Nimekuzoea
๐ต 1034 characters
โฑ๏ธ 2:44 duration
๐ ID: 4977003
๐ Lyrics
(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya
Niko tuli baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli baby
Nilishe nishibe kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
(Aiyayayaya aiyayayaya)
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendo
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya
Niko tuli baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli baby
Nilishe nishibe kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
(Aiyayayaya aiyayayaya)
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendo
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.52] (Kimambo on the beats)
[00:12.64] Aiyayayaya aiyayayaya
[00:13.78] Aiyayayaya aiyayayaya
[00:16.66] Niko tuli baby
[00:18.53] Kama maji kwa mtungi
[00:21.52] Nyonga buli baby
[00:24.09] Nivute niiishi nibaki kishungi
[00:25.90] Aii zuri baby
[00:27.80] Nibandike nigande ka gundi
[00:29.03] Maakuli baby
[00:31.86] Nilishe nishibe kitumbo ndindi
[00:34.16] Unanikoleza, unanichombeza
[00:39.99] Unanilegeza ai wee
[00:43.63] Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
[00:48.29] Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
[00:51.88] Nakupenda, nakuwaza
[00:55.86] Forever you are, my boo boo
[00:58.13] Unipende nikupende we
[01:02.34] Nimekuzoea, nimekuzoea
[01:07.35] Nime nime nime nimekuzoea
[01:11.67] Nimekuzoea, nimekuzoea
[01:15.96] Nime nime nime nimekuzoea
[01:20.40] (Aiyayayaya aiyayayaya)
[01:28.18] Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
[01:33.03] Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
[01:38.46] Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
[01:42.40] Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
[01:46.77] Nipo katikati nazungukwa na upendo
[01:51.08] Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
[01:55.42] Wanafikaga wapi? Peku bila sendo
[02:00.08] Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
[02:04.51] Nakupenda, nakuwaza
[02:07.85] Forever you are, my boo boo
[02:10.25] Unipende nikupende we
[02:14.06] Nimekuzoea, nimekuzoea
[02:19.28] Nime nime nime nimekuzoea
[02:23.98] Nimekuzoea, nimekuzoea
[02:28.24] Nime nime nime nimekuzoea
[02:33.37]
[00:12.64] Aiyayayaya aiyayayaya
[00:13.78] Aiyayayaya aiyayayaya
[00:16.66] Niko tuli baby
[00:18.53] Kama maji kwa mtungi
[00:21.52] Nyonga buli baby
[00:24.09] Nivute niiishi nibaki kishungi
[00:25.90] Aii zuri baby
[00:27.80] Nibandike nigande ka gundi
[00:29.03] Maakuli baby
[00:31.86] Nilishe nishibe kitumbo ndindi
[00:34.16] Unanikoleza, unanichombeza
[00:39.99] Unanilegeza ai wee
[00:43.63] Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
[00:48.29] Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
[00:51.88] Nakupenda, nakuwaza
[00:55.86] Forever you are, my boo boo
[00:58.13] Unipende nikupende we
[01:02.34] Nimekuzoea, nimekuzoea
[01:07.35] Nime nime nime nimekuzoea
[01:11.67] Nimekuzoea, nimekuzoea
[01:15.96] Nime nime nime nimekuzoea
[01:20.40] (Aiyayayaya aiyayayaya)
[01:28.18] Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
[01:33.03] Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
[01:38.46] Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
[01:42.40] Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
[01:46.77] Nipo katikati nazungukwa na upendo
[01:51.08] Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
[01:55.42] Wanafikaga wapi? Peku bila sendo
[02:00.08] Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
[02:04.51] Nakupenda, nakuwaza
[02:07.85] Forever you are, my boo boo
[02:10.25] Unipende nikupende we
[02:14.06] Nimekuzoea, nimekuzoea
[02:19.28] Nime nime nime nimekuzoea
[02:23.98] Nimekuzoea, nimekuzoea
[02:28.24] Nime nime nime nimekuzoea
[02:33.37]