Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Niimbie

๐Ÿ‘ค Jua Cali feat. Enika โ€ข ๐ŸŽผ Ngeli Ya Genge โ€ข โฑ๏ธ 4:10
๐ŸŽต 1845 characters
โฑ๏ธ 4:10 duration
๐Ÿ†” ID: 4976990

๐Ÿ“œ Lyrics

Mandugu Digi
Ii beat noma msee
Nairobi, Bonge la... Kampala
Au sio moto
Eeeeh
Naskia sauti yangu fiti manzee
Hehe eeeeh
Gengee
Nani amekunoki zaidi kunishinda
Ukiniita kila siku naitika
Unakumbuka pahali nilikuona mara ya kwanza
Nilikuwa five years hapa kejani na brother
Nilikuchukua nikakuingiza kwa tape
Nikakuskizia nikasema heeee
We ni mnoma naeza ka na wewe
Ebu songa naeza cheza na wewe
Game yoyote utafikiria
Ukikatika mi nakuunganishia
Umepona sai jiskizie
Machine ikisonga hebu niimbie
Tulijikaza na mwishowe tukaweza
Tulisumbuka na mwishowe tukapenya
Kwote tunaenda, wote watupenda
Tulijikaza na mwishowe tukaweza
Sa ii umegeuka unaitwa LP
Lazima nijichunge usindunge na pin
Unaruka ruka nasjui ni kwanini
Dawa yako inakushikilia na shillingi
Naona mbuyu siku hizi unambamba
Na lugha mpya ati unaitwa lingala
Kwa club nakusukma hutoki
Ni saa kumi usiku kwani huchoki
Twende mtaani tutulie
Stima ndio hio nikuandalie
Umenona sa ii jiskizie
Machine ikisonga hebu niimbie
Tulijikaza na mwishowe tukaweza
Tulisumbuka na mwishowe tukapenya
Kwote tunaenda, wote watupenda
Tulijikaza na mwishowe tukaweza
Video sana sku hizi
Kila mtu anaringa anakuita CD
Naona umeoga umepunguza uchafu
Dance basi mbele ya watu
Angalau tukuone
Mapirates nao wasikuchome
Wanakuharibia biashara
Na kipindi ya sa ii ni lala salama
Nakuingia unapumua reggae
Mtoi wetu wa kwanza ataitwa genge
Kenya mzima tunaifungua
Uganda na bongo tushazichukua
Miaka tisa ni mingi sana
Waalike kwa harusi, waambie tunaoana
Pete nazo tunavishana
Hatuna hapa ati tutaachana
Akiko ni nywele kila mtu na yake
Mdomo ulimi nakupiga mate
Hii safari mpaka kilele
Sauti yangu nakupa milele
Naona beste yako radio yuko apa
TV na mapresenter wote
Waambie basi
Tulijikaza na mwishowe tukaweza
Tulisumbuka na mwishowe tukapenya
Kwote tunaenda, wote watupenda
Tulijikaza na mwishowe tukaweza

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings