Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nimerudi Tena

๐Ÿ‘ค Ssaru โ€ข ๐ŸŽผ Nimerudi Tena โ€ข โฑ๏ธ 2:50
๐ŸŽต 2561 characters
โฑ๏ธ 2:50 duration
๐Ÿ†” ID: 4977005

๐Ÿ“œ Lyrics

(Ricco Beatz Mr. 808)
Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema
Juu venye nahema si mnajua kitu nimepewa
Nasikia mnasema ati Ssaru anapenda kupewa
Kaa wee ni wa Juja ukipewa lazima utapenya

Alafu nacheki support inakuja kwa wingi
Thank you banaa
Ma-dm kibao mamorio wamembao
Nataka hii kitu sana

Na venye nacheki tukiendelea hivi
Nitasema yes banaa, yes banaa
Morio leta biringanya banaa
Nilikuwa niwashow hizi ni mistari
Me sipendi hii kitu sana

Nikacheki nitaboo, nita-dissapoint
Mamorio wanapenda vagina
Ako wapi Zzero tufanyie collabo
Moja yenye itawachanganya
Akam na mandom tuchafue flow
Tukiwa mamoshi banaa

Moto sana
Utadhani ndani kuna bunsen burner
Nawanga mchana
Usiku nakesha nikichoma mashada
Ogopa banaa
Juu me ukinidiss tunakosana
Mi ni mtoto sana
Utaenda kamiti ukishikwa na mbang'a

Me najidai
Stakabadhi nimebeba utadhani ni ndai
Na niko fly
Me sina deni lakini bado unanidai mmhh

Unanidai unataka ngwai
Untaka zenye pedi ameniwahi
Venye uko high na uko na ndai
Kazi ni kuuliza mbona ni why

Nilisahau Hamisi
Ile design ulisahu kamisi
Kwanza joo nimekumissi
Kwanza ile wakati unashika matiti

We ndo unapeananga kissing
Mi huwa napendaga miti
Siku hizi ulichorea kiki
Uliacha kuseti kamenje kwa kiti

Kaza kitu ni fitting'
Chapa ni kama utalipwa majiti mmhh
Father mi ndio kipii
Saa finya finya ni kaa parachichi aaah

Kaa parachichi iko na kijiti
Venye inahang joo haijifichi
Na mi ni vajo staki ubishi
Kaa ulinikula ulikulanga missing'

Leo nimedunga G-String
Nimejileta nataka unidishi
Ahh nyama kwa nyama sipiki
Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi

Clever ni kama hailiki
Kaa ni kisima joo si tuko fishing
Hii nyama kama hailiki
Mwenye anakula ni kama ni richkid

Ssaru mbogi ni KANU
Mi ndio nakujanga kuleta hamu
Daily nakujanga na mautamu
Ni za ki-Coasto kutoka Lamu

Bars ni ngori ku'shinda mbogi genje
Bars nachana utadhani ni veve
Makali inashinda ya wembe
Juu mi nalima hata kuliko jembe

Mi nawashika na sinanga wende
Juu mi ni OG nyi ni maembe ahh
Chura bishana na mende
Hapo unahang kama makende

Legendary mi ndio legend
Kaa hakakupei wacha kaende
Ssaru anakuwanga na utamu ya tende
Mi staki pizza nijenge tu sembe aahh

Siku hizi nimemea pembe
Nilizaliwa kaa sinaga nyege
Katambe wacha kaende
Kalambe kaa peremende

Kaa ni marapper mi ndio mkali hapa
Mi na-represent Khali kaa ako hapa
Juu nachana faster kaa Semenye Castor (Eeey eey eey)

Harambe mbogi ni genje
Kaa unanipenda nikembe
Nikaze nikameze tembe
Kichwa ni kama malenge

Mi nakutolea form
Uko na mzinga leta tu ndom
Mi nakupeleka home bro huwezani
Juu rende ni rong

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.57] (Ricco Beatz Mr. 808)
[00:12.96] Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema
[00:15.65] Juu venye nahema si mnajua kitu nimepewa
[00:19.02] Nasikia mnasema ati Ssaru anapenda kupewa
[00:22.25] Kaa wee ni wa Juja ukipewa lazima utapenya
[00:25.31] Alafu nacheki support inakuja kwa wingi
[00:27.58] Thank you banaa
[00:29.07] Ma-dm kibao mamorio wamembao
[00:31.18] Nataka hii kitu sana
[00:32.14] Na venye nacheki tukiendelea hivi
[00:34.19] Nitasema yes banaa, yes banaa
[00:35.73] Morio leta biringanya banaa
[00:38.85] Nilikuwa niwashow hizi ni mistari
[00:40.57] Me sipendi hii kitu sana
[00:41.81] Nikacheki nitaboo, nita-dissapoint
[00:43.76] Mamorio wanapenda vagina
[00:45.16] Ako wapi Zzero tufanyie collabo
[00:46.84] Moja yenye itawachanganya
[00:48.28] Akam na mandom tuchafue flow
[00:49.74] Tukiwa mamoshi banaa
[00:51.20] Moto sana
[00:52.23] Utadhani ndani kuna bunsen burner
[00:53.65] Nawanga mchana
[00:54.68] Usiku nakesha nikichoma mashada
[00:56.46] Ogopa banaa
[00:58.74] Juu me ukinidiss tunakosana
[00:59.73] Mi ni mtoto sana
[01:02.19] Utaenda kamiti ukishikwa na mbang'a
[01:03.76] Me najidai
[01:04.86] Stakabadhi nimebeba utadhani ni ndai
[01:06.28] Na niko fly
[01:08.53] Me sina deni lakini bado unanidai mmhh
[01:09.71] Unanidai unataka ngwai
[01:11.92] Untaka zenye pedi ameniwahi
[01:13.75] Venye uko high na uko na ndai
[01:15.37] Kazi ni kuuliza mbona ni why
[01:17.13] Nilisahau Hamisi
[01:18.73] Ile design ulisahu kamisi
[01:19.83] Kwanza joo nimekumissi
[01:21.31] Kwanza ile wakati unashika matiti
[01:22.98] We ndo unapeananga kissing
[01:24.42] Mi huwa napendaga miti
[01:25.73] Siku hizi ulichorea kiki
[01:27.84] Uliacha kuseti kamenje kwa kiti
[01:29.19] Kaza kitu ni fitting'
[01:30.95] Chapa ni kama utalipwa majiti mmhh
[01:32.39] Father mi ndio kipii
[01:34.25] Saa finya finya ni kaa parachichi aaah
[01:35.80] Kaa parachichi iko na kijiti
[01:37.28] Venye inahang joo haijifichi
[01:39.08] Na mi ni vajo staki ubishi
[01:40.89] Kaa ulinikula ulikulanga missing'
[01:42.91] Leo nimedunga G-String
[01:44.23] Nimejileta nataka unidishi
[01:45.58] Ahh nyama kwa nyama sipiki
[01:47.36] Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi
[01:48.87] Clever ni kama hailiki
[01:50.21] Kaa ni kisima joo si tuko fishing
[01:51.44] Hii nyama kama hailiki
[01:53.43] Mwenye anakula ni kama ni richkid
[01:55.18] Ssaru mbogi ni KANU
[01:56.51] Mi ndio nakujanga kuleta hamu
[01:58.55] Daily nakujanga na mautamu
[01:59.78] Ni za ki-Coasto kutoka Lamu
[02:00.83] Bars ni ngori ku'shinda mbogi genje
[02:02.59] Bars nachana utadhani ni veve
[02:04.06] Makali inashinda ya wembe
[02:06.06] Juu mi nalima hata kuliko jembe
[02:07.22] Mi nawashika na sinanga wende
[02:09.29] Juu mi ni OG nyi ni maembe ahh
[02:10.88] Chura bishana na mende
[02:12.39] Hapo unahang kama makende
[02:14.32] Legendary mi ndio legend
[02:15.71] Kaa hakakupei wacha kaende
[02:17.33] Ssaru anakuwanga na utamu ya tende
[02:19.09] Mi staki pizza nijenge tu sembe aahh
[02:20.76] Siku hizi nimemea pembe
[02:22.22] Nilizaliwa kaa sinaga nyege
[02:23.63] Katambe wacha kaende
[02:25.06] Kalambe kaa peremende
[02:26.81] Kaa ni marapper mi ndio mkali hapa
[02:28.72] Mi na-represent Khali kaa ako hapa
[02:30.44] Juu nachana faster kaa Semenye Castor (Eeey eey eey)
[02:31.91] Harambe mbogi ni genje
[02:35.24] Kaa unanipenda nikembe
[02:36.83] Nikaze nikameze tembe
[02:38.77] Kichwa ni kama malenge
[02:40.22] Mi nakutolea form
[02:42.04] Uko na mzinga leta tu ndom
[02:43.62] Mi nakupeleka home bro huwezani
[02:45.13] Juu rende ni rong
[02:46.62]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings