Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nibebe

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Nibebe โ€ข โฑ๏ธ 3:53
๐ŸŽต 1172 characters
โฑ๏ธ 3:53 duration
๐Ÿ†” ID: 4976980

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmmh!
Labda mapenzi yawaumiza roho zao
Eti kwengine sipati sijiwezi
Ndo maneno wasema, kwamba
Kwako sifurukuti sijiwezi
Nidivyo hivyo wanavyosema

Na mimi nanyamaza kimya nakupenda
Naogopaa nikikuona nakuwa kimya
Sina cha kusema nakupenda
Labda sina faragha nashuka kupanda ila nakupenda
Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaoponda

Kama chumba mi dalali (ahh)
Penzi letu lifike mbali (ahh)

Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)

Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu
Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe
Usiwe mchonga vinyago utanifirisi
Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi
Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi
Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi

Kama chumba mi dalali (ahh)
Penzi letu lifike mbali (ahh)

Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)

Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.67] Mmmmh!
[00:17.85] Labda mapenzi yawaumiza roho zao
[00:25.34] Eti kwengine sipati sijiwezi
[00:30.12] Ndo maneno wasema, kwamba
[00:34.66] Kwako sifurukuti sijiwezi
[00:39.50] Nidivyo hivyo wanavyosema
[00:41.39] Na mimi nanyamaza kimya nakupenda
[00:45.66] Naogopaa nikikuona nakuwa kimya
[00:50.19] Sina cha kusema nakupenda
[00:54.45] Labda sina faragha nashuka kupanda ila nakupenda
[00:59.09] Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaoponda
[01:03.53] Kama chumba mi dalali (ahh)
[01:07.86] Penzi letu lifike mbali (ahh)
[01:11.60]
[01:14.07] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
[01:17.21] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
[01:22.66] Nibebe bee (wanataka niwe chini wao juu)
[01:26.96] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)
[01:30.22]
[01:49.14] Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu
[01:53.99] Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe
[01:58.95] Usiwe mchonga vinyago utanifirisi
[02:03.60] Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi
[02:08.02] Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi
[02:12.65] Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi
[02:16.98] Kama chumba mi dalali (ahh)
[02:20.57]
[02:24.45] Penzi letu lifike mbali (ahh)
[02:25.74] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
[02:31.13] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
[02:35.49] Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
[02:40.46] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)
[02:45.06] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
[02:49.07] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu)
[02:53.23] Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
[02:58.11] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)
[03:00.04]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings