Sirudi Home
๐ต 2867 characters
โฑ๏ธ 3:56 duration
๐ ID: 4977224
๐ Lyrics
Yeah, eeh Kabaya
Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne
Niko na allergy ya story za uduu
Na ndula si ni mbichu usinikanyagie mguu
Sherehe nilipenda simcard ikiwa YOU
Sahi nakimbizanga makeg na nusu
Kwanza napenda fom ikiweza
Alafu sossi kwenye meza
Kuzitoka toka chini hadi juu
Nikikuwekelea utateleza
Misbehaviour kwa impreza
Aki kesho si ntaumwa na miguu
Simjui jina but tunadarana tu kwa kona
Vile naslow whine mi naskia hio bakora
Excuse me sir, knowing me is an honour
Kama riba ni ganji basi ndio ntabonga
Niseme nisiseme (sema)
Niseme nisiseme (sema)
Nikitaka sinipewe (pewa)
Na nikilewa sinilewe (lewa)

Aah bazenga
Kejani siezi rudi bila gal ako na booty
Sikuhizi hapa mjini mapinji wako kwa nduthi
'To usivae heels ka uko kwenyu kuna vumbi
Namwitanga Sue but ye hupenda kuitwa Suzie
Na exile nimepigana tangu juzi
Besetter za Juja utadhani zina jacuzzi
Mbona? Ju vile zi huhost masleep
Dunda ka imeshika hakuna comrade ako sober
Mziki niache kesho niko sure ntarudi tambring
Ka niko wabling sipendangi hata macuddling
Anasema gin ndio hufanya akue bubbling
Babygal utawezana na hii something
Nina kichoki na kikosi sikosi
Juu ya moshi mi nafukuza covid
Sirudi home ju hata budangu ako off
Tabia mbaya niliingiza mboch box

Aah ah ah, aki haturudi nyumbani
Your mama is my mama aki hi maisha so ni funny (wah)
Utashikwa na kiwaru dem yako akiniita honey (ghai)
Unteka na Subaru mi niko na Nissan sunny, ni funny
Na mabeshte wa Pamela wamecome
Na si tumefurahi sijui mbona wamejam (aai)
Msimu wa July kila chali ako na madam (acha)
Na simu si reply hata ipigwe na madawa-dawa
Na masponyo kuchachisha ni ma thao thao
Brio hajai lalisha ni ma bao bao
Tuko dunda utadhani ako kwao kwao
Kufaragiza utashindwa joh ni how
Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home in