Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Omoka

๐Ÿ‘ค Boutross feat. Wakadinali & Mastar VK โ€ข ๐ŸŽผ Omoka (feat. Wakadinali & Mastar VK) - Single โ€ข โฑ๏ธ 4:23
๐ŸŽต 4501 characters
โฑ๏ธ 4:23 duration
๐Ÿ†” ID: 4977054

๐Ÿ“œ Lyrics

Buda juu nime omoka
Nikipita kwa njia ondoka (Ondoka)
Daily na ball na mogoka
Ju nimekafunga ka locker (Locker)
Vera anaringa na planyo
Iza jo nimetambua Kwamboka (Kwamboka)
Bado unacheza na bano
Nipate casino mi huchezaga poker (Iyee)
Hii pesa imeniweka mbele Ndani ya gari so mi kadere (Kadere)
Unaringa na venye uko nyuma
Naeza kutuma na nisichafue Puma (Puma)
Msupa anaitwa Auma Nilikuslice na nikakauma (Woo)
Kumbe hupendaga chuma Alijinice, ye hufanya nanuna(Nuna)
Ati Vk anapenda your swag (Swagga)
Mi baby napenda hiyo nyuma (Hagga)
Niko na pesa kwa bag
Na zinaweza kutibu hapo mahali unaumwa (Umwa)
Usiku ye hapendagi giza (yeah)
Ndio maana mi hu-pullup na pizza (Huuh)
Kindom kiwake Alafu mastar unanimaliza (Unanimaliza)
Ju shot napiga ka chweza
Buda ju nimeomoka
Na fare silipagi chweza
Uber ju nimeomoka (Omoka)

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)

Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige thafu uomoke
Toka tupate pia sisi toko yetu Tuliacha kutrap huko kwote
Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches
This is win and loses Street tunahawk
Tukitake Lots of risks for the bosses
East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi
Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga Milingo yote za wasafi
Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa mi ni savage Kupanda stage na
Njumu za designer Store zote nina wafuasi
Last victim kwa crime Kitu waliona ni mashetani
Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing
Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids
Venye madem wako build these streets Memories zinanipea tease
Promoter alielewa kwa sana
Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress
Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)

Buda jo niliondoka (Ondoka)
Nina shawty anadai bakora (Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka
Dem aliniitia wakora
Pull up kejani
Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja
Kumbe ukichinda maball itoka, buda niliporwa
Mtaani noma (Mtaani noma)
Bouty ilibidi nimesoma (Soma)
Vile nitalindaga boma (Boma)
Hata ka mi nimekonda
Mi hukula zenye zimenona (Nona)
Nikipata mboka naomoka (Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla (Eey)
Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey
Shingo ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lucky Eey
Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey
Bouty siachani na jani
Hata kama huwezani eey
Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey
Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori
Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori)

Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go Pah pah
Mateso Mabeast wakora wa ghetto Shah shah
Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental
Ni mapepo
Snitch alibitch akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka
Pussy niggas wanapenda kuchocha
Nakumbuka matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota
Fuck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha
Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka
Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans
Simnaona ni nini hardwork does
Toka lini mimi Scar na work fuss Eey aah uuh,
Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi
Hamjastruggle ka dingo wa maiti
Tulianza juzi nyi mlishindwaga naishit
Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to
No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you
I swear this rappers they know us
Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up
Kwa most of my brothers they locked up

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.66] Buda juu nime omoka
[00:14.15] Nikipita kwa njia ondoka (Ondoka)
[00:16.05] Daily na ball na mogoka
[00:17.40] Ju nimekafunga ka locker (Locker)
[00:19.26] Vera anaringa na planyo
[00:20.40] Iza jo nimetambua Kwamboka (Kwamboka)
[00:22.59] Bado unacheza na bano
[00:23.76] Nipate casino mi huchezaga poker (Iyee)
[00:25.78] Hii pesa imeniweka mbele Ndani ya gari so mi kadere (Kadere)
[00:29.07] Unaringa na venye uko nyuma
[00:30.22] Naeza kutuma na nisichafue Puma (Puma)
[00:32.22] Msupa anaitwa Auma Nilikuslice na nikakauma (Woo)
[00:35.57] Kumbe hupendaga chuma Alijinice, ye hufanya nanuna(Nuna)
[00:38.66] Ati Vk anapenda your swag (Swagga)
[00:40.45] Mi baby napenda hiyo nyuma (Hagga)
[00:42.16] Niko na pesa kwa bag
[00:43.31] Na zinaweza kutibu hapo mahali unaumwa (Umwa)
[00:45.36] Usiku ye hapendagi giza (yeah)
[00:47.08] Ndio maana mi hu-pullup na pizza (Huuh)
[00:48.66] Kindom kiwake Alafu mastar unanimaliza (Unanimaliza)
[00:51.95] Ju shot napiga ka chweza
[00:53.23] Buda ju nimeomoka
[00:54.84] Na fare silipagi chweza
[00:56.50] Uber ju nimeomoka (Omoka)
[00:58.38] Swagga ni ngori nadunga machain
[00:59.94] Buda ju nimeomoka (Omoka)
[01:01.59] Na bado ni kweli nakunywa madem
[01:03.33] Buda ju nimeomoka (Omoka)
[01:04.99] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:06.61] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:08.16] Nasema ni kweli nakunywa madem
[01:09.75] Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
[01:11.46] Swagga ni ngori nadunga machain
[01:13.02] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:14.65] Na bado ni kweli nakunywa madem
[01:16.23] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:17.92] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:19.54] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[01:21.10] Nasema ni kweli nakunywa madem
[01:22.80] Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)
[01:24.81] Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige thafu uomoke
[01:28.02] Toka tupate pia sisi toko yetu Tuliacha kutrap huko kwote
[01:31.43] Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches
[01:34.49] This is win and loses Street tunahawk
[01:36.68] Tukitake Lots of risks for the bosses
[01:38.07] East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi
[01:41.35] Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga Milingo yote za wasafi
[01:44.60] Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi
[01:47.83] Niliambiwa mi ni savage Kupanda stage na
[01:49.44] Njumu za designer Store zote nina wafuasi
[01:51.06] Last victim kwa crime Kitu waliona ni mashetani
[01:54.69] Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing
[01:57.68] Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids
[02:00.70] Venye madem wako build these streets Memories zinanipea tease
[02:03.79] Promoter alielewa kwa sana
[02:05.66] Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress
[02:07.24] Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event
[02:10.29] Swagga ni ngori nadunga machain
[02:11.80] Buda ju nimeomoka (Omoka)
[02:13.33] Na bado ni kweli nakunywa madem
[02:14.90] Buda ju nimeomoka (Omoka)
[02:16.77] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:18.39] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:19.97] Nasema ni kweli nakunywa madem
[02:21.69] Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
[02:23.24] Swagga ni ngori nadunga machain
[02:24.80] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:26.41] Na bado ni kweli nakunywa madem
[02:28.19] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:29.71] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:31.32] Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
[02:33.00] Nasema ni kweli nakunywa madem
[02:34.63] Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)
[02:36.25] Buda jo niliondoka (Ondoka)
[02:37.90] Nina shawty anadai bakora (Bakora)
[02:39.52] Skimbi kumbe ako mboka
[02:41.12] Dem aliniitia wakora
[02:42.75] Pull up kejani
[02:43.92] Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
[02:46.16] Buda nishashusha toja
[02:47.60] Kumbe ukichinda maball itoka, buda niliporwa
[02:50.99] Mtaani noma (Mtaani noma)
[02:52.45] Bouty ilibidi nimesoma (Soma)
[02:53.98] Vile nitalindaga boma (Boma)
[02:55.59] Hata ka mi nimekonda
[02:56.85] Mi hukula zenye zimenona (Nona)
[02:58.74] Nikipata mboka naomoka (Omoka)
[03:00.34] Huwezi nipata kwa corolla (Eey)
[03:02.04] Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey
[03:05.24] Shingo ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lucky Eey
[03:08.78] Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey
[03:11.74] Bouty siachani na jani
[03:13.71] Hata kama huwezani eey
[03:15.27] Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey
[03:18.22] Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori
[03:20.22] Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori)
[03:22.84] Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go Pah pah
[03:26.06] Mateso Mabeast wakora wa ghetto Shah shah
[03:28.87] Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental
[03:31.59] Ni mapepo
[03:32.48] Snitch alibitch akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka
[03:35.72] Pussy niggas wanapenda kuchocha
[03:37.32] Nakumbuka matha akienda kukopa
[03:39.28] Hii si riba nilichoka kusota
[03:40.78] Fuck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka
[03:43.70] Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha
[03:47.20] Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa
[03:50.36] Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka
[03:53.43] Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
[03:55.96] Mi ni donga nyinyi ni marap fans
[03:57.62] Simnaona ni nini hardwork does
[03:59.25] Toka lini mimi Scar na work fuss Eey aah uuh,
[04:02.45] Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi
[04:04.88] Hamjastruggle ka dingo wa maiti
[04:06.37] Tulianza juzi nyi mlishindwaga naishit
[04:08.26] Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to
[04:11.47] No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you
[04:14.76] I swear this rappers they know us
[04:16.72] Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up
[04:19.82] Kwa most of my brothers they locked up
[04:20.51]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings