Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nyang'anyang'a

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Kipenda Roho โ€ข โฑ๏ธ 3:17
๐ŸŽต 1496 characters
โฑ๏ธ 3:17 duration
๐Ÿ†” ID: 4977041

๐Ÿ“œ Lyrics

Ai yooo
Ooh yeah
Ooh yeah wewe
Wewe
Baby pole pole, Usije nitesa
Nafsi
Kuku nipe mchele, mahindi ngedele
Usije niacha basi
Mmmh, mpaka majogoo,
Kitandani ni mafunzo ya ki Commando
Nipe mama nipe nyumba na choo
Hongera umevua pekee bila chambo
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
Mpaka maji wanaikama mama
Ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Sasambu sasambua
Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua
Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua
Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula
Oooh, uchungu wangu unaujua wewe
Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe
Pilika pilika za kuku na mwewe
Adui ndo inazo walazi wasitusumbue
Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
Mpaka maji wanaikama mama
Ma
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a
Nakupa yote, Chukua Chukua Chukua Yote Yako
, Chukua Chukua Chukua
Peke Yako, Chukua Chukua Chukua
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.95] Ai yooo
[00:07.28] Ooh yeah
[00:08.84] Ooh yeah wewe
[00:13.46] Wewe
[00:14.95] Baby pole pole, Usije nitesa
[00:18.69] Nafsi
[00:20.62] Kuku nipe mchele, mahindi ngedele
[00:23.16] Usije niacha basi
[00:25.57] Mmmh, mpaka majogoo,
[00:27.25] Kitandani ni mafunzo ya ki Commando
[00:29.56] Nipe mama nipe nyumba na choo
[00:32.10] Hongera umevua pekee bila chambo
[00:34.47] Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
[00:41.33] Mpaka maji wanaikama mama
[00:45.30] Ma
[00:47.57] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[00:50.25] Nyang'anyang'a beiby ooh
[00:52.42] Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
[00:55.10] Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
[00:57.55] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[00:59.91] Nyang'anyang'a beiby ooh
[01:02.27] Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
[01:04.71] Mi kwako nyang'anyang'a
[01:07.06] Sasambu sasambua
[01:19.78] Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua
[01:22.69] Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua
[01:24.87] Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula
[01:27.80] Oooh, uchungu wangu unaujua wewe
[01:31.13] Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe
[01:33.31] Pilika pilika za kuku na mwewe
[01:36.01] Adui ndo inazo walazi wasitusumbue
[01:38.58] Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
[01:45.00] Mpaka maji wanaikama mama
[01:49.95] Ma
[01:51.45] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[01:53.85] Nyang'anyang'a beiby ooh
[01:56.25] Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
[01:58.68] Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
[02:00.92] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[02:03.62] Nyang'anyang'a beiby ooh
[02:06.13] Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
[02:08.58] Mi kwako nyang'anyang'a
[02:11.83] Nakupa yote, Chukua Chukua Chukua Yote Yako
[02:16.70] , Chukua Chukua Chukua
[02:19.82] Peke Yako, Chukua Chukua Chukua
[02:23.93] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[02:27.88] Nyang'anyang'a beiby ooh
[02:30.57] Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
[02:32.85] Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)
[02:35.49] Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
[02:37.73] Nyang'anyang'a beiby ooh
[02:40.07] Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
[02:42.66] Mi kwako nyang'anyang'a
[02:45.25]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings