Naskia Utam
๐ต 714 characters
โฑ๏ธ 4:14 duration
๐ ID: 4976932
๐ Lyrics
Hehehe
Eeeh
Round hii kaa huwezi dance, Wewe enda home
Sexy!
Hey Mr.Dj hii track ni tamu weka replay
Naskia utam tam toka kichwa hadi miguu
Si tu party nikama leo ni sikukuu
Ma sitaki kudance ma nataka twende tukaskie utam ma
Ni saa ngapi hapa ni wapi
Vile wewe ni msawa chali yako yu wapi
Story gani hizo unaleta ushaanza kuteta na siko kange'ta
Tushafika utamu inaskika
Cd zimepasuka keja inanuka
Naamka naweka ngoma za deadlock bedrock round hii ni hardrock
Take it easy si sabuni haikwishi
Dance!
Naskia utam naskia utam naskia utam tam huskii utam huskii utam
Huskii utam tam naskia utam naskia utam
Naskia utam tam hauskii Utaam! naskia Utaam!
Manze Juliet alikubali Romeo
Hiyo ni tamu juu romeo alikuwa VBO