Yule anakupea, pia ananipea (yule)
[03:12.23] Akikuletea, ananiletea
[03:15.71] Wanakula fare
[03:17.67] Sote tuna-share
[03:19.22] Ogopa sana
[03:20.53] Nairobi
[03:22.73] Yule anakupea, pia ananipea
[03:26.18] Akikuletea, ananiletea
[03:29.65] Wanakula fare
[03:31.79] Sote tuna-share
[03:33.54] Ogopa sana, mama
[03:36.69]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings